wasifu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mhaya

    Kwanini wasifu wa marehemu waliohama CCM na kisha kurudi huwa hawaandiki historia ya vyama pinzani walivyohamia?

    Leo nimesikiliza wasifu wa Edward Lowassa, ni wazi kabisa wameruka historia ya yeye kujiunga Chadema na kugombea urais. Vilevile imewai kutokea kwa Bernard Membe ambapo baada ya yeye kuamia ACT Wazalendo kwa nia ya kugombea urais, lakini siku ya msiba hawakusoma historia ya yeye kujiunga na...
  2. F

    Wasifu wa Lowassa unataja aligombea urais wa JMT 2015 lakini hausemi aligombea kwa chama kipi. Je, kuna wivu wa CCM kwa CHADEMA hata msibani?

    Sijui kwanini watu hawapendi kuzungumza ukweli jinsi ulivyo; ukweli kwamba hayati Lowassa alikuwa nguzo kubwa katika kinyang'anyiro cha uchaguzi mwaka 2015 ndani cha CHADEMA hauwezi kufichwa. CHADEMA ndio waliokuwa walezi wakubwa wa kisiasa wa nyakati za mwisho za hayati Lowassa na ukweli...
  3. Sir John Roberts

    Dkt. Emmanuel Nchimbi ateuliwa kuwa Katibu Mkuu mpya wa CCM kumrithi Daniel Chongolo

    Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa imemteua Ndg. Emmanuel Nchimbi kuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Nchimbi anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Daniel Chongolo ambaye alijiuzulu. Katibu Mkuu Dkt. Nchimbi ametanguliza shukrani zake za dhati kwa Mwenyekiti wa...
  4. figganigga

    Wasifu wa Moise Katumbi

    Moise Katumbi, mfanyabiashara tajiri wa nchini Kongo ambaye pia ni mwenyekiti wa klabu inayoongoza ya soka nchini humo ya TP Mazembe ni mpinzani wa muda mrefu anayewania urais katika uchaguzi wa 2023. Maisha binafsi Moïse Katumbi alizaliwa tarehe 28 Desemba 1964 sasa ana miaka 58. Mama yake ni...
  5. Fantastic Beast

    Wasifu mfupi wa Mkurugenzi Mpya TISS, Ali Idi Siwa

    Balozi mstaafu Ali Siwa amekuwa katika utumishi wa umma tangu mwaka 1977 na kuweza kushika nafasi mbalimbali za uongozi. Kati ya mwaka 2001 mpaka 2014, Balozi Mstaafu Ndugu Siwa alikuwa Afisa Mambo ya Nje, Mkuu katika ofisi ya Ubalozi wa Tanzania Abu Dhabi iliyoko nchi za Umoja wa Falme za...
  6. Dr Matola PhD

    Funzo tunalopaswa kujifunza kufuatia kifo cha mwenzentu Le Mutuz, tuandike wasifu wetu wenyewe

    Kufuatia kifo cha member member mwenzentu wa JF Le Mutuz pamoja na mengi mengineyo lakini kubwa hakuna wa kuandika wasifu wa marehemu wala historia yake maana kazi hiyo aliifanya yeye mwenyewe. Hivyo natoa rai katika mambo ya maana sana aliyofanya Le Mutuz ni pamoja na kuandika historia yake...
  7. JanguKamaJangu

    Zitto akosoa wasifu wa Membe kuacha uanachama wake ACT-Wazalendo. Alaani walioshiriki kumchafua kupitia magazeti

    Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe ameonyesha kutoridhishwa na wasifu wa Bernard Kamillius Membe (69) kutogusia uwepo wake ndani ya chama hicho cha siasa. Membe ambaye alikuwa Waziri wa Mambo ya Nje na ushirikiano wa Kimataifa alijiunga na ACT-Wazalendo Julai 15, 2020 akitokea chama tawala-...
  8. Saint Ivuga

    Wasifu wa Bernard Kamilius Membe

    Bernad Kamilius Membe alizaliwa tarehe 9 Novemba, 1953, Rondo, Chiponda, katika Mkoa wa Lindi, akiwa ni mtoto wa pili kati wa watoto saba (7) waliozaliwa katika familia ya Mzee Kamillius Anthony Ntachile na Mama Cecilia John Membe. Kwa kabila, Bernard Membe ni Mmwera, na kama ilivyo desturi ya...
  9. figganigga

    Wasifu/Historia fupi ya Samia Suluhu Hassani. Aliishia kidato cha nne, Mwaka 2000 hakujua kufunga Ushungi, ni mwanaraktati

    Salaam Wakuu. Baba yake Mwalimu Mama yake Mama wa Nyumbani Leo nimeona nipost hapa Historia kwa ufupi sana wa Samia Suluhu Hassan. Yeye ni Mwanahabari, hakujua kifunga Ushungi, wanaume walikuwa wana mdhalilisha kwa kumuita kigego, ni mtu ambaye yupo haraka yupo mbele ya wakati, anajua kusoma...
  10. GENTAMYCINE

    Kwahiyo kumbe uliikubali baada ya Wasifu wa Kukusifia Kinafiki Kusomwa, lakini Wewe Mwenyewe unakiri kuwa PhD imekosea njia?

    "Suala la kupewa tuzo hii nimelipokea kwa unyenyekevu mkubwa lakini nilijiuliza maswali kadhaa, sababu huko nyuma nilijaribu kuitafuta shahada hii lakini muda haukunipa nafasi, na nikajitazama sikuona kwamba nina sifa za kupewa shahada hii, lakini baada ya kusikiliza kwa makini maelezo marefu...
  11. Billal Saadat

    Wasifu kwa minajili ya kutunuku Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Fasihi kwa Rais Samia Suluhu

    Mheshimiwa Mkuu wa Chuo Kwa heshima na taadhima, pia kwa unyenyekevu mkubwa,ninaomba niwasilishe taarifa kumhusu Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,kwa minajili ya kuifahamisha hadhira hii kwa nini mwisho wa maelezo haya nitakuomba umtunuku Shahada ya...
  12. comte

    Wasifu wa wajumbe wa tume ya uchaguzi ya Kenya

    The Independent Electoral and Boundaries Commission (IEBC) commissioners remain a topic of discussion especially after their fallout over presidential election results. Away from their conduct and the chaotic scenes at the Bomas of Kenya, little is known about their education background...
  13. Roving Journalist

    Wasifu wa Mkuu wa Magereza SACP. Mzee Ramadhani Nyamka

    WASIFU WA KAMISHNA JENERALI MTEULE WA JESHI LA MAGEREZA SACP. MZEE RAMADHANI NYAMKA CGP Mteule, SACP. Mzee Ramadhani Nyamka, alizaliwa mwaka 1964 Mkoani Tanga, Wilaya ya Tanga Mjini na alipata elimu ya Msingi katika Shule ya Msingi Muhimbili mwaka 1973 hadi 1979, na alihitimu elimu ya...
  14. hamis77

    Je, kwa takwimu hizi, Ki Aziz ni mchezaji mzuri au wa kawaida?

    WALE WANAOSEMA AZIZ KI NI WA KAWAIDA....SOMA HII PROFILE YKE JIBU BAKI NALO MWENYEWE PROFILE STEPHANE AZIZ KI. ▪️Name - Stephane Ki Aziz ▪️Date of birth - March 6, 1996. ▪️Citizenship - Burkinafaso ▪️Position - Attacking midfielder ▪️Age - Twenty six years old ▪️Height - 1,75 Meter Ki aziz...
  15. PamojaTz

    Tunatoa huduma ya kuandika wasifu (Curriculum Vitae) kwa gharama nafuu, vilevile tunatoa huduma ya kutengeneza Posters na Logo

    Habari wakuu, Pamojatz inatoa huduma ya kuandika wasifu (Curriculum Vitae) kwa gharama nafuu, vilevile tunatoa huduma ya kutengeneza Posters na Logo nzuri kwa ajili ya biashara/ kampuni. Tafadhali wasiliana nasi kwa baruapepe; pamojalite@gmail.com au tuma ujumbe wa moja kwa moja Jamii Forums...
  16. M

    Wasifu wa David McAllister, mwanasheria na mwanasiasa wa Ujerumani anayemtetea Mbowe Bunge la Ulaya

    Wengi mtakuwa mmeona picha na video za David McAllister (pichani) ambaye ni Mbunge wa Bunge la Ulaya na Mwenyekiti wa Kamati ya Mambo ya Nje ya Bunge hilo, akielezea kukerwa kwake na hali ya upinzani nchini Tanzania, mathalani kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe...
  17. comte

    Wasifu wa balozi mteule wa Marekani nchini Tanzania, Michael Battle

    Michael Battle is an educator, religious leader, and diplomat. Born on July 28, 1950, in St. Louis, Missouri, he was one of twelve children from Jessie Battle Sr., a Pentecostal pastor, and Mary Battle. Michael received his bachelor’s degree from Trinity College (1973), his Master of Divinity...
  18. Erythrocyte

    Naomba kufahamishwa wasifu wa Mhe. Thomas Simba, Hakimu wa Mahakama ya Kisutu

    Si vibaya na wala haijawahi kuwa kosa kisheria kufahamu wasifu wa Mtumishi wa Umma, hasa yule anayegusa maslahi ya watu wengi kwa kuhakikisha haki zao zinapatikana. Binafsi namfahamu kidogo tu kama Hakimu wa Mahakama ya Hakimu Mkaazi Kisutu, ameshiriki kwenye kuamua kesi kadhaa za wanasiasa...
  19. Elius W Ndabila

    Ujue Wasifu wa Hayati Kenneth Kaunda wa Zambia

    MFAHAMU HAYATI KENNETH KAUNDA(KK). Na Elius Ndabila 0768239284 Taarifa iliyoripitiwa hivi leo na vyombo vya ndani vya Zambia ni kuwa Rais wa Rais wa Kwanza wa Zambia Mzee Kenneth KAUNDA ambaye kule wanapenda kumwita Baba wa Taifa ameaga Dunia.Mzee Kaunda ni pekee yake kati ya Wazee wa Mwanzo...
Back
Top Bottom