miujiza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Bei ya umeme nchini Ethiopia ni kama miujiza

    Ethiopia bei ya umeme ni dola 0.006 kwa unit(Kwh). Hii ni kama Tsh 16! Hapa kwetu ni kama Tsh 300Kwh. Kama siyo miujiza ni nini?
  2. bless on

    JamiiForums Tanzania Siri za Miujiza Feki: Jinsi Manabii na wachungaji Wanavyowatapeli waumini wao.

    Hivi unajua kuwa unapoona mtu anatapika "nyoka" kanisani au kiwete anatembea ghafla, mara nyingi hushuhudii nguvu za Mungu, bali unatazama mchezo wa kuigiza uliosukwa kwa ustadi na nguvu za giza (Occultism)? Je, unajua kuwa sekta hii imekuwa biashara kubwa inayovuna mabilioni kwa kutumia maagano...
  3. Hizbu Sharifu

    JamiiForums Tanzania Haya hapa ni majina matukufu ambayo yamefanya miujiza mikubwa kwa manabii walipoyatamka tu

    Habari ndugu wanajamii Ningependa kushea nanyi list ya majina matukufu ambayo manabii waliyatumia pia, mfano nabii issa(yesu) aliyatumia majina haya kufanya miujiza mingi hata ya kufufua watu, lakini majina haya yalitumiwa na nabii mussa(moses) kuiamrisha bahari ipasuke, lakini majina haya...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania FT: Manchester City 2-1 Arsenal | EPL | 19.04.2026 | Etihad

    MANCHESTER CITY DHIDI YA ARSENAL: PAMBANO LINALOAMUA MSIMU ⚔️ Uchambuzi wa Mdau: Manchester City Rayan Cherki: Ndiye mchezaji wa kwanza kufikisha pasi 10 za mabao (assists) katika msimu wake wa kwanza wa Ligi Kuu tangu Dimitri Payet afanye hivyo msimu wa 2015-16. Rekodi ya Nyumbani...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Robo Fainali UEFA: Liverpool na Barcelona kufanya 'Comeback' dhidi ya PSG na Atletico leo?

    Liverpool na Barcelona usiku wa leo zinakabiliwa na kibarua kigumu cha kujaribu kufanya mapinduzi (comeback) katika michezo yao ya marudiano ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA). Timu zote mbili zinaingia uwanjani zikiwa na deni la mabao mawili, hali inayozilazimu kushinda kwa...
  6. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tetesi: Sangalo Hill Yageuka “Mlima wa Miujiza” Kadri Waumini Wanavyomiminika

    Kuna taarifa zinazosambaa kuwa mlima wa Sangalo, ulioko magharibi mwa Kenya, umeanza kuvutia idadi kubwa ya waumini wanaodai wanapata msaada wa kiroho, uponyaji, na majibu ya maombi. Kwa mujibu wa simulizi zinazoendelea kusambaa, watu kutoka maeneo mbalimbali wanadaiwa kusafiri hadi mlima huo...
  7. Ex Spy

    JamiiForums Tanzania Mtikisiko wa Mafuta Duniani: Je, Tanzania Tumejipanga au Tunasubiri Miujiza? Wakati Ndio Sasa wa Gesi Asilia na Magari ya Umeme (EVs

    Wakuu, Kuna makala nimeisoma leo kwenye gazeti la The New York Times (NYT) imenifanya nitafakari sana kuhusu hatima ya nchi yetu na uwezo wa viongozi wetu kuona mbali (vision). Makala inahusu mtikisiko mkubwa wa mafuta unaoendelea kuikumba China na dunia kwa ujumla kufuatia kushtadi kwa vita...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Nilipokuwa mdogo nilikuwa na uwezo wa kufanya Miujiza

    Hii ni story yangu na nitatoa na mifano ya vitu nilivyowahi kufanya. Watu wengi hawakujua, lakini kuna matukio kadhaa yaliyotokea nikiwa mtoto ambayo hayakuwa ya kawaida kabisa. Haikuwa mara moja ilikuwa vitu ambavyo vilitokea mbele ya watu wengine pia. Mfano wa kwanza ulikuwa mvua. Kuna siku...
  9. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Dini imetekwa na miujiza

    Hii ni mada nzito inayozungumziwa sana kwa sasa, hasa kutokana na kuongezeka kwa mahubiri yanayoweka mkazo mkubwa kwenye miujiza kuliko mafundisho ya msingi ya imani au juhudi binafsi za maendeleo. Siku hizi bila muujiza hata wa kitapeli, Ibada hasa za mitume na manabii zinaonekana...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyojikuta kwenye Carrier ya umeme. Ni miujiza, nilizaliwa kwa ajili hii

    Tangu kabla ya kuzaliwa kwangu ilionekana anakuja mtu mwenye uwezo wa kipekee, mimi sikutambua hadi nilipoingia rasmi na kujihusisha rasmi na mambo ya umeme, Kwa vitu vya kawaida tangu mwanzo nilipenda sana mwanga na kuvutiwa na kila kitu cha electronics, licha ya tabia hii kunifanya nipigwe...
  11. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hitler aliwekeza katika kutafuta nguvu za miujiza na uchawi kwa kuwatuma watu wake duniani kote wakazisake ila hawakuambalia chochote.

    Alifanya hivi ili iweze kumsaidia katika ambition yake ya kuitawala ulaya nzima. ila wewe 35+ bado unaaamini haujapata mganga mzuri na mafuta uliochukuwa kwa ben haukuyaambatanisha na sadaka nzuri ndio maana tabu hazijaisha
  12. L

    JamiiForums Tanzania Hata ashushwe Malaika kuja kuwaongoza Watanzania Bado Watapiga Makelele na kutaka awafanyiage miujiza ya kuwawekea Mabomba ya asali na Maziwa Midomoni

    Ndugu zangu Watanzania, Watanzania hawaeleweki wanataka nini siku zote, Watanzania hawaelewi wanahitaji nini Maishani Mwao. watanzania hawana shukurani wala kuridhika wala kutosheka wala kusema asante kwa juhudi zako . Wao kila kitu kwao ni kibaya. Leo watataka hiki lakini kesho ukiwapa...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Leo kanisani kwako kumeshuhudiwa miujiza gani?

    karibuni ndugu wakiristo tuambiane Leo kanisani kumetokea miujiza gani kutoka kwa waumini nawachungaji hasa kwamadhehebu ya walokole wakatoliki sidhani kama wanahaya mambo ya miujiza waumini wakilokole tililikeni aposto nawasikiliza naanza Mimi kanisani kwangu kunamuumini alitumia chumvi...
  14. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania JAMII CHAT: Uchawi ni sayansi ya kuunda miujiza au ni technique ya kufanya akili kuamini matokeo yametokana na miujiza?

    Karibuni:
  15. Marco Seth

    JamiiForums Tanzania Je Yesu alitembea juu ya maji?

    JESUS NEVER WALKED ON WATER. IT IS SYMBOLIC Jesus was walking on top of the veil of the ether (astral projecting). The ether is the 5th element, also known as spirit. It’s a substance that has one foot in the astral plane and in the physical plane. Ether is the word either because it’s on...
  16. Setfree

    JamiiForums Tanzania Kwanini ishara, maajabu na miujiza mikubwa inafanywa na watu wanaoiamini Biblia tu?

    Katika historia ya ulimwengu, tumeshuhudia matendo makuu yasiyoelezeka kwa akili ya kibinadamu, kama vile wagonjwa kupona, viwete kutembea, mabubu kuongea, vipofu kuona, wafu kufufuka, na bahari kugawanyika. Jambo la kushangaza ni kwamba, ishara hizi kubwa zimefanywa tu na watu wanaoiamini...
  17. Bei Rahisi Electronics

    JamiiForums Tanzania Hii ni miujiza siamini hata! Nahisi naota

    Leo nilikua nasafiri kuelekea Morogoro Wakati nipo kwenye gari ya Temeke-Mbezi (Dala Dala) konda akaanza kukusanya pesa kama kawaida yao . Ghafla tukaanza kusikia malumbano Sauti Kali ya konda ilisikika . "Kwa Nini hukunambia mwanzo... "We bibi mwanga nini "Mapema yote hii "Hujui iyo...
  18. MK254

    JamiiForums Tanzania Kwa wale ambao hamuamini katika uwepo wa Mungu au miujiza, hii nini kwa kweli

    Haya mataifa yote yenye rangi ya kijani ni ya kiislamu, wote wana chuki dhidi ya Wayahudi, ambayo ilianza tangu enzi za Mohammad ambaye aliwahi kusababisha mauaji kwa Wayahudi na hata kuuza watoto wao utumwani. Na hata ukisoma maandiko yao kwenye "sahih muslim 2921" waislamu wameamrishwa...
  19. Magical power

    JamiiForums Tanzania Kutazuka kiongozi wa kiroho atakayedai kuwa na uwezo wa miujiza ya kuponya magonjwa hatari na kufufua wafu

    🔥 TUKIO: KUZUKA KWA KIONGOZI WA KIROHO ATAKAYEDAI KUWA NA UWEZO WA MIUJIZA YA KUPONYA MAGONJWA HATARI NA KUFUFUA WAFU 🗓 Tarehe inayotabiriwa: Kati ya Septemba 13 na Oktoba 4, 2025 📍 Mahali: Kusini mwa Tanzania – Mbeya au Ruvuma, kwenye kijiji kilicho karibu na mlima au pori takatifu 👤 Mhusika...
  20. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania Akili Ipo, Ila Tumepewa Mapumziko

    "Tatizo la kuwaamini sana viongozi wa dini ni kwamba tunasahau kuwa hata Shetani alipanda madhabahuni akiwa na Biblia mkononi na nukuu sahihi za Zaburi." — Alloyce, P.R.
Back
Top Bottom