1. Hospital
2. Jela
3. Makaburini
Hospitalini utajua afya ni utajiri mkubwa.
Jela utajua umuhimu wa uhuru
Makaburini utathamini umuhimu wa maisha.
Kuwa mtulivu!
Vijana,wazee
Kunawakati inabidi kujitafakari kwanza na kujiuliza kuwa ninachokifanya ni sahihi
Yaan unajipa umuhimu Kwa mtu ambaye hajui thaman ya nafasi Yako
Kiufupi tuache kujiingiza kweny kusqidia watu ambao hajatuomba msaada,shida,tatizo n.k
Sababu tunahaibishwa Kwa kuzalauliwa mnoo...
Kwa kuwa mchakato bado ujamalizika na wengine wakisubiri juwa la jioni kuweka misamahaa yao kwenye vitabu.
Kuna jambo mtakuja kubaki midomo wazi kuhusu META hii kampuni ya facebook na ubagazaji wa afrika kuficha maovu na nchi zinazo walipa mpaka urusi yupo,USA yupo,israel yupo,afrika ndio...
Tatizo huwa ni lipi licha ya baadhi ya waarabu kuwa na mioyo safi ila imekuwa kawaida sana kupata malalamiko ya wafanyakazi wengi wakinyanyaswa nchi za waaabu ?
Kipindi hiki cha mpito kuelekea nusu ya pili ya mwaka kinabeba siri nzito inayotengeneza mstari wa mgawanyiko kati ya yaliyopita na yajayo.
Haya sio mabadiliko ya namba kwenye kalenda tu, bali ni lango la kiroho linalofungua madhabahu mapya ya matokeo katika ulimwengu wa roho.
Ni majira...
Likizo ya June inakaribia, watoto watakuwa nyumbani kwa wiki kadhaa hadi mwezi. Swali la kujiuliza ni hili: Je, unamjengea mtoto uwezo wa kuishi na kujitegemea au unaendelea kuamini kwamba kumnoa kwenye ufaulu wa darasani pekee utamtoa kwenye changamoto za maisha?
Ukweli mchungu ni kwamba...
Sawa ni super pawa ila sijawahi kuona sehemu urusi anapounga mkono pakawa salama zaidi ya watu kupitia mateso,vita visivyo kuwa na ukomo,maendeleo yanakuwa kwenye jeshi tu na watawala wala sio wananchi.
Tukiwachekea hawa tuna ungana na historia za wengine.
Habarini ndugu.
Kwa wanao pafahamu Igunga vizuri ni sehemu gani nzuri ya kula bata palipo changamka siku za weekend + mziki mzuri .
Natanguliza shukran.
MCC ni kwasasa ni kama maluweluwe ni kama mtu,mbuzi,nyoka ,mara kiwiliwili ni joka kubwa na upande wa juu ni binadamu anaye nena maneno ya Makufuru kila muda na kila dakika
Kifupi MCC ni monster,liko tayari kusuck blood ya yoyote tena Lina penda fresh blood,lakini linawapambe kibao wanalipwa...
Japo tunaelekea huko kwa huu utawala wa tokea kupata uhuru.Leo nchi hii unaogopa watekaji kuliko mungu na kifo.
Maisha ya naijeria ni kama serikali iliyojifia siku nyingi ila maisha yapo yana endelea tu.
Nchi imegawanyika kuanzia kikabira,udini,kitabaka mpaka kimaovu.
Kuna majimbo mengine...
Habari!
Kuna mtazamo mmoja hivi kwamba watu ambao huwa wanaonekana ni wasumbufu lakini ni public figure mfano Balozi polepole na Mdude Nyagali pengine Kuna mahala wanaweza kuwa wamehifadhiwa kwa mda tu huku wanapata huduma muhimu hasa ikiwa watu kama hawa huwa wanahusishwa na serikali.
Huu...
Unajua, sehemu kubwa ya fahari ya jamii yoyote duniani hutokana na vitu walivyovibuni au kuviumba wao wenyewe. Waarabu walitoa mchango mkubwa kwenye mfumo wa namba, wazungu wameunda teknolojia na uvumbuzi usiohesabika, Wachina na Wahindi nao wameacha alama kubwa kupitia kazi na ubunifu wao...
Sema miji ya Tanzania hovyo sana
Sasa hivi umekaa zako unataka uende sehemu urefresh akili
Option inayokuja ni kwenda bar zama hizi swala la kutembeleana halipo tena kama miaka ya 2000 mwanzoni na kurudi nyuma
Miji yetu haina open space ambazo kwenye nyakati za weekends kunaweza kukawa na band...
Madereva tunapata changamoto kubwa pale kwenye Kituo cha SGR kilichopo Stesheni, Dar es Salaam, wanatukamata tukienda kubeba abiria, wanataka tuingie ndani ili tulipie shilingi 1,000, wakati sisi ni madereva wa mtandaoni na pale tunapita tu siyo kwamba tunaenda kuegesha vyombo vyetu.
Namaanisha...
Anonymous
Thread
abiria
buku
dar
hata
kituo
kuchukua
kulipia
madereva
sehemu
sgr
wao
Ukiwa na sehemu salama ya kulala usiku, shukuru sana hata kama unalalia mkeka.
Kuna watu usiku ukiingia wanabaki na mawazo tu ya wataegemea wapi, watajisitiri wapi, au wataamkaje salama kesho yake.
Usiku huwa mrefu sana kwa mtu asiye na pa kulala.
Kile unachokiona cha kawaida, kwa mwingine ni...
Mbunge wa Kigoma mjini akifanya mahojiano na Chief Odemba amesema “Bado kuna baadhi ya Sehemu hatujafanya Vizuri, Viongozi na wanachama wa CCM tukubali pale ambapo hatujafanya Vizuri ili tutibu huo ugonjwa, Lakini kukataa tu kwamba tumeshatisha sana, tumetisha kwenye nini?”
Ndugu zangu Watanzania,
Huo ni ujumbe wa Mheshimiwa Nape Moses Nnauye Katibu Mwenezi wa CCM Mstaafu aliyeongoza Kampeni maarufu ya kujivua Gamba Ndani ya CCM ili Wale walioitwa Mafisadi na waliokichafua chama na kujipunguzia imani na kuaminika kwa watanzania hususan vijana waweze kuwajibishwa...
Habari zenyu, poleni na majukumu
Moja Kwa moja kwenye pointi, 2024 nlivyoondoka huku dar kulikuwa na kabinti Kwa huo mwaka niliona si vyema kuingia nako kwenye mahusiano, tukawa tu marafiki story story na maswali ya shuleni ya hapa na pale, in short sikuwa na interest nacho.
2026 nimerudi ila...
Wacha wenye hela waibiwe.
Kuna Youtuber anaitwa Matt Armstrong, amekua aki-rebuild magari mbalimbali ya kifahari yaliyopata ajali au kuharibika kisha kuyauza.
Amedeal na Ferrari, Lambo, Porsche, RR, etc na amekua akionyesha step kwa step, kwahiyo gari moja anaweza akatuwekea ata kwenye video...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.