baleke

Hellen Baleke (born 3 May 1987) is a Ugandan amateur boxer notable for being the first Ugandan woman to win a bronze medal in boxing at the 2019 All Africa Games.

View More On Wikipedia.org
  1. baba aura

    FT | Ihefu SC 1 - 1 Simba SC | NBC Premier League | Liti stadium | Aprili 13, 2024

    Ihefu sc vs Simba sc saa 10:00 jioni CCM Liti stadium NBC premier league Leo wanasingida watakuwa wanashudia mtanange mkali baina ya mwenyeji ihefu vs simba sc, wakiendelea kusaka pointi muhimu za kuamua nani bingwa msimu huu. Tukutane hapa kwa update. KIKOSI CHA SIMBA KIKOSI CHA IHEFU
  2. William Mshumbusi

    Swala la Phiri, Onana na Baleke nashauri Benchika achunguzwe. katumwa na waarabu aje kuiua Simba

    Kama maamuzi hayo ya kuwaacha Saidoo, Onana na Bocco kafanya Benchika basi yupo hapo Simba kuiua. Kama maamuzi hayo kafanya mo basi mpango wake ni kuiacha Simba mbovu kama aliyoikuta. Lengo ataeichukua aumize kichwa. Kama maamuzi kafanya try Again na Mangungo basi wametukomesha. Phiri kaja...
  3. Objective football

    Jean Baleke akiachwa Simba itakua ndiyo mwisho wangu kuwashabikia Wanalunyasi

    Kuna tetesi zinasambaa kuwa Baleke na Phiri wataachwa hivi punde klabuni kwetu. Nasema kabisa hapa jukwaani viongozi wa klabu wasipo elewa kuwa soka ni mchezo we ups and down nyingi huu utakua ndio mwisho wangu kuipenda hii klabu. Yaani umteme baleke licha ya uwezo wake mkubwa wa kumiliki...
  4. GENTAMYCINE

    Tetesi: Chukueni hii ya Moto Moto kabisa. Inonga, Kapombe, Chama, Manula na Baleke miamala yao ilisoma mapema sana

    Asante sana Wewe Mchezaji Mwandamizi Simba SC na Kiongozi (Mjumbe) wa Bodi ya Simba SC kwa kunipa Taarifa hii muhimu sana. Laana zangu Kali GENTAMYCINE ziwaendee na nina uhakika zitawaathiri mno nyie wachezaji kwa mlichokifanya. Halafu kabla GENTAMYCINE sijaja na Exclusives zingine Kubwa Mbili...
  5. GENTAMYCINE

    Tafadhali dirisha Dogo la Usajili likifunguliwa tu Onana wa Simba SC aachwe na ikiwezekana hata na Baleke pia

    Winga Mshambuliaji Onana baada ya Kumuona Mwenyewe katika Mechi alizocheza ( achilia mbali kule Rwanda alikokuweko ) nimegundua kuwa kwa 100% si Mchezaji mwenye Hadhi ( Profile ) ya Kuicheza Timu Kubwa na inayohitaji Matokeo ya haraka kama ya Simba SC. Cha muhimu na kipekee alichonacho Onana ni...
  6. GENTAMYCINE

    Jean Othos Baleke angeacha ule Upumbavu wake ambao Uliwatoa kwa muda Wachezaji Mchezoni Al Ahly FC wasingepata lile Goli lao la Pili

    Nina uhakika na najua Wengi wenu Kiufundi hili hamkuliona na kuna baadhi hamtonielewa kwani inahitaji Jicho la uhakika Kuliona na Kujua. Mpaka hivi sasa ( yaani leo hii ) najiuliza nini kilimkuta na kumsababisha Mshambuliaji Jean Baleke kwa dakika Mbili au Tatu kuwa na Mzozo na Mwamuzi...
  7. Suley2019

    FT: Simba 2-2 Al Ahly | Benjamin Mkapa Stadium | 20.10.2023 | African Football League

    Haya haya ile siku iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu imewadia. Leo tarehe 20/10/2023 Tanzania itashuhudia mtanange wa kihistoria kati ya timu ya Simba ya Tanzania dhidi ya Al Ahly ya Misri. Mechi hii ni ya ufunguzi wa michuano ya African Football League ambayo inachezwa barani Afrika kwa mara ya...
  8. Wadiz

    Nimeota Jean Baleke atafunga goli la kwanza zuri Uzinduzi wa AFL, japo pia ataumia. Nitaumia sana

    Baleke, Chama na Kibu wataivusha Simba SC kwenda semis Mungu atupe heri ya Uzima ijumaa itakuwa raha na furaha kwenye uwanja tukufu wa Mkapa. Inshallah Tanzania tumepata heshima kubwa sana. Simba SC tumeitengeneza hii heshima na tuilinde kwa wivu mkubwa sana. Shukrani 🙏🙏🙏
  9. Kurunzi

    Robertinho: Bocco ndiyo anayefuata Maelekezo yangu Vizuri Kuliko Phiri na Baleke, Aachane na Kelele za Mashabiki wa Simba

    Akizungumza na Mwanaspoti jana, kocha Robertinho alisema ameionah ali ya mashabiki wa klabu hiyok utomkubali Bocco, ila kwam tazamo wake bado ni mshambuliaji bora anayeweza kucheza kwa maelekezo na kuisaidia timu, hivyo hawezi kumuacha nje kizembe. Mbrazili huyo alisema Bocco pekeea mekuwa...
  10. K

    Baleke Ndiye Mfungaji Hatari zaidi Kwa Sasa NBC League!

    Baada ya Mechi hizi za raundi ya tatu za Ligi ya NBC. Imejidhihirisha Jean Othos Baleke ndiye mchezaji Hatari Zaidi kwenye safu ya Ushambuliaji Kwa Sasa Nchini Tanzania. Sio kwamba wengine hawapo, Ila Yeye ndiye Kiumbe Katili zaidi ndani ya 18 akiwa na mpira ukilinganisha na Wengine kwenye...
  11. Lupweko

    Kuhusu golikipa wa Simba (Lakred) na Baleke, sikubaliani na wanaosema eti walicheza vibaya

    Niko opposite kabisa na wanaosema kuwa Lakred ni mbovu. Kosa alilofanya katika goli la pili halifuti saves alizofanya kwa ubora kabisa. Pia nipo opposite wanaolalamika kuwa Baleke alikosa nafasi za wazi, huku hawaangalii jitihada alizofanya golikipa wa Dynamos. Kosakosa alizofanya Baleke...
  12. OKW BOBAN SUNZU

    "Mama Baleke" kuchezesha Simba na Yanga kesho

    Florentina alichezesha mechi ya Mtibwa akipigwa 3 na Baleke. Akachezesha mechi ya Ihefu Baleke akipiga 3 kati ya 5 Nimeanza kuwaonea huruma
  13. GENTAMYCINE

    Jean JINI Baleke karejea Dar es Salaam na Simba SC hivyo taabu iko pale pale

    Mwambieni Yule Meno Kuungua wenu, mla Mirungi na Mporwa Wake zake aliyeandika katika Instagram Page yake kuwa Baleke kaondoka rasmi Simba SC kuwa amerejea rasmi Tanzania na Simba SC hivyo asipende kuwa na Kiherehere. Imeisha hiyo.....!!
  14. GENTAMYCINE

    Kwa uwezo mkubwa wa Mayele ni Mwehu tu ndiyo atasema Phiri na Baleke wako juu yake

    Fiston Kalala Mayele ni Mshambuliaji mwenye kila Kitu ambacho Kocha atakipenda. Kwanini GENTAMYCINE nampenda mno Fiston Kalala Mayele kuliko Wengine Wanaojitafuta akina Phiri na Baleke? 1. Mayele ana Akili nyingi 2. Mayele ni Mpambanaji 3. Mayele anajituma vilivyo 4. Mayele ana Nguvu 5. Mayele...
  15. A

    Baleke anayetakiwa kusajiliwa Ulaya ni huyu huyu aliyefunikwa na Ruvu Shooting au mwingine?

    Huyu mshambuliaji wa Simba kidogo kidogo anapotea kwenye game kama ndugu zake Makambo, Kisinda, Miquisone, Moses Phiri, etc Hii timu ya Ulaya inataka kumsajil akafanye nini kama hapa anashindwa?
  16. Suley2019

    Baleke atakiwa na timu ya Ulaya

    ◉ TP Mazembe imepokea ofa rasmi kutoka Ulaya kwa Jean Baleke, imethibitishwa 100%. ◉ Klabu iliyowasilisha ofa hiyo ilicheza hatua ya makundi ya Ligi ya Europa msimu huu na mwaka ujao, itacheza Ligi ya Mabingwa ya UEFA. ◉ Mkataba unaotolewa ni wa miaka mitatu. ◉ Simba imearifiwa na ofa hii na...
  17. NetMaster

    Baleke yupo kwa mkopo na kaweza kuwashawishi Tp Mazembe kiwango kimerudi, Je atarudi Mazembe, atabaki simba au Yanga watatumia nguvu ya pesa kumpora ?

    Msimu ndio unakaribia kuisha hivyo na kijana huyu kaweza kutupa surprise ya aina yake ligi ikiwa ukingoni 1. Tp Mazembe watamtaka arudi congo ? 2. Atabaki Simba ? 3. Yanga watatumia nguvu ya pesa kumleta jangwani ?
  18. chiembe

    Viongozi wa Simba, suala la Baleke kuwa na mkataba wa kudumu na Simba msilichukulie kama ni la kawaida

    Baleke ni hazina ya Simba, Sasa tunawapa angalizo viongozi wa Simba, hakikisheni Baleke anakuwa Mali ya Simba jumla. Vinginevyo tutatoana roho
Back
Top Bottom