Tujuzane mbinu wanazotumia matapeli kuwatapeli wafanyabiashara za miamala ya kifedha

Restless Hustler

JF-Expert Member
Apr 9, 2017
4,742
17,991
Tujuzane mbinu wanazotumia matapeli kuwatapeli/ Kuwaibia wafanyabiashara za miamala ya kifedha kama M-PESA, TigoPesa, Halopesa, Airtel Money nk.

Naanza:

Tapeli anakuja jioni anatoa Kaisi kikubwa Cha hela anaondoka, lengo ni ili awe na uhakika wa cashes ulizonazo. Kisha baada ya dakika chache wenzake wanakuja wanakuvamia wanachukua hela zote.

Naomba anayejua mbinu nyingine aweke hapa ili tunaofanya biashara hizo Tuwe na taadhari juu ya matapeli
 
Mimi bado sijakubari kuvalishwa hii kamba maana vibanda vya M-Pesa havipo maporini,
 
tapeliA anakuja kutoa pesa, ila anachonga na mwenzake tapeliB toka mkoa mwingine
yule tapeli B anatoa pesa kwa wakala kwa msaada wa tapeliA, tapeliA anapokea pesa na kusepa kisha tapeliB anawapigia customer care na kusema amekosea kutuma

muamala unarudishwa chap
Duh! 🙄

Suluhisho/ mbinu za kukwepa hiki kipigo?
 
tapeliA anakuja kutoa pesa, ila anachonga na mwenzake tapeliB toka mkoa mwingine
yule tapeli B anatoa pesa kwa wakala kwa msaada wa tapeliA, tapeliA anapokea pesa na kusepa kisha tapeliB anawapigia customer care na kusema amekosea kutuma

muamala unarudishwa chap
Muamala kabla ya kurudishwa lazima upigiwe simu na huduma kwa wateja kwanza.
 
Tujuzane mbinu wanazotumia matapeli kuwatapeli/ Kuwaibia wafanyabiashara za miamala ya kifedha kama M-PESA, TigoPesa, Halopesa, Airtel Money nk.

Naanza:

Tapeli anakuja jioni anatoa Kaisi kikubwa Cha hela anaondoka, lengo ni ili awe na uhakika wa cashes ulizonazo. Kisha baada ya dakika chache wenzake wanakuja wanakuvamia wanachukua hela zote.

Naomba anayejua mbinu nyingine aweke hapa ili tunaofanya biashara hizo Tuwe na taadhari juu ya matapeli
Huu ni utapeli au uvamizi?
Kwanini unataka ujifunze mbinu za utapeli?
 
Back
Top Bottom