Nakupa uzoefu na facts muhimu sana. Mimi sina historia ya kukaa nyumba ya kupanga ambayo ni ya kushare wapangaji wengi. Niliwahi kukaa kwa miezi 5 tuu kipindi naanza kazi kwa mara ya kwanza. Baada ya hapo nikapata kazi nyingine nzuri zaidi nikahama mkoa kabisa, huko nikapata nyumba nzima...
Ndugu zangu Watanzania,
Mti Wenye Matunda ndio Hupigwa Mawe . Tanzania ya Rais Samia Ndio Lulu Ya Afrika, kwa Sasa ndio Taifa ambalo lina uwezo na nguvu ya kuzungumza na likasikika na kusikilizwa . Ndio Taifa lenye ushawishi na uwezo wa kushawishi na kuungwa Mkono na Mataifa mengi.
Tanzania...
Kwa mfano kwa huu mwaka tu hii simu Ni ya 20+ nikiwa na kitu changu mtu akiniuliza tu anipe bei gani huwa namuuliza yeye anatoa bei gani.
Kwa mfano Kuna siku niliuza simu nikaweka line mfukoni.
Je? Na nyinyi huwa mnafanyanje mtu akikuuliza hicho kitu chako akutoe ngapi?
Kwenye nyumba za kupanga bana kuna Mengi unakutana na sheria mbalimbali ,kudeki vyoo na kufuagia uwanja ,mwisho wa kurejea nyumbani ,marufuku ya kubadilisha mabinti ,Sheria ya mziki ulipotiliza nk
Kwa upande wako ni sheria gani ngumu sana uliwahi kukutana nayo?
Kama umefika umekuta watu wamepanga foleni au kuna mstari wanahudumiwa kwa nini usikae kwenye foleni na wewe usubirie zamu yako ili waliokutangulia kuwahi wahudumiwe kwanza?! Kama uko barabarani kwa nini unatanua?
Tabia za kipumbavu na kinyani za Waafrika zinaanzia mbali sana. Tukiwa shule ya...
Habari wote,
Kama kawaida nawaletea mfumo wa kusimamia mahesabu ya nyumba au apartment za kupanga.Huu ni mzuri zaidi kwa wale wenye nyumba nyingi/apartment na wanahitaji kuweka records vizuri na kuona faida inayopatikana
Mfumo unahifadhi
1.Taarifa za nyumba/apartment zako
2.Taarifa za...
Kama una miaka 40+ na bado unaishi nyumba ya kupanga ukiwa na familia, jiulize upya kuhusu mwelekeo wa maisha yako. Je, uko kwenye njia sahihi ya kujenga mustakabali wa familia yako, au umekwama katika hali ya kurudia kila mwaka bila maendeleo ya kweli?
NB: Table hii haihusiani na bei mpya iliyotangazwa leo. Imetumika tu kujenga hoja.
Jumla ya tozo ambazo zipo kwenye bidhaa ya mafuta ya Petrol na Dizeli kwa kila lita moja ni kama 30% ya bei. Serikali iiangalie namna ya kupunguza tozo hizi hata kwa 50%. Nchi kadhaa za Afrika kama Namibia...
Poleni na starehe vijana. Kupanga ni kuchagua, sasa utaamua ununua IST huku unaishi kwa baba mwenye nyumba au kujenga kama haka huku unarudi kulala pazuri ukiwa kwenye daladala au bodaboda. Mjumbe hauawi.
Weekend njema.
Kutoka X by MD
1. Mashahidi wote waliperuzi simu zao Tarehe 04 April
2. Mashahidi wote walishawishika siku hiyo hiyo.
3. Mashahidi wote walikamatwa ila hawakufunguliwa kesi
4. Mashahidi wote nini kingine tena.....Ongeza
MBINU ZA KUPANGA BAJETI
Namna matajiri wanavyopanga Bajeti zao kwanza
Kufuatilia matumizi yao.
Kuishi chini ya kipato chao.
Kuepuka deni la matumizi.
Kujilipa wao kwanza.
Kuwekeza kwa muda mrefu.
Kuweka malengo maalum.
Kuotomati maamuzi ya kifedha .
Kupunguza kodi.
Kupitia upya bajeti yao mara...
Sheria ya data protection inahusu watu gani?
Nimeshangaa kuona Polisi Tanzania wakivunja sheria and za nchi na luhumu watu kabla ya mahakama kutoa hukumu. Kosa ni kuwa CHADEMA na kupinga maovu yanayoendelea Nchini iikiwemo polisi kuua watu, na Uchafuzi wanaouita uchaguzi. Ukipinga maovu ya...
Kama tunavyojua leo tarehe 6/10/2025 kesi ya uhaini ya Tundu Lissu inaanza kusikilizwa mfululizo kwa jamhuri kuanza kuwasilisha ushahidi wa mashikata yao..
Mara baada ya mahakama kuanza, Tundu Lissu ameibua hoja tatu za kisheria ambazo imewalazimu majaji kuahirisha mahakama kwa dakika 30 ili...
Baada ya Charlie kirk kuuawa kazi bado haijaisha, Wafuasi wa chama cha Democrats wameshauri zoezi liwe endelevu na wametoa orodha ya majina ya republicans wa kuuawa.
Hawa Republicans waliotajwa wamekuwa mwiba kwenye sera za democrats zinazohusu Abortion, Kuruhusu wahamiaji haramu, kuruhusu...
Mkurugenzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhani Kailima, akizungumza na Wawakilishi wa Vyama 18 vya Siasa vitakavyoshiriki Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, kuhusu kupanga ratiba za kampeni zinazotarajiwa kufanyika nchi nzima kuanzia Agosti 28, 2025 hadi Oktoba 28, 2025.
Kikao hicho...
Habari za muda huu ndugu zanguni, niende moja kwa moja kwenye mada husika;
Naomba msaada au ushauri wa haraka kuhusu mahali pa kupanga chumba au vyumba kwa maeneo ya karibu na kambi ya Jeshi ya Mgulani au Uwanja wa Taifa. Nimepangiwa kufanya kazi eneo la karibu na hayo niliyoyataja, na...
Kuna mtu ana nyumba mbili moja karibu na nyingine Buyuni, Chanika. Ni self-contained, na kila moja ina eneo la kutosha. Ni karibu na maeneo yafuatayo: Hospitali binafsi ya Tikaya (ina huduma za kawaida na kibobezi), soko la Buyuni, na ni karibu na usafiri wa kwenda au kutoka mjini. Kwa yeyote...
Kwa aliye angalia pambano la Mfaume dhidi ya mmalawi atakuwa alipigwa na butwaa kwa kile kilichoamuliwa na majaji.
Kwa kuwa tunapenda uzalendo kuliko uhalisia basi tusahau maendeleo ya mchezo wa maswimbi Tanzania .Ni aibu.
Mfaume alipigwa mpaka ukumbi ulikuwa kimya wakati wote wa mchezo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.