miamala

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mahindi hayaoti mjini

    Airtel wameanza tena kunin'giniza miamala, tulishasahau, sasa yameanza upya

    Nimelipia kifurishi cha zuku through airtel money, ni siku ya mwisho kutakiwa kulipia vinginevyo huduma inasmamishwa, muamala haukukamilika so nikawapigia wahudumu wa airtel na haya ndio majibu yao "Samahani kwa usumbufu pesa zako hazikuwasilishwa zuku kwahiyo utasubiri masaa 24 ya kazi then...
  2. BARD AI

    Kenya: Afungwa miaka 210 kwa kujihamishia Miamala

    Mwanamume mwenye umri wa miaka 55 aliyeshtakiwa kwa makosa manne ya wizi wa kimabavu na shtaka jingine la ubakaji nchini Kenya, Humphrey Shilisia amehukumiwa kifungo cha miaka 210 jela baada ya kupatikana hatika katika makosa matano. Hakimu Mkuu wa Eldoret, Naomi Wairimu amesema upande wa...
  3. GENTAMYCINE

    Nape, muda mwingi unaotumia kumsema vibaya Hayati Magufuli ungeutumia kupigania Tozo za Intaneti na Miamala

    Baba wa Watu ameshalala tokea mwaka Juzi (2021) lakini cha Kushangaza (tena ukiwa Mtoto wa Kiume) Wewe kila Siku ni Kumsengenya mara Kumfumbia Mafumbo tabia ambazo tumezoea kuona zikifanya na Dada zetu (Watoto wa Kike) In short Unaboa japo wenye akili tunajua unafanya hivyo (Kumsema vibaya...
  4. H

    Sasa ni wakati BOT mjitambue na kuondoa ada za mwezi zibaki za miamala tu

    Habarini, Hivi sasa kumekuwa na wizi wa mabenki kwa kuweka tozo nyingi kwenye akaunti za wateja wa mabenki hivyo kujikuta hela zina katwa tu bila sababu za msingi. Mteja ameweka hela zake benki na benki wanazikopesha kwa riba sasa nani amlipe mwenzie benki au mteja? Kwanini mabenki yakate ada...
  5. BARD AI

    Mbeya: TAKUKURU kuchunguza Majaji, Mahakimu wanaodaiwa kupokea Miamala ya Rushwa

    Agizo limetolewa na Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu, Mustapha Mohamed Siyani akiitaka TAKUKURU kuchunguza tuhuma za Watumishi hao kupokea Rushwa kwa njia ya Miamala ya Simu. Akizungumza wakati wa Sherehe za Uzinduzi wa Wiki ya Sheria, Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Dkt. Rashid Chuachua amewatuhumu...
  6. BARD AI

    Kwanini Mabenki bado yanakata Tozo za Miamala zilizofutwa na Serikali?

    Hivi wakuu mmegundua wizi unaofanywa na Mabenki kwenye makato ya miamala? Licha ya Serikali kufuta Tozo za Miamala ya uhamishaji fedha ndani ya Benki, kwenda kwenye Simu pande zote, kutoka Benki moja kwenda nyingine tangu Okt. 1, 2022 lakini bado kuna Benki zimeendelea kukata tozo hizo bila...
  7. BARD AI

    Thamani ya miamala ya Simu yapungua nchini

    Wakati idadi ya watumiaji wa huduma za fedha kwa simu za mkononi ikizidi kuongezeka, thamani ya miamala wanayoifanya inapungua kila uchao. Ripoti ya robo mwaka inayoishia Septemba 2022 ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inaonyesha idadi ya miamala imeongezeka kutoka zaidi ya milioni...
  8. R

    Hizi ndiyo Tozo mpya za miamala ya Simu na Benki kuanzia leo Ockoba 1, 2022

    Serikali imetangaza viwango vipya vya tozo vya miamala simu na benki zikiwa zimepita siku chache tangu iahidi kuvipunguza kutokana na malalamiko ya wananchi. Taarifa iliyotolewa na Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba, kupitia gazeti la Serikali la Septemba 30 ambalo Mwananchi...
  9. DaudiAiko

    Serikali ya Rais Samia haikufuata utaratibu uliopo kikatiba katika maamuzi wa kuwatoza wananchi tozo kwenye miamala ya kielektroniki

    Wanabodi, Jamani, Jamani, jamani, tupieni jicho maelezo yaliyopo kwenye katiba yetu (ibara ya 99 na 138) kufahamu utaratibu ambao unatakiwa kufuatwa kabla ya kutoza ushuru wowote, kodi au tozo.
  10. BARD AI

    Makali ya tozo yalianzia hapa

    Wakati Serikali ikikiri kupokea maoni mbalimbali kuhusu tozo za miamala ya simu na kuahidi kuyafanyia kazi ndani ya kipindi kifupi, wadau wamelinyooshea kidole Bunge kwa kupitisha sheria ya fedha yenye marekebisho ya kodi na tozo, ambazo sasa zimezua malalamiko kwa wananchi. Kwa takribani wiki...
  11. Roving Journalist

    Tamko la serikali kuhusu ufafanuzi wa tozo kwenye miamala ya benki na simu, Septemba 1, 2022

    Wizara ya Fedha imetoa ufafanuzi kuhusu tozo ya miamala ya simu na benki Septemba Mosi, 2022 ikiwa ni siku kadhaa tangu kuibuka kwa malalamiko kutoka kwa wadau kuhusu gharama za huduma hizo za kifedha. Waziri wa Fedha na Mipango - Mwigulu Nchemba Chimbuko la tozo ilikuwa ni kwaajili ya...
  12. C

    Je, kelele za Tozo za Benki zitazima mapema kama kelele za Tozo za miamala?

    Lawama na kelele zinazoendelea kuhusiana na uanzishwaji wa tozo za miamala na za kifedha sasa zimekuwa kama kelele za chura akiwa kwenye maji kwani hayamzuii tembo kuyanywa maji apatapo kiu. Lawama na malalamiko mengi yameanza mwaka 2021 baada ya serikali kuanzishwa kwa tozo mbalimbali kwa...
  13. 2019

    Kwanini serikali inapunguza tozo za miamala wakati tumeshazizoea?☹️☹️

    Nasikitika sana kuona punguzo la tozo kwenye miamala ya simu. Hii tozo tuna mwaka mmoja naa... Tumekomaa nazo na maisha yanasonga. Burundi hatujaenda na kwa sasa tunazimudu kwanini serikali inazipunguza? Wote tumeona faida ya tozo,au miradiya tozo imekamilika? Kwa sasa eti ukitoa 100k unakatwa...
  14. Kabende Msakila

    Tozo, Miamala, Kikokotoo - Tanzania tuna Wanasheria Wasomi?

    JF team, SALAAM! Nimeona hivi karibuni Serikali ikipitisha vitu vingi ambavyo ni mzigo kwa watanzania (matajiri kwa maskini). Nimejiuliza sana kwa hakika upitishaji wa vitu vya hovyo umeshamili sana. = Kikokotoo kimepitishwa lkn watendewa ni pamoja na wabobezi wa masuala ya Sheria - hapa...
  15. N

    Misamaha ya kodi na punguzo la tozo katika miamala

    Serikali katika Mwaka mpya wa Fedha 2022/23 imeanza kutekeleza punguzo la tozo katika miamala ya simu katika kutuma na kupokea fedha kwa 43%. (Tozo ya juu kabisa itapungua Kwa kutambua ukuaji wa sekta ya Sanaa na kujiajiri kwa vijana, serikali inatekeleza suala la punguzo la kodi(with holding...
  16. BARD AI

    Kilio Miamala ya Benki chatikisa nchi

    Tozo zilizoanza kukatwa kwenye miamala ya kifedha kupitia benki zimetajwa kuongeza makali ya ugumu wa maisha kwa watumiaji wa huduma husika. Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba kupitia gazeti la Serikali No.478 lililochapishwa Julai Mosi mwaka huu, alitangaza kuanza utekelezaji wa kodi ya...
  17. MakinikiA

    Tozo sasa miamala ya bank, sisi tuliokimbila bank tuhamie kwenye vyungu. Hatari sana wametufuata

    Wandugu hii nchi kama tumelaaniwa vile, zile tozo za kwenye simu sasa rasmi kwenye bank transaction zote ni balaa. Siku ya kufa nyani miti yote huteleza, najifikiria sasa bora bitcon kama zingekuwa kima cha chini, ukigeuka huku mfumuko wa bei, kule tozo .
  18. P

    Mshahara umetoka, nyongeza ipo lakini lazima ucheke tu

    Kamwe aliyeshiba hamjui mwenye njaa. Pamoja na sifa na tambo zote walizofanya serikali kuhusu kuongeza mishahara wameishia kuongeza elfu 20,000? Ikiwa ni muda mchache toka bank ya NMB kunipa notification ya mshahara kuingia na kufanikiwa kuona kilichoongezeka. Nimepigwa butwaa kuona tambo zote...
  19. N

    Ni afya kwa Serikali kutoa taarifa za mapato na matumizi ya tozo ya miamala mara kwa mara

    Serikali ilipiga kampeni kali ikielimisha juu ya umuhimu wa tozo ya miamala kuwa ingejenga miundombinu mbalimbali nchini ili kuboresha huduma kwa wananchi. Mwanzo wananchi walipiga kelele juu ya utitiri wa kodi au tozo mbalimbali jambo lililofanya serikali kujitokeza na kutolea...
  20. Mpwayungu Village

    Takwimu za tozo za miamala mbona hatupewi tena kulikoni

    Ilikuwa ni kawaida ya kila baada ya wiki mbili wanaita press, mwigulu na genge lake la tamisemi wakijimwambafai kuwa kila senti itaenda kunakostahili na wakasema kuwa kila baada ya wiki mbili watakuwa wanatupa mrejesho wa mapato na matumizi ya tozo za miamala ya simu. Mbona kimya tena hatusikii...
Back
Top Bottom