Anahitajika msichana wa kusimamia ofisi ya miamala

chuma jr

Member
Oct 17, 2015
84
133
Anahitajika msichana wa kusimamia ofisi ya miamala ya Tigopesa.

Vigezo
  • awe na uzoef kwenye kazi hiyo au uzoef katik tasnia ya uwakala.
  • awe mtu wa kujituma na mwenye lugha nzuri kwa watu wote.
  • asiwe mtu wa hasira au dharau.
  • awe na uwezo wa kujisimamia mwenyewe na kupangilia mambo katka ofisi.
  • Awe tayar kuingia ofisini siku zote mpk jumapili.
  • Awe na uwezo mzuri kwenye mahesabu na kusimamia mahesabu ipasavyo.
  • Uwezo wa kutumia computer vizur utakuongezea thamani.
  • Awe anatokea maeneo ya karibu na Buguruni ilipo ofisi.
Mshahara utategemeana na commission itakavyotoka ila mwezi wa kwanza kazini utapewa nauli ya kukufikisha kazini kila siku.

Kama upo tayar na umekidhi vigezo Basi tuma ujumbe kwa namba hii 0627218573 sms za kawaida na whatsapp tu.
 
Sio haki
Mpe mshahara unataka atimize vigezo vyote hivyo na bado mshahara wake uwe wa commission kweli...

Mm kuna mtu yuko dar lakin hajui chochote kuhusi uwakala kama utaanza kumpika sawa hiyo commission mtawezana

Ila.kwa mtu skilled kabsaa then umpe cammision badala ya salary utawakosa wengi
 
Back
Top Bottom