miamala ya simu

No Wikipedia entry exists for this tag
 1. Replica

  Tozo zatinga kwenye mabenki, kuanza kukusanywa Septemba 8, 2021

  Habari wakuu, Miamala yote ya fedha ya kibenki itayofanyika kupitia simu itaanza kukatwa tozo. Mathalan unataka kuhamisha fedha kutoka kwa Helena mwenye akaunti namba XX kwenda kwa Huruma mwenye Account namba XY na ukatumia simu kufanya mchakato huo utawajibika kuichangia Serikali katika ujenzi...
 2. T

  Waziri Mwigulu: Serikali imekusanya Tsh Bilioni 63 tozo miamala ya simu, zitajenga vituo vya afya 220 kwenye tarafa

  Toka tozo za miamala ya simu ianze bilioni 63 zimekusanywa na tayari Serikali imeshapeleka fedha kujenga vituo vya afya 220 kwenye tarafa zote zisizokuwa na vituo vya afya kabisa. Hakuna tarafa yoyote nchi nzima ambayo haitakuwa na kituo cha afya kwasasa. Kodi yetu imeleta matokeo, Watanzania...
 3. B

  Mwigulu na Uhalisia wa Miamala ya Simu

  Dkt. Mwigulu Nchemba amesikika hadharani akisema miamala ya simu haijaathirika na uwepo wa tozo mpya kwa jina la uzalendo: Hii si kweli na huu ni ushahidi ukiwahusisha mawakala na wenye mitandao: Achilia mbali kuwa wengi wetu tuliokuwa wateja wa shughuli hizi za miamala tumeachana nazo...
 4. Roving Journalist

  Mwigulu Nchemba: Serikali imekusanya bilioni 48 kutoka kwenye Tozo za miamala ya simu kwa wiki nne

  Wakuu, Waziri wa Fedha, Dr Mwigulu Nchemba anazungumza na waandishi wa habari muda huu kuhusu miradi ya Serikali pamoja na Tozo za miamala ya simu pamoja na mafuta. Kuwa nami kukujuza yanayojiri ========== Mwigulu Nchemba-Waziri wa Fedha na Mipango =▷ Itakuwa aibu mtanzania yoyote alie hai...
 5. mshale21

  Serikali ya Tanzania yaipinga kesi ya miamala ya simu

  Dar es Salaam. Hatima ya shauri la kupinga tozo za miamala ya simu lililofunguliwa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) itajulikana Septemba 8 pale Mahakama Kuu itakapotoa uamuzi wa pingamizi la Serikali. Kituo hicho kilifungua shauri hilo Julai 27 Mahakama Mahakama Kuu dhidi ya...
 6. B

  Tozo Miamala ya Simu bado kimeumana

  Alisikika Mh. Rais kuwa tozo kwenye miamala ya simu zimeridhiwa na wananchi kwa maslahi yao. Mapema aliwahi kusikika Dkt. Mwigulu akisema tozo zenyewe ni ndogo tu. Bila shaka msomi huyu alisahau kuwa chochote cha zaidi kwenye nyingi zilizopo, hakuufanyi mzigo wa tozo zote kwa watu kuwa...
 7. K

  Tozo kupitia miamala ya simu ikiendelea itakuja kuigharimu Serikali ya CCM

  Wananchi wametoa malalamiko yao kwa Serikali lakini bado kimya, watu wengi wameacha biashara ya miamala ya simu na hii inapelekea familia zao kupata shida, hata malengo ya Serikali yaliyotarajiwa hayatafikiwa kwa sababu watu wengi wameacha kutumia huduma hii. Mfano mimi leo nimetuma Tshs.1m/=...
 8. Shujaa Mwendazake

  Rais Samia: Watanzania hawajakataa Tozo za miamala ya simu

  Wengi wetu tumeangalia habari kwenye gazeti pendwa la uhuru kuwa Mama hatagombea 2025. KUNA KIHABARI NDO KIMENIVUTIA HABARI NA MPAKA SASA NATAFUTA GAZETI SILIONI BARABARANI. Kwamba Sisi watanzania hatujakataa Tozo za Miamala ya simu. Wewe ulimtuma waziri mkuu kuwa umesikia kilio chetu na...
 9. VUTA-NKUVUTE

  Rais Samia, ulitaka wananchi tukataaje tozo za miamala ya simu?

  Rais na Mwenyekiti wangu wa CCM Taifa, umenifikirisha na kunisikitisha sana. Nimekusikiliza na kukutazama kwenye mahojiano yako na mwandishi na mtangazaji nguli Salim Kikeke. Nimekufuatilia hadi nikalia ulipokuwa ukijibu maswali bila kujali athari. Juu ya tozo za miamala ya simu, nimekusikia na...
 10. Memento

  Rais Samia, ni Watanzania gani hao waliokubali hizo tozo?

  Nimeshangaa na kufadhaishwa sana naa kauli ya raisi kuwa eti watanzania hawajakataa tozo na wapo tayari kuchangia hizo tozo ila tu zipunguzwe. Hii kauli imenifanya nijiulize sana kuwa either amechoka kuongoza au hajui afanye nini. Watanzania gani hao wanaokubali tozo hizi? Mmekaa wenyewe...
 11. Thailand

  Serikali inawahamisha wananchi wasahau na wasiongelee tena TOZO ya miamala ya simu. Wananchi tuendelee kuwalaani viongozi wetu waliotuletea huu wizi.

  Huo hapo juu ni wizi na hujuma za waziwazi tunaofanyiwa na serikali yetu. Cost of living imekuwa kubwa, uchumi wetu wa kusuasia unazidi kuwa hoi hasa wazazi na ndugu zetu wanaotegemea mpesa, tigopesa, airtel money kufanyiwa miamala yao. Fikiria ndani ya ada za miamala kuna 18% kodi inayoenda...
 12. Sandali Ali

  Hakuna Mtanzania atakayempigia kura ya ndio kiongozi aliyemletea tozo za miamala ya simu

  Habari, Endapo uchaguzi mkuu utafanyika leo au hiyo 2025, hakuna Mtanzania (ukiondoa tabaka tawala) atampigia kura kiongozi ambaye amemletea tozo za hovyo za miamala ya simu kienyeji. Muamala ambao mtu alikatwa shilingi 2700 sasa anakatwa karibu elfu tano nzima. Mtanzania wa chini alikuwa...
 13. Ritz

  Charles Odero, afungua kesi Katika Mahakama Kuu kupinga tozo za Miamala ya Simu

  Wanaukumbi. Mwanaharakati wa Masuala ya Haki za Binadamu, Charles Odero, amefungua kesi Katika Mahakama Kuu, Dar es Salaam dhidi ya Waziri wa Fedha na Mwanasheria Mkuu wa Serikali kupinga tozo za Miamala ya Simu iliyoanza Julai Mosi. Kesi hiyo itaanza Alhamisi,Agosti 12. Hawa ndiyo...
 14. MR TOXIC

  Kodi ya miamala ya simu ni mbinu mpya ya upigaji?

  Ni wiki chache tu tangu serikali ianzishe kodi ya miamala ya simu kwa madai kwamba mapato yatakayotokana na tozo hizo yataenda kufungua barabara za mjini na vijijini. Lakini juzi, waziri huyo huyo aliyetuaminisha kwamba barabara zitajengwa kwa kodi inayotokana na tozo ya miamala ya simu...
 15. Shujaa Mwendazake

  Ukweli uliojificha: Tozo za miamala ya simu ndiyo jawabu la kilio cha Mabenki nchini

  Haya malalamishi yamekuwapo siku nyingi sana toka kwa Mabenki kuhusiana na Kampuni za mawasiliano kufanya kazi kama Benki za Akiba yaani zaidi ya Mobile Transfers (Mfano Moneygram, Western Union, n.k) pia watu wengi sana wamekuwa wakihifadhi pesa kwenye akaunti zao za huduma za kifedha kwenye...
 16. Replica

  Rais Samia Suluhu awaapisha Mabalozi Ikulu. Asema Tozo za Miamala zitaendelea ila zitarekebishwa

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan awaapisha Mabalozi 13, Ikulu Dar es Salaam ========== Anaeongea kwa sasa ni waziri wa mambo ya nje, balozi Mulamula ambae anamshukuru kwa Imani kubwa ambayo amewekeza kwao na wizara ya Mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki...
 17. K

  Kampuni za Simu zaipongeza Serikali kufikiria upya uamuzi tozo za miamala ya simu

  Watoa huduma za simu nchini wamepongeza uamuzi wa hivi karibuni wa Serikali katika kuangalia upya kodi za miamala ya simu iliyotokana na sheria mpya ya fedha kwa mwaka 2021/22, huku wakisisitiza kuwa uamuzi huo utaongeza chachu katika uwekezaji ndani ya sekita hiyo. Hayo yalibainishwa jijini...
 18. A

  Makato ya miamala ya simu

  MAKATO YA MIAMALA YA SIMU Kwa kipindi cha hivi karibuni suala la makato ya simu limekua gumzo nchini na kuibua sitofaham na kauli za utata kutoka kwa baadhi ya viongozi, huenda walioanzisha tozo hizo hawakua na lengo baya ila naweza sema kwamba hawakufanya upembenuzi yakinifu pamoja na...
 19. tpaul

  Ikiwa makato kwenye miamala ya simu, LUKU na mabenki hayatabadilika nini kifanyike?

  Jambo wakuu? Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kupepesa macho wala kutikisa masikio. Ni ukweli usiopingika kwamba makato kwenye miamala ya simu, LUKU na mabenki yanawaumiza kichwa wananchi wanyonge, hasa ukizingatia kwamba watu wenye uwezo mkubwa wa kifedha kama Rais, Makmu wa Rais, Waziri...
 20. kavulata

  Kupandisha bei za mafuta na miamala ya simu kwa wakati mmoja ni kumchonganisha Rais na Wananchi wake

  Inafahamika wazi kuwa kama utapandisha bei ya mafuta utapandisha pia bei zote za vitu vyote kwa wakati mmoja, na gharama yote itakwenda kwa mwananchi wa kawaida anaetumia huduma. Wananchi wa vijijini wanategemea watoto na ndugu zao walioko mijini (machinga) kutumiwa pesa kwa simu ili waweze...
Top Bottom