SoC03 Serikali iweke asilimia 20% kwenye vifurushi na miamala ya simu itakayokwenda kwa mteja

Stories of Change - 2023 Competition

JOZEY MAGANGA

New Member
Aug 28, 2022
3
0
Watu wengi wamekuwa wakilalamika sana kuhusu kuhusu ununuzi wa VIFURUSHI na makato kwenye miamala ya simu wakiona kuwa wanapata faida ndogo hususani kwenye VIFURUSHI ukilinganisha na gharama wanayotoa! Naishauri SERIKALI waweke ASILIMIA kwenye gharama anayotoa MTEJA Ili irudi kwa MTEJA kama faida.

Mfano kama MTEJA ananunua kifurushi cha tzs 500, basi 400 iwe thaman ya kifurushi pamoja na Kodi zote halafu sh 100 kuwepo na akaunti ambayo itakusanya faida zote ambazo MTEJA atakuwa amepata kutokana na Kununua kifurushi au kufanya miamala, halafu izo faida MTEJA awe anazitoa mara Moja kwa mwaka na ingependeza iwe mwishoni mwa mwaka!

FAIDA YAKE Kampuni za mitandao zitauza sana vocha na kufanya miamala mingi maana wateja wataona wakinunua vocha au kutuma au kutoa pesa watapata faida ya kujikusanyia kiasi Fulani hivyo hata malalamiko kwa SERIKALI yatapungua, pia SERIKALI itaongeza ukusanyaji wa Kodi maana wananchi watanunua sana VIFURUSHI na kufanya miamala.
 
Back
Top Bottom