kutuma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lady Whistledown

    Tiktok yatakiwa kutuma ripoti kila baada ya Miezi 3 katika udhibiti wa maudhui yasiyofaa

    Wizara ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano ya Kenya imewaambia Wabunge kuwa kuwasilishwa kwa Ripoti za Utekelezaji kila baada ya Miezi 3 Wizarani ni sehemu ya mpango wa kushughulikia athari hasi zinazohusiana na TikTok, badala ya kuifungia nchini humo Waziri wa Habari na Mawasiliano John...
  2. Genius Man

    Vitu gani vya muhimu unatakiwa uwe navyo ili kutuma au kupokea mzigo bandarini?

    Habari, Kwa wale wazoefu wa kutuma mizigo na kupokea kutoka nje ya nchi kwa njia ya bandari hapa Tanzania, hivi ni vitu gani ambavyo ni vya muhimu mtu anatakiwa awe navyo wakati wa kutuma au kupokea mzigo kutoka nje ya nchi?
  3. sanalii

    Ni aibu kwa chombo cha habari kama Times FM kutuma taarifa za uongo

    Picha inayosambazwa mtandaoni ikidaiwa kua ni raisi mteule wa senegal enzi hizo akiwa shambani na mke wake. Kwa akili ya wastani tu hata ukiwaangalia hawa ni qatu wawili tofauti. Picha ya kijana anaelima ilitumwa mwaka 2021 katika ukurasa wa facebook wa Zambia report, post hiyo yenye picha...
  4. proton pump

    Tetesi: Usijisikie kukata tamaa sasa karibu humu ndani tupeane moyo kwa kutuma picha na mziki unaojenga ubongo, pia kutoa maoni yanayojenga afya

    Hivi karibu kuna nyuzi nyingi za watu kukata tamaa na kutaka kujiua, kuacha au kuachika katika mahusiano ya me na ke, biashara kugoma, kukosa kazi ya kufanya, kuchukiwa na ndugu jamaa na marafiki n.k Ewe mwanadamu mwenzagu hukuzaliwa kwa bahati mbaya ndani ya ulimwengu huu. Huenda unapitia...
  5. Balqior

    Wanaume wengi siku hizi tumejanjaruka, nikikutongoza leo, kesho ukaniomba hela, ni mbio, hakuna kutuma hela wala kubembeleza

    Hello Hii staili ya wanawake sijui niite ni udangaji, kukomoa mtu, au kumjaribu mtu, pale ambapo mdada umetongozwa tu leo, kesho unaomba hela, nlishangaa kugundua hadi watoto wa kiume wa form 4 wanaijua hio staili, unaombwa hela, ukiitoa mtu kwenye miadi hatokei, sababu kibao, bora ukimbie, na...
  6. L

    Kutuma salamu za pongezi kwenye mkutano wa AU kwa miaka saba mfululizo, ni mambo gani anayojali Xi Jinping?

    Hivi karibuni, Rais Xi Jinping wa China alituma salamu za pongezi kwenye Mkutano wa 37 wa Wakuu wa Nchi za Umoja wa Afrika. Huu ni mwaka wa saba mfululizo akiendelea kutuma salamu kwenye mkutano huo. Huu ni mkutano wa kwanza wa kilele kufanywa na Umoja wa Afrika tangu ulipojiunga rasmi na G20...
  7. Ritz

    Bunge la Marekani lashindwa kupitisha Muswada wa Kutuma Bilioni 17.6 kwa Israeli

    Wanakumbi. Naona hali tete huko Marekani Israel kaishiwa pesa kaomba msaada dharura wa pesa, Netanyahu kamuomba Biden pesa Biden kapeleka mswada bungeni Wamarekani wamekataa kutoa pesa ni muda sasa Waisrael weuisi ya Majji matitu, Ngudu, Kimara kupelekq pesa Israel...
  8. Robert Heriel Mtibeli

    Moja ya dalili kuwa hujitambui na hujiamini ni kutuma nauli kwa mwanamke ambaye ndio kwanza mnaanza mahusiano

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Lazima uliwe nauli wewe si lijinga. Na mimi nawasisitiza kina dada endeleeni kuwachangamsha ubongo wanaume wasiojitambua na wasiojiamini. Wewe umemtongoza Binti au mwanamke labda kwenye Daladala, au mtandaoni,au umekutana naye mtaani au Kanisani au popote. Ni...
  9. Lord denning

    Nawezaje kutuma jambo moja kwa moja kwa Rais au Wasaidizi wa Rais?

    Nina mawazo kuhusu mambo ya kuwekwa katika mpango mpya wa maendeleo wa Taifa. Mawazo yangu siwezi kuyaweka humu maana inaweza yakaibwa na nchi nyingine hivyo kupelekea mambo hayo kwenda kufanya na nchi nyingine na sisi tukaendelea kubaki nyuma. Nawajua watendaji wetu wengi, hawasomagi meseji...
  10. Gentlemen_

    KERO: DAWASA Acheni kutuma SMS za madeni kwa wingi

    Kwanza Maji yenyewe mnayatoa kwa mgao (Hamjatangaza tu), huku Tabata hasa Kinyerezi maji mnabangaiza kuyatoa. Mkijiskia ndio mnayaachia hamfati ratiba inayoeleweka. Nirudi sasa kwenye KERO. Mnatuma sana SMS zenu kila muda mnatuma hayo madude yenu. Kuweni na weledi basi na mkiwa mnafanya...
  11. G

    Msaada: Jinsi ya kutuma maombi ya kazi NSSF

    Wakuu habari zenu? Kuna nafasi kadhaa za kazi zimetangazwa na NSSF, naombeni msaada njia ya kutuma maombi ni kupitia posta ama kuna njia nyingine, maana naona kule ajira portal hazipo. Ahsante in advance.
  12. MrWings

    Leta experience yako kwenye haya mambo( pain ya kuliwa naul na demu, Raha ya kula nauli ya me na inawezekanaje watu wanaendelea kutuma nauli?)

    Mimi binafsi nilishwah kuliwa nauli 10k na precious, japo nikampat mbelen ila the moment nauli ililiw iliniuma mno. Toka apo sijawahi tuma Tena Kwa yyote.
  13. R-K-O

    kwanini wanawake wakibeba mimba nje ya ndoa wanapenda kutaarifu kwa meseji badala ya kupiga simu ama kuongea uso kwa uso?

    Ni kwa nini haya mambo yasiwe ya ana kwa ana ama kupiga simu, kwanini wengi wakipata mimba iwe ni yako ama kubambikiziwa hupendelea kukujulisha kwa meseji?
  14. MK254

    Huku Mrusi akiendelea kuteswa na HIMARS na Storm missiles, Ujerumani wanajadili kutuma Taurus

    Nimependa sana namna dunia imejitolea kuhakikisha hako kainchi ka-Ukraine kamejilinda dhidi ya udhulumaji wa Urusi, madubwana yametumwa na kufanya Urusi ikose hamu kabisa ya hivi vita. HIMARS bado zinatesa balaa huku storm shadows zikipenya. Wajerumani wanajadili kutuma Taurus, ni aina ya...
  15. Mwande na Mndewa

    CCM yaamua kutuma meseji kwa kila Mtanzania kuwakataa wanaopinga mkataba wa kuuzwa kwa bandari zetu

    Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Daniel Godfrey Chongolo kwa niaba ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndg. Samia Suluhu Hassan, anakupongeza Ndg. John Keshokutwa Madenge kwa kuwa mstari wa mbele kukataa wapotoshaji wanaopinga hatua za uboreshwaji wa huduma za Bandari, kama...
  16. Gutapaka

    Msaada: Kutuma maombi HESLB

    Habari, Naomba msaada ukurasa wa Guarantor na Demographic information zinaload sana na hazisubmit taarifa. Nitakuwa nakosea wapi? Asante.
  17. benzemah

    Baraza la ushauri la watumiaji wa huduma za mawasiliano Tanzania laipongeza Serikali kwa kuondoa tozo ya kutuma miamala ya fedha kidijitali

    Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Mawasiliano Tanzania (TCRA CCC) linaishukuru na kuipongeza Serikali ya Awamu ya Sita, chini ya ongozi wa Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa uamuzi na hatua za kundoa tozo kwenye huduma ya kutuma miamala ya fedha kidijitali. Kuondolewa kwa too hil...
  18. Rurakha

    Serikali imefuta Tozo Kwa muamala ya kutuma na sio miamala ya kutoa kama wanavyojinasibu

    Napenda kuwataarifu kuwa Tozo zilizofutwa ni Kwa miamala ya kutuma pesa pekee Mfano umeweka pesa kwa Wakala na umahitaji kufanya transfer kwa nature ya maumala huo Hauna Tozo Ila ukienda Kwa Wakala au Benki kutoa pesa utakatwa Tozo Mfano nimeambatisha makato ya mtu anaetoa 70k Kwa Wakala...
  19. Nyendo

    Twitter kuweka ukomo wa kutuma DM's kwa siku

    Mtandao wa Twitter wanafanyia kazi mfumo wao, kwa ajili ya kuweka ukomo wa kutuma ''DM's'' Direct Messages kwa siku na hivyo kumuhitaji mtumiaji kulipia ''Blue check'' ili kuweza kutuma DM's bila ukomo kwa siku.
Back
Top Bottom