sehemu za starehe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Huyu aliyeelekeza magari ya serikali kupaki saa kumi na mbili ana maana gani?

    Leo imetolewa hoja kwamba magari ya serikali yapaki saa kumi na mbili. Unajiuliza hawa watu wanapotoa haya matamko wanashindwaga nini kufanya tathimini? Nchi hii inawaza kuendesha shughuli zake masaa ishirini na nne; Mama anawaza kuona soko la Kariakoo linafanya kazi masaa ishirini na nne...
  2. Teslarati

    Wamiliki wa viwanja na sehemu za starehe mnashindwa nini kuwa na utaratibu wa kuandaa 'BLIND DATES'

    Mimi similiki biashara ya kiwanja au sehemu ya starehe lakini professionally mm ni Asset manager, business and financial advisor. Na kwa bahati mbaya sana sina mteja ambae anamiliki biashara aina hio. Lakini hebu nyie wamiliki tumieni akili, mnapoteza sana muda kwa kudhan kuajiri wadada wenye...
  3. Selemani Sele

    Sehemu za starehe kupiga picha ovyo nusu iharibu mahusiano yangu.

    Naam , it is a good day to stay alive. Kama kichwa cha habari kisemavyo, Kuna katabia fulani hivi page za insta esp clubs na big bars wanapiga picha na video za wateja bila hata kumshirikisha mteja . So by the time it was christmas 2023 my crush alitaka kwenda outing na mm na waubani...
  4. Wadiz

    Kama kuoa ni raha basi tusiwaone na michepuko sehemu za starehe na kwenye Magest

    Mawakala wa kampeni ya kuoa na ndoa ni raha, tafadhari jiheshimuni sana, endapo kuoa ni raha na ndoa pia ni raha basi tunawaonya iwe ni marufuku tusiwaone kwenye sehemu zetu za bata na kwenye Magest mkiwa na michepuko. Hio mizunguko tuwaone mkiwacna wake zenu wa ndoa. Sauti iwafikie popote...
  5. Mwachiluwi

    JF wakosoaji sana

    JF Members mmefanya niende shule this year bila kupenda kisa matus yenu ya hapa. Ngoja niende nikaongeze elimu af nitarudi JF tena
  6. Wadiz

    Wadau naomba kujua sehemu za starehe zenye pisi kali Tanga mjini

    Wasalaam, Habarini wajameni, kwa wiki mbili ntakuwa safarini tanga got some friends from Ethiopia, Europe and Uganda a crew of 15 Baharia tunafanya regionwise city beak travels, and our exploring trip bogins with tanga, naombeni kujua maeneo recent yenye vyombo vikali. Hawa wageni nataka...
  7. USSR

    Musukuma aomba Mwongozo wa Spika kuhusu sehemu za starehe kufungiwa na NEMC kwa kigezo cha kelele

    Hivi huyu jamaa ana atumia nini kufikiri, hajui hizo sheria zilifungwa na bunge hilo hilo. Hajui watu walichoka na muziki mikubwa na kuwa kero kwa watu. Leo bunge lisitishe shugli zake ili waruhusu mikilele yao ,yaani watumie pesa za serikali kuruhusu Kelele mitaani. USSR =================...
Back
Top Bottom