Naomba tu Majibu. Au ndo Ile mtu yupo ofsni lakini KAZI alishasusa kitambo sana.
Naomba watanzania tuwasaidie majukumu viongozi wetu waliotuteua kwa moyo wa dhati kwasababu wametuamini wametuona tunafaa tuache legacy kwenye utumishi wetu badala ya kususa susa ili hali hakuna kitu tunafanya...
Unarogwa na maadui unaofanya nao kazi kwa wivu na chuki zisizofaa kimaendeleo.
Uraiani unarogwa na wananzengo ambao hata ukivaa shati na wakiona wewe una uhakika wa kura ugali dagaa wanachukia.
Bado hawara na mke wako wanakuroga na kukugombania kama mpira wa kona.
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Mstaafu, Prof. Mussa Juma Assad, amesema hayo wakati wa mahojiano kupitia M&S Podcast.
"Hadi sasa sielewi mimi ni mtumishi wa umma ama sio mtumishi wa umma; nimesitafu au sikusitafu, kwani hakuna sehemu yoyote niliyowahi kusema Bunge ni...
Sisi wananchi wa eneo la Kindimbachini, Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga, tunaomba kuwasilisha malalamiko rasmi kuhusu vitendo vinavyodaiwa kufanywa na mmoja wa wahudumu wa afya katika Kituo cha Afya Kindimbachini.
Mhusika huyo amekuwa akiwaambia wagonjwa kuwa baadhi ya dawa muhimu hazipatikani...
Anonymous
Thread
afya
dawa
kituo
kituo cha afya
mbinga
mtumishimtumishiwaumma
taasisi
umma
Sio unatoka kazini unaingia ndani na kujifungia.
Unashinda ndani siku za wikiend unaangalia tv masaa 24 siku za weekend.
Wanazengo ni muhimu kwa maisha ya kawaida uraiani maaana wanaweza kuwa msaada kwa suala lolote.
Naomba msaada kwa ajili ya dada yangu, ambaye ni mtumishi wa umma kwa sasa. Anapitia hali ngumu sana kiafya na kiutumishi, na hadi leo hajapatiwa msaada unaostahili.
Alipata ajali mwaka 2024 mwezi Oktoba akiwa anafanya kazi katika kiwanda cha vyombo vya plastiki Kibada, Kigamboni, ambapo mkono...
OFISA mmoja wa serikali anadaiwa kujipatia kiasi kinachokadiriwa kufikia shilingi bilioni 4, kwa njia ya rushwa. Anayepewa tuhuma hizo ni Ofisa Uvuvi Msaidizi Mkuu, anayesimamia Wilaya ya Bunda, Mkoa wa Mara, Masanja Kadashi.
Tuhuma dhidi yake zinadaiwa kuanza muda mrefu ambapo Machi 31, mwaka...
Mkurugenzi wa Kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila katika salamu zake za Meimosi amesema ingawa sheria ya kumlinda mtumishi wa Umma dhidi ya matumizi mabaya ya madaraka kutoka kwa viongozi waovu, Lakini kwa sasa imekuwa mzigo kwa walipa kodi kwa sababu ugumu wa kumwondoa mtumishi...
Binafsi nimetulia sehemu napata kinywaji hasa baada ya leo kumaliza kikao cha bodi ya wakurugenzi salama bila mushkeli.
Nipe uzoefu wako wewe mambo huwa yanaendaje baada ya jambo ambalo huwa linakupa presha kupita salama
Hata kama ni kweli zaidi ya miezi mitatu anawalawiti alafu anakuja kukamatwa mwezi huu!
=======
Watu Watatu wakazi wa Wilaya ya Igunga, mkoani Tabora wanadaiwa kulawitiwa na mtumishi wa halmashauri ya wilayani humo kwa nyakati tofauti.
Akizungumza na Mwananchi leo Aprili 12, 2026 Kamanda wa...
GTs
1. Kwenye mijadala ya sasa kuhusu hasira, maandamano na maumivu ya kile kilichotokea tarehe 29–30 Oktoba 2025, kumekuwa na dalili za uhasama unaoelekezwa kwa watumishi wa umma, miundombinu ya umma, au hata wanachama wa chama fulani.
Ni muhimu kusimama na kusema hayo siyo malengo sahihi.
2...
Kama unataka upate pesa ndani ya lisaa limoja omba NMB, nimewaombea wengi mkopo NMB yaani kama HR wako yuko chap ndani ya dk 5 ushapata mkopo. NBC ndani ya masaa 24 uhakika, Azania ndio benki bora zaidi, makato nafuu kuliko benki zote ila kidogo wako slow. Ila haivuki wiki unapata pesa .
CRDB...
Kumekua na tabia ya Viongozi wa dini wakiwa wanakemea jambo la flani wanaleta udini aku kwenye kujenga hoja zao. Rais kiongozi wa serikali ni mtumishi wa Umma vyama vyote dini zote wasiokua na dini na pia serikali haina dini anaongoza watu wote kuna wengine sisi sio watumwa wa dini. Tumwombee...
Ndugu Humphrey Polepole akiwa Balozi wa Tanzania nchini Malawi akiwapokea askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) walipofika Lilongwe, nchini Malawi kutekeleza amri ya Amiri Jeshi Mkuu.
Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) walipeleka msaada wa kibinadamu kwa Serikali ya Malawi...
Niseme tu ukweli watumishi wa umma wamaipiga sana serikali. Kitu serikali ingeimgiza million 50 mtumishi anachepusha ili tu apate million 1. Hana hasara potelea mbali.
Miaka 10 ya Utumishi wa umma nimejionea mengi na kujifunza mengi.
Serikali isione hasara kumpa nyumba mtumishi wa umma either...
Ni lazima tuweke standard kama taifa, haiwezekani wewe uwe mjumbe au mtumishi wa tume ya uchaguzi kwa ngazi yoyote ile halafu kesho na keshokutwa uende kwenye uchaguzi kugombea. Hiyo hapana. Tukatae. Iwekwe wazi kabisa, ukiamua kutumikia tume ya uchaguzi moja kwa moja ukose sifa zingine zote za...
Wakuu, naomba mnisaidie majibu ya maswali yafuatayo:
1. Naweza kuhama kumfuata mwenzi ambaye si mtumishi wala mfanyabiashara, yaani ni mama wa nyumbani?
2. Ikiwa na. 1 hapo juu inawezekana, ni viambata gani vinahitajika ktk mfumo wa ess kukamilisha hili?
Natanguliza shukrani.
Habari ze wanaJF,
Naomba kuuliza je ukishakuwa mtumishi wa umma na una CHQ number, je inawezekana kuomba nafasi za kujitolea kwenye jeshi la ulinzi na usalama na ukachaguliwa.
Kwa story nilizoziskia ni kwamba hata ukichaguliwa baadae watakuchuja kwa sababu tayari unakuwa una CHQ number so...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.