Tulipanga kukusanya shilingi ngapi kwenye tozo za miamala

OLS

JF-Expert Member
Oct 12, 2019
419
670
Nimeangalia data kutoka TRA kujua tumekusanya shilingi ngapi tangu serikali iweke tozo kwenye miamala ya simu, hadi sasa tumeshakusanya Tsh Bilioni 362.1281, hii ni kuanzia zilipoanzisha hadi robo ya pili ya mwaka wa fedha 2023/24
1710410695117.png

Ukiangalia takwimu hizo kuanzia Juni 2022 makusanyo yalipungua, na kwa mwaka huu yamepungua kuliko miezi ya awali ya tozo hizo. Hata hivyo kwa jumla ya fedha ambayo tumekusanya. Kuna haja gani ya kuendelea kuzikusanya ikiwa lengo limeshafikiwa.

Nawasilisha hoja mezani
 
Back
Top Bottom