Picha Yangu bora msibani kwa Lowasa inaongea Mengi

mtwa mkulu

JF-Expert Member
Sep 11, 2013
8,098
9,994
Screenshot_20240219-013546.png

1. Lema na Usaliti ni vitu viwili tofauti

2. Namuona Dalali hapo kama kuna pesa hata Lema anaweza kuwa takataka kumzidi bashite

2. Namuona Dalali hapo mtu wa kujikomba komba akidhihilisha kuwa wao ni wamoja ila wanapretend kuwa tofauti mbele yetu.

3. Lema ni mtu serious kuanzia Usoni hadi moyoni
 
Karani mwongozaji wapiga kura POBOX Mlowo Mbozi
Anasema akili ya Lema kisiasa ni Ndogo kweli?
 
Lema amefura kama mwanamke mjamzito aliyevimbishwa mwili kutokana na mimba
 
Back
Top Bottom