umaarufu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. OMKEIT 93

    JamiiForums Tanzania Kifo hakisikii cheo, Mali wala umaarufu

    Leo una nguvu, kesho unaweza kuwa dhaifu. Leo una afya njema, kesho unaweza kuhitaji msaada wa wengine. Leo una mali na madaraka, kesho unaweza kuondoka duniani bila kubeba hata senti moja. Kifo hakichagui tajiri wala maskini, msomi wala asiye msomi, mwenye afya wala mgonjwa. Kinapofika, hakuna...
  2. kavulata

    JamiiForums Tanzania Heche hataki Lissu atoke, anachekelea umaarufu wa kufa kufaana

    Heche alikuwa akimnanga Rais Samia kuwa amefurahia kuwa Rais baada ya Rais JPM kupata shida iliyomuondoa. Sasa hivi Heche nae hataki kusikia kabisa Mwenyetiki Lissu anatoka nje haraka. Nadhani anaomba Mungu ikiwezekana aishie hukohuko ili chama "kimsamie" kama wenzao wa CCM walivyofanya. Anatoa...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Siasa kwa wengine ni Biashara, wengine ni Wito, wengine ni fursa ya kujipatia umaarufu

    Hamjambo! Mimi sijambo Unapoingia kwenye siasa usiingie kichwa kichwa kama panya kwenye shimo ambalo hakulichimba. Asilimia kubwa ya watu siasa kwao ni fursa ya kibiashara na kiuchumi. Wao siasa wameingia kwa sababu ya Maslahi Yao ya kiuchumi. Hivyo chochote anachokifanya ndani ya siasa...
  4. Oscar Wissa

    JamiiForums Tanzania Siku hizi watu maarufu wana ushawishi mkubwa kuliko taasisi

    Katika miaka ya karibuni, Tanzania imeingia katika kipindi ambacho watu maarufu wana ushawishi mkubwa kuliko taasisi zilizokuwa zinajenga maadili hapo awali, kama familia, kanisa, shule na jamii. Leo hii, mtu mwenye wafuasi wengi kwenye mitandao ya kijamii anaweza kubadili namna maelfu ya...
  5. machafuko jr

    JamiiForums Tanzania Umaarufu wa bi mkubwa kulikoni

    Wakuu habarini za uzima. Niende moja kwa moja kwenye mada hivi mbona kama umaarufu wa raisi umepungua yaan raisi wetu hasikiki sana kama ilivo kuwa mwanzo. Ma inside man Kuna Nini kinaendelea au ni hisia zangu tu?
  6. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Makonda anarudia yale yale ya Mobutu: kutumia umaarufu kufunika matatizo ya watu

    Waziri wa Habari, Michezo, Sanaa na Utamaduni, Paul Makonda, ameibuka na ahadi kemkem za kuwaletea Watanzania watu maarufu duniani ili kuwafurahisha. Alianza kwa kuwaahidi wananchi wa jiji la Arusha kwamba angemleta nguli wa filamu na mwanasiasa wa Marekani, Arnold Schwarzenegger, katika sherehe...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Bidhaa za China Zapata Umaarufu Katika Maduka Nchini Somalia na Kuchochea Ujasiriamali kwa Vijana

    Mjini Mogadishu, mji mkuu wa Somalia, bidhaa za China hazijadhibitiwi tu kwenye maduka halisi, kwani zinaonekana kwa wingi katika skrini za simu za mkononi, zikijaza vikapu vya manunuzi, na kupelekwa moja kwa moja mlangoni kwa wateja kupitia mtandao unaoendelea kupanuka wa maduka ya mtandaoni...
  8. Prof Phraoh AI

    JamiiForums Tanzania Paul Dirac Alitaka kuikataa Tuzo ya Nobel kwasababu ya kuona Aibu na kukwepa attention na umaarufu

    ‎ Paul Dirac anajulikana kama mmoja wa waanzilishi wakuu wa quantum mechanics, lakini simulizi za watu waliomfahamu zinaonyesha alikuwa mtu mwenye aibu sana na aliyekwepa attention na umaarufu kwa gharama yoyote. ‎ ‎Katika kumbukumbu na wasifu wake zilizohifadhiwa Cambridge alipokua...
  9. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Mungu na jamaa yake Shetani wanazidi kupoteza umaarufu waliojizolea

    Wakuu, dalili za Mungu na swahiba wake Shetani kupoteza umaarufu waliokuwa nao imeanza kuonekana wazi wazi. Kitendo Cha watu kumchana live mwenyezi Mungu kinathibitisha kuwa viumbe hawa wawili dhahania sasa muda wao wa kutamba unakaribia kwisha hapa duniani. Naishia hapa Kwa sasa.
  10. N

    JamiiForums Tanzania Elimu, Akili au Mfumo? Chanzo cha Kugeuka kwa “Watetezi wa Taifa”Siasa za Umaarufu: Kwa Nini Mashujaa wa Haki Hupotea Njiani?

    Japo kume kuwepo na watu wenye elimu kubwa na akili ambao wamepitia mabadiliko hayo. Kwa hiyo si sahihi kusema ni watu wasiojielewa na wasio na elimu tu lakini kwa Tanzania kumekuwa na wimbi kubwa ambalo ukiliangalia kwa undani utagundua asilimia kubwa ni watu wasio na elimu japo baadhi...
  11. Fatherland

    JamiiForums Tanzania Umaarufu wa watu hawa haukuwa na viewers

    Nawasalimu, Salamu za heshima, Karibu msomaji mpendwa. Makala hii imeandaliwa kwa lengo la kukupeleka katika safari ya mawazo na historia, kukutafakari nafasi ya binadamu katika jamii na namna alivyoweza kuacha alama kubwa hata kabla ya enzi ya teknolojia ya kisasa. Karibu usome kwa utulivu na...
  12. S

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Askofu Kyando: Wanaotaka kumshtaki Kitima wanataka umaarufu, uchawa

    Askofu wa Jimbo Katoliki la Njombe, Mhashamu Eusebio Kyando, amesema baadhi ya vijana wanapoteza mwelekeo wa imani kwa kuyumbishwa na tamaa ya umaarufu, pesa na mahitaji ya maisha, akionya kuwa hali hiyo inasababisha wengine hata kuukana wazi Ukristo wao. Askofu Kyando ametoa kauli hiyo hivi...
  13. Fbn

    JamiiForums Tanzania Peter Msigwa umepotelea wapi kwenye umaarufu wa kisiasa?

    Muda mfupi sana CCM walivyokutumia kama wamekuweka kabitini kabisa. Yani ulivyoingia ulikuwa unaisema CHADEMA mpaka ukakosa cha kuongea. Shukuru jina lako la mwisho kidogo anatembea msemaji wa serikali linafanya nisikusahau. Ila umepotea vibaya kwenye medani za siasa.
  14. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Larry Madowo ni kama anatoa shule ya kuripoti habari isiyokuwa na upendeleo huku akizidi kujipatia umaarufu Tanzania

    Wakati vyombo vingi hapa Bongo vinewekwa Chini ya makwapa ya serikali, muandishi kutoka Kenya "Larry Madowo" ameendelea kutoa somo kwa wanahabari ya namna ya kuripoti habari bila kuegemea upande na bila kificho na kuzudi kujipatia umaarufu mkubwa Tanzania...
  15. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Huyu jamaa anatafuta umaarufu au yeye haishi Tanzania?

    Wakuu hamjakutana na huyu jamaa anajiita mkaka wa Taifa sijui, huyu jamaa anatafuta umaarufu au haishi Tanzania? So anajali ajira za wachache kuliko vifo vya maelfu ya Watanzania ambao kila siku vinazidi kushika namba. Huyo Mange mnaemshutumu hatekwi huyo, huyo haishi maisha magumu, hata akisema...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Clement Mwandambo: Mzee kutoka Mbeya Anaetrend katika mitandao ya kijamii

    Kajizolea umaarufu kwa video za ushauri huko tiktok na instagram Si hivyo tu, kajizolea umaarufu kwa namna ya kipekee, mwisho wa video zake husisitiza "Nachoka mimi Baba yenu Clemence Mwandambo" Eneo la makaz - Mbeya Mjini Kabila - Msafwa Shughuli - Mmiliki wa shule ya St Clemmence
  17. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Dakika zake 15 za umaarufu ndo zimekwisha?

    Ni kapteni Tesha! Huyu nadhani ndo basi tena. Hatutomuona wala kumsikia tena. Keshajipatia umaarufu ndani ya hizo dakika zake 15 alizokuwa nazo na sasa zimeisha. Hivyo, ni ama atapotea mwenyewe kwa hiari yake au atapotezwa, hiyo ni kama bado yupo na hajapotea wala kupotezwa. Alifanya makosa...
  18. Bramo

    JamiiForums Tanzania Magereza wanapotaka Umaarufu Kupitia Tundu Lissu

    Wakuu JF amani iwe nanyi. Ni kada ya wavaa Uniform ambao wanaishi kwa dhiki sana. Hawa ma Bwana ukienda kwenye Makambi yao utaona namna wanavyoishi kwa taabu, mabanda ya Mabati yenye Partitions zinatozenganishwa na ma Box. Afisa mwenye Nyota tatu begani anaishi Nyumba ya chumba na Sebule...
  19. W

    JamiiForums Tanzania Maliki Marupu: Kujibizana na Polepole ni kumpa Umaarufu asiostahili

    Aliyekuwa mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi mwaka 2015, Maliki Marupu, amemjibu mwanachama mwenzake Humphrey Polepole kufuatia kauli yake kuhusu mchakato wa uchaguzi wa urais ndani ya chama hicho. Katika majibu yake, Marupu amesisitiza kuwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hupatikana...
  20. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Uchukuaji fomu CCM ni Siasa za Urithi, Umaarufu, Uwekezaji ndani ya chama au upendeleo wa uteuzi baadae?

    Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeingia kwenye mchakato wa uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 kwa kasi ya aina yake. Hadi sasa, zaidi ya wanachama 5,475 wamejitokeza kuchukua fomu za kugombea nafasi za ubunge na uwakilishi. Kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa Julai 3,2025 na Katibu wa Itikadi, Uenezi na...
Back
Top Bottom