Alafu koku lazima awe mweusi mrefu kiasi sio mnene ,ila natasha wengi wao ni weupe alafu wana makebo makubwa
koku ni wana maneno mengi saanaa, alafu natasha ni mabingwa wa vizinga
Kufuru anayofanya and force aliyonayo ni mfano aina ya mtu ambae sio energy ya kibinadamu.
Nafikiri yupo possessed au connected na element fulani hivi.
Mgonile wadau,
Mdada anakuja kwako kukusalimia ,umeandaa vyazi nyama na mazagazaga kibao unajua Leo umempata mtu WA kupika chakula kizuri. Anakuambua agiza chakula yeye hawezi pika anatoa visingizio kibao kumbe hawezi kupika
Unampeleka binti kwenu , mtihani wakwanza mama anamwambia ampikie...
Mahusiano ni jambo zito sana ila ndoa ni nuclear ya mambo mazito mnoo.
Wengi wapo na wenzi wao physically kwa sababu inambidi tu kutokana labda ndoa au watoto wanao share pamoja ila kihisia yupo na mtu mwingine kabisa
mwanamke inamuuma kuwa walivitafuta pamoja na mmewe na hata kuna kipindi...
ardhi
baada
ila
kutokana
labda
lawyer
mdada
msibani
mtu
mtu mwingine
mwingine
ndoa
nyumba
pamoja
sababu
share
wao
wapo
watoto
watoto wawili
wawili
wengi
Leo nimekaa sehemu karibu na genge la matunda akaja mdada mmoja anataka kununua tango akapewa akasema hapana mi napenda matango manene,baada ya kauli hiyo akaniangalia huku anacheka namimi ikabidi nitabasam kidogo akaendelea tena nipe na lile kubwa, akageuka tena akaniangalia huku anacheka...
Nilihisi Duniani Nimeona Vyote kumbe Nimeona Vingi Na Si Vyote,Kuna Mdada Humu JF Kaitisha Maandamano ya Hisia zangu Moyoni Juu Yake,
Macho Yangu Yamemlasimisha Hakuna kama Yeye Ana Shape Namba F na Tabasamu La Mwaka Wa Mbele Na Hakika Wanaosema Hamisa Mobetto Ni Mrembo Hawajawahi Kumuona Yeye...
Wadada wote JF wenye T3 sema oyeee❤️
Yani unakuta mrembo hayo maaanabeli yake hapo kifuani yapo round, manene ya wastani alafu yana point mbele,
tumbo ndio hilo lipo flat, side stomach yake haina nyama bali imetoa njia kuruhusu hips zitoe shangwe
alafu unakuta makebo ndio usiseme, yapo curvy...
Kwanini dharau zinakuwa nyingi kutoka kwa wadada wa aina hii?
kuna shida gani tukajenga wote maisha tokea chini? Kwani ni lazima unikute na gari tayari?
Hatutaki wa aina yenu wa telegram, tunataka mkiwa warembo mtukabalie na tutawafanyia makubwa mambo yakiwa makubwa.
Kule wachimbaji kuchakaza milion 30 kwa siku ni kugusa tu
Maisha ya machimboni ni ghali sana nashangaa dogo unatoka mikoa kanda ya ziwa unakimbilia dar kuchoma mahindi barabarani au kuuza supu za pweza huku unaacha madini utakuwa na akili kweli? 😂
Mwisho, Geita ngwengwe ipo tumia kinga mtu wangu
average ya muda mdada mwenye makebo makubwa kukuvumilia ni miezi mitatu hadi sita, kuongeza na mwezi mmoja wa wewe kulia lia ili mrudiane ni miezi 7.
Ukiona mdada mwenye makebo makubwa yupo na wewe mwaka mmoja hadi miwili ujue ana pata uhuru wa wewe kutomfatilia na yeye kuridhika na mfuko wako...
Niliwahi kuwa na girlfriend back in 2018,
Alienielezea namna jamaa alivyokuwa anamchapa makofi na muda mwingine kumuingilia kinguvu kingono. Na akasema hataka amrudie tena huyo mbwa
Red flag ilikuja pale yule demu akawa anamzungumzia jamaa kila mara, nikagundua huyu fala bado bado ana miss...
Hili jibu la nina mtu linakera sana!, kama umeshajua haiwezekani kunikubalia si useme tu haiwezekani. Unanitajia mimi li mtu lako la kazi gani...?
Ipo siku nitakuja kushuka na mtoto wa mtu hivihivi kimasihara, wadada wenye tabia hii badilikeni inakera...😎
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.