Nasubiri kwa hamu hotuba ya Harrison Mwakyembe aliyetumika kumchafua Lowassa kwenye sakata la Richmond

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
21,563
50,415
Wanyakyusa wamefanya mengi ya kishujaa nchi hii yanayokumbukwa. Lakini Dr. Harrison Mwakyembe alifanya jambo ambalo mpk kesho linashikilia rekodi ya ushubwada.

Alikubali kutumika na maadui/wasaliti wa Lowasa kufanya kazi haramu ya kumuangushia zigo la ufisadi kisha kumchafua.

Na mhe. Rafael Chegeni anasema isingekuwa ajali ya kisiasa Lowasa angeishi zaidi. Bila shaka ajali ya kisiasa anayoirejelea ni hii ya kuangushiwa zigo la ufisadi.

Harrison Mwakyembe tunamsubiri kwa hamu kubwa kwenye msiba wa Lowasa ili kuona na kusikia atasema nn kwa muungwana huyu aliyetuacha??

Kama hana neno, basi ni vema atoke hadharani atubu. Vinginevyo Karma haitamuacha salama.
 
Wanyakyusa wamefanya mengi ya kidhujaa nchi hii yanayokumbukwa. Lkn Dr. Harrison Mwakyembe alifanya jambo ambalo mpk kesho linashikikia rekodi ya ushubwada...
Upo msibani kusubiria watu watasema nini juu ya marehemu?? Badilika kidogo kaka, unaweza kuongea cha maana humu ndani.
 
1707935041264.jpg

Dunia ngumu hii
 
Wanyakyusa wamefanya mengi ya kidhujaa nchi hii yanayokumbukwa. Lkn Dr. Harrison Mwakyembe alifanya jambo ambalo mpk kesho linashikikia rekodi ya ushubwada.

Alikubali kutumika na maadui/wasaliti wa Lowasa kufanya kazi haramu ya kumuangushia zigo la ufisadi kisha ku

mchafua.

Na mhe. Rafael Chegeni anasema isingekuwa ajali ya kisiasa Lowasa angeishi zaidi. Bila shaka ajali ya kisiasa anayoirejelea ni hii ya kuangushiwa zigo la ufisad...
Mzee Edward N. Lowasa ameumaliza mwendo,
Mwenyezi Mungu ampumzishe anapostahili kwa Amani...

hakuna sabababu ya kumchochea mtajwa hapo juu hali ambayo nae itamsababishia aende zake mbele ya haki mapema pengine kabla ya wakati wake 🐒

Tumuenzi ENL kwa kukaa kimya bila kujibu mapigo..

R I P Laigwanan comrade ENL
 
Sasa hivi ana njaa kali, anavizia vitume anavyounda Ndumbaro ili apate chochote.

Na yeye kapigwa laana kali sana na Leigwanani, anaweza kuokota makopo.

Kyela hata akitoa mialiko ya harusi bila mchango, watu hawaendi
Ninachopendea wanyakyusa huwa hawapendi dharau.

Alijifanya ana nyodo wakamtosa ubunge na shughuli zake zote wakazisusia baada ya kujitapa yeye ni msomi sana.

Kyela anaenda kwa shughuli maalum tu lakini sio kujimwambafy kama zamani na pama lake.
 
Wanyakyusa wamefanya mengi ya kishujaa nchi hii yanayokumbukwa. Lakini Dr. Harrison Mwakyembe alifanya jambo ambalo mpk kesho linashikilia rekodi ya ushubwada.

Alikubali kutumika na maadui/wasaliti wa Lowasa kufanya kazi haramu ya kumuangushia zigo la ufisadi kisha kumchafua.

Na mhe. Rafael Chegeni anasema isingekuwa ajali ya kisiasa Lowasa angeishi zaidi. Bila shaka ajali ya kisiasa anayoirejelea ni hii ya kuangushiwa zigo la ufisadi.

Harrison Mwakyembe tunamsubiri kwa hamu kubwa kwenye msiba wa Lowasa ili kuona na kusikia atasema nn kwa muungwana huyu aliyetuacha??

Kama hana neno, basi ni vema atoke hadharani atubu. Vinginevyo Karma haitamuacha salama.
Hiyo mambo ya kusema alitumika kumchafua futa kabisa. Jamaa alipiga dili lakini likabuma. Asnte mwakyembe kwani ulilisaidia taifa. Pumzika Lowasa mungu anao ukweli wa maisha yako hapa Duniani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom