Madaktari Bingwa wa Saratani na wataalamu mbalimbali wa matibabu ya ugonjwa huo, wamekutana Jijini Dar es Salaam, Katika Mkutano wa Nne wa Kimataifa kujadili maendeleo na hatua zaidi ya kudhibiti ugonjwa huo tishio duniani.
Akizungumza katika Mkutano huo, Rais wa Chama Cha Madaktari Bingwa wa...
Julai 10, 2026, Mdau aliandika kupitia JamiiForums.com kuwa ni vema ujenzi wa daraja lililopo Kimara Mwisho ukamaliziwa kwa kuwa ni hatarishi kwa watumiaji kutokana na kukosa kingo za pembeni.
Pia soma ~ Serikali naomba mlimalizie Daraja la Kimara mnahatarisha usalama wa wananchi
Daraja hilo...
Dr. Luka Mkeni anaeleza namna mapishi ya nyama yanavyoweza kuathiri afya yako.
Kupika nyama kwa joto kali sana, hasa inapofikia zaidi ya 220°C (428°F), kunaweza kuongeza uundwaji wa kemikali zinazoitwa Polycyclic Aromatic Hydrocarbons (PAHs). Baadhi ya PAHs zina uwezo wa kusababisha saratani...
Hayo yamebainishwa na Dkt Tibera Rugambwa, Kaimu kitengo cha saratani Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya inayohudumia mkikoa saba ya Mbeya,Iringa, Njombe,Songwe,Ruvuma,Rukwa na Katavi wakati wa kupokea msaada wa vifaa tiba na dawa kutoka kwa Jema Baruani Mkurugenzi wa Taasisi ya Jema Foundation...
Moja ya saratani isiyozungumzwa na wengi ila huwakumba wagonjwa wengi sehemu mbalimbali za Tanzania haswa Kanda ya ziwa.
Watu walioko kwenye hatari ya kupata saratani ya kibofu Cha mkojo.
1. Wavutaji sigara. Kwa wanaovuta sigara wako hatarini mara 3 Hadi mara 4 ya wasiovuta katika kupata...
Kama kawaida yetu, tunaangaza afya ya Tezidume… hii mpya ya leo
Uvimbe wa saratani ya tezidume unaweza kubadilisha mfumo wa kemikali wa asidi ya amino (amino acid metabolism) ili kuondoa vizuizi vya kawaida vya utengenezaji wa lehemu (cholesterol), mchakato ambao unaweza kuchochea uwezo wa...
16/7/2026 Mtaalamu wa masuala ya usajili wa visa vya saratani na kanzi data kutoka African Cancer Registry Network (AFCRN) Prof. Sani Malami amesema maboresho makubwa yaliyofanywa na Taasisi ya Saratani Ocean Road (ORCI) katika huduma za uchunguzi na matibabu ya saratani yameongeza uwezo wa...
Julai 14, 2026 zaidi ya watu 4,000 wamepata huduma za uchunguzi wa awali wa magonjwa ya saratani wakati wa Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Dar es Salaam (SABASABA) yanayomalizika katika viwanja vya Julius Nyerere vilivyopo jijini Dar es Salaam.
Hayo yamesemwa na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa...
Wakuu kuna hoja huwa nakutana nayo mtandaoni kuwa kunyonyesha humsaidia mama kujikinga dhidi ya saratani ya matiti.
Je, vipi kwa ambaye tayari amebainika kuwa na Saratani ya matiti kunyonyesha ni salama na kunaweza kusaidia kuondoa saratani?
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt. Seif Shekalaghe ametembelea kwenye banda la Taasisi ya Saratani Ocean Road lililopo kwenye Ukumbi wa Bunge jijini Dodoma na kueleza kuwa anahitaji maelezo mengi kutambua ubora wa kazi za Taasisi hiyo akieleza kuwa inajulikana kuwa ni Taasisi imara sana ndani...
Netanyahu afichua kwamba alikuwa ametibiwa saratani ya tezi dume; daktari anasema uvimbe ulipatikana 'miezi michache iliyopita,' Waziri Mkuu alipata tiba ya mionzi miezi 2.5 iliyopita, na ugonjwa huo umetoweka.
Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu afichua kwamba alifanyiwa matibabu ya saratani ya...
Wanawake na wanaume maana siku hizi hata wanaume nao wanasuka rasta kuna jambo muhimu sana la kulifahamu na kujifunza zaidi!
Afya ni moja ya mtaji mkubwa sana katika maisha yetu ya kila siku bila kuwa na afya njema basi hilo ni tatizo
============
Je unajua kusuka rasta/ ama nywele bandia...
Matumizi ya pemba yamebainika kuongeza hatari ya kupata maradhi ya saratani, pamoja na kuongeza uwezekano wa mtoto aliye tumboni kuzaliwa akiwa na mtindio wa ubongo.
Hayo yameelezwa na Dkt. Joseph Mwanga, mhadhiri mwandamizi wa Afya ya Jamii kutoka Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi...
Uongozi wa Taasisi ya Saratani Ocean Road umesema kuwa umejipanga kuwa kitovu cha Tiba Utalii Africa, ambapo katika kurahisisha shughuli hiyo wamekutana na wadau wa sekta binafsi kutoka Global Medicare kujadili namna ya kushirikiana katika kuitikia wito wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan...
Katika kile kinachoweza kuwa muujiza wa kuokoa na kuboresha maisha ya maelfu ya watu duniani, chanjo ya mRNA ya Urusi iitwayo Enteromix imeonesha ufanisi wa asilimia 100 na usalama katika majaribio ya kitabibu. Hii inaweza kuleta matumaini makubwa katika kupambana na saratani sugu na hata...
Katika ulimwengu wa biashara, kuna mambo madogo sana yanayoonekana kama ya kawaida—lakini yakiwa hayajadhibitiwa, huwa kama saratani ya kimya kimya. Moja ya mambo haya ni mazoea ya kupitiliza na urafiki usio na mipaka. Haya ni magonjwa ya ndani yanayoweza kuivuruga biashara yoyote, haijalishi...
Rais Samia anunua Digital X-Ray Mpya 400, CT-Scans mpya 33, MRI mpya 9 na PET Scan kama msingi wa Dira2050.
Rais Samia katika kuimarisha kwa upatikanaji wa dawa, vifaa, vifaa tiba, na vitendanishi ambapo upatikanaji wa dawa umeongezeka kutoka asilimia 73 hadi asilimia 86; kuongeza mitambo ya...
•Taasisi ya Saratani Ocean ni hospital ya taifa kwa utoaji huduma za saratani hapa Tanzania.
•Huduma zinazotelewa zinajumuisha elimu ya afya, saratani,chanjo za saratani,uchunguzi wa awali ,vipimo,tiba, mafunzo na tafiti za saratani.
•Taasisi inahudumia wagonjwa kutoka ndani ya nchi wa nje ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.