DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 8,582
- 17,686
Maneno hayo aliyasema Hayati baba wa Taifa mwalimu Julius Kambarage Nyerere, alipoulizwa kwanini Kamati kuu wamekata jina la Lowasa licha ya kuwepo kwa Ushawishi mkubwa na kupendeka sana kwenye Chama hicho na Hasa kuwa na ushawishi mwingi kwa wananchi..
Kama tutakumbuka mwaka huo huo waliochukua Form walikuwa 17 na walikatwa na wakabaki 15 bora mpaka 5 bora kwa Style ya 17 -15-10-5-3-2-1..
Kama Tutakumbuka tatu Bora ya mwaka huo ilikuwa Msuya,Kikwete na Mkapa..
Na baada ya Lowassa kukatwa Jina Lake Kambi ya EL ilihamiaa kwa JK..
kwahyo kukawa na kambi tatu kambi ya JK ,Kambi ya Msuya na Kambi ya Mkapa..
Ambapo baadae mshindi alitangazwa Mkapa bila kutaja Kura walizopata Wagombea..