Nchi watu wamechoka mbaya lakini misafara ya magari kibao bila sababu. Yaani viongozi badala ya kufanya kazi ni kunzuka zunguka tu kama machawa na wakubwa
https://youtube.com/shorts/CetGAOZ6Qs4?is=dRy7WAtOIgpbKAAG
Wakuu,
Kama unaishi Dar au Arusha alichokisema huyu dada ni kitu ambacho tunakutana nacho kila siku humu mababarani
Nisiongee zaidi msikilizeni dada hapa
Soma Pia: Wenye magari ya Serikali wanaowasha ving’ora wao ndio wanaharaka kuliko wengine kila siku?
Alichokisema:
"Hivi why no one...
Naomba kuuliza swali,
Hivi haya magari (basi) ya Taasisi na Serikali yanayowasha taa na ving'ora ili kufanya Wananchi na Watumiaji Barabara, kuwapisha nyakati zote tena hasa wakati wa foleni - je, ni sawa?
Wao ndio wana haraka muda wote kuliko Wanachi wengine wa kawaida? Au mimi ndio sielewi...
Anonymous
Thread
kila siku
kuliko
magarimagariyaserikaliserikali
siku
wao
wengine
wenye
Wakati Tanzania ikinunulia Wakuu wa Mikoa na Maafisa Tawala, Magari mapya yanayotumia mafuta ambapo Kila gari limenunuliwa kwa shilingi milioni mia nne na hamsini, Serikali ya Rwanda imeziagiza taasisi zake kuhakikisha kuwa angalau asilimia 30 ya magari mapya yanayonunuliwa ni ya umeme.
Hatua...
When all is said and done kuna uwezekano mkubwa kuwa wajanja wachache wamegawana haya mavieite mapya ya Serikali na kusingizia maandamano. Ni nani atakayethibitisha kwamba ni kweli hayo magari yamechomwa moto na hayajagawanwa na mafisadi?
Mwigulu unatuhakikishiaje kuhusu hili? Unataka tukuamini...
Kulikuwa na kimvua leo huku nilipo, likaja gari la serikali namba STN (lipo kama Hiace), vioo tinted likapaki karibu na tulipojificha mvua isitunyeshee. Aisee mara baada ya gari kupaki watu wote wakaitolea macho ile gari kuangalia nani anashuka.
Na wengine wakawa wanasema ni magari kama hayo...
Baadhi ya madereva wa magari ya serikali katika wilaya ya Maswa mkoani Simiyu, wamelalamikia madai ya kuamrishwa kuacha sehemu ya mafuta wanayopewa kwa matumizi ya magari yao, ili kiongozi wao aitumie kwa matumizi binafsi.
Kwa mujibu wa madereva hao, kila wanapopewa kibali cha kuchukua mafuta...
Madereva wa magari ya serikali katika halmashauri ya wilaya ya Maswa mkoani Simiyu, wamemlalamikia,Katibu Tawala wa wilaya(DAS)ya Maswa,Athuman Kalaghe kwa madai ya kuamrishwa kuacha sehemu ya mafuta wanayopewa kwa matumizi ya magari yao, ili kiongozi huyo ayatumie kwa matumizi binafsi.
Kwa...
Anonymous
Thread
kiongozi
kuhujumu
mafuta
magarimagariyaserikaliserikali
wilaya
wilaya ya maswa
Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka wa fedha 2023/2024 imebaini uzembe na ucheleweshaji wa maamuzi katika taasisi mbalimbali za umma, hali iliyosababisha mali za serikali zenye thamani ya mabilioni ya shilingi kutotumika kwa muda mrefu, huku nyingine...
Hivi waha jamaa Muda wote huwa Wana haraka, na je Muda wote huwa wanawahi Jambo Muhimu.
Swali, Je hizi mbio zao wangekua wako serious na maendeleo tungepiga Hatua kubwa sana, Magari ya Serikali yanaongoza kwa kuvunja sheria za Barabarani.
Unakuta Msafara uko Kasi sana Akifika Ofisini achukua...
Za leo wakuu,
Natumaini SGR kati ya Dodoma na Dar kupitia Morogoro. Hivyo basi tunahitaji kupunguza ajali za magari na pia kupunguza matumizi kwa kuhakikisha viongozi na wafanyakazi wanatumia treni hiyo.
Hili litafanya uboreshaji wa treni na kuhakikisha serikali inapunguza matumizi kupitia...
Video hii inaonesha Msafara wa Magari ya Serikali tena ya Kiongozi Mkuu! yakiendeshwa kwa speed kubwa na bila tahadhari ya alama za Barabarani huko Morogoro.
Kuna kijana huko Kenya amependekeza magari yote ya serikali ya Kenya yapakwe rangi ya bendera za Taifa ili kudhibiti matumizi yasiyo sahihi ya hayo magari, Je vipi wazo hili kwa Tanzania?
Naanza kuamini kwamba mwendokasi ulikuwa uongo mwingine wa wanasiasa, kwamba wanataka kuondoa kero za usafiri jijini kwa ajili ya wananchi. Hizi barabara zilitengenezwa kwa ajili yao kukwepa bugudha za barabara za kawaida.
Nimeona kwamba barabara za mwekasi zinatumiwa zaidi na magari ya...
Leo mchana Ruto anajindaa kwa kile kinacho aminika ni hotuba ya kupunguza baadhi ya mawaziri wake na kuunganisha baadhi ya wizara ili kubana matumizi ya pesa za walipa Kodi wa nchi ya kenya ambao ndio wanaoumia na mzigo mkubwa wa kuendesha Serikali.
======
Rais Ruto ametoa hatua zifuatazo...
Rais Bola Tinubu ameagiza mashirika yote ya serikali kununua magari yanayotumia gesi pekee kama sehemu ya juhudi za nchi hiyo za kuhamisisha na kuhamia katika matumizi ya nishati safi na kupunguza gharama kubwa za mafuta.
Msemaji wa Rais amesema Rais Tinubu anatarajia idara zote za serikali na...
Leo imetolewa hoja kwamba magari ya serikali yapaki saa kumi na mbili. Unajiuliza hawa watu wanapotoa haya matamko wanashindwaga nini kufanya tathimini?
Nchi hii inawaza kuendesha shughuli zake masaa ishirini na nne; Mama anawaza kuona soko la Kariakoo linafanya kazi masaa ishirini na nne...
Sijaiona picha ya sehemu za nyuma za gari hii. Ikiwa imeharibika hapo tu panapoonekana kwenye picha serikali itatumia zaidi ya milioni 50 kutengeneza gari hii.
Gari itakaguliwa na TEMESA, serikali italipa gharama za ukaguzi, kisha TEMESA watatoa tenda kwenye garage binafsi kama vile KINAI, ADAM...
Leo nikiwa town katika mishemishe nakuta chuma ya serikali imepaki. Kucheki namba ni STN.
Nikajiuliza si ni juzi tu hapa STM ilianza? Ndio imejaa kwa kasi hivyo!
Serikali yetu inamiliki magari mengi na sasa usajili umefikia “STN” hii ni kasi zaidi ya 5G
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.