Mahojiano na Times FM: Zuberi Mtemvu Sehemu ya Pili

Kanali...
Nasikitika kuwa unaniandikia kwa kebehi na kejeli.
Huu si uungwana na ustaarabu.

Hili mosi.
Pili.
Mimi sitoki Kizimkazi.
Hakuna mtu anayeandika na kueleza chochote kwa mlengo wa kidini anayeheshimiwa chini ya jua na watu wanaojielewa. Kwanini upo "biased" sana katika dini kwa kila jambo ufanyalo. Kimsingi, sio mimi wengi hatukuheshimu humu JF sababu ya udini unaouendekeza we mzanzibar.

Summarize ulikuwa unaongea nini katika hayo mahojiano?
 
Naona una hamu ya kufanya mjadala na mimi.
Mimi ni mtu wa mijadala.

Napenda kujadili.
Inaelekea hunifahamu.

Ila ninapomuona mtu anataka mjadala usio na adabu basi humkwepa.

''We Mzanzibari,'' unaniita.
Mimi si Mzanzibari.

Wala si adabu kumwita mtu, ''We.''
Mimi nina heshima hapa JF na nina heshima kwengineko:

1713243755243.png

2021
1713244105625.png

1713244154761.png

2022​
 
Back
Top Bottom