lowasa

  1. Robert Heriel Mtibeli

    Bado najiuliza: Nini hasa chanzo cha Lowassa kuwa na ushawishi kwa watu?

    Poleni kwa Msiba Wakuu! Kikawaida ni kawaida watu wenye midomo, makelele na makeke kuwa na ushawishi kwa watu. Mfano, ushawishi wa Tundu Lisu ni Makeke na mdomo kwa kujua kupepeta hoja zikapepeteka. Ushawishi wa JPM ni makeke, kukandia wengine na uchapakazi. Ushawishi wa Dkt. Slaa pia ni...
  2. Mzalendo Uchwara

    2025 ndani ya CCM ni team Lowassa + team Magufuli vs. Team Msoga

    Mwenyekiti alijaribu kuwaleta karibu team Msoga na kuwatimua team JPM, lakini akausoma mchezo kuwa vijana wa Msoga wana ambitions kubwa mno hiyo 2025, akizembea hata yeye anawekwa pembeni. Vilevile ushawishi wa JPM bado ni mkubwa mno kwenye siasa za nchi hii. Uelekeo wa sasa ni mwenyekiti...
  3. L

    Mzee Lowasa yupo wapi?

    Nimemkumbuka sana Mzee wetu Edward Ngoyai Lowasa. Naombaeni kujuzwa Kwa anayefahamu alipo na anafanya nini Kwa sasa.....
  4. R

    Doto Biteko kapelekwa Wizara ya Nishati kipindi cha Mgao wa umeme, achunge yasimkute ya Lowassa

    Kumpeleka Ndugu yetu Biteko pale Nishati na kumwondoa Makamba kipindi ambacho Makamba amevurunda siyo picha nzuri kwa mwanetu huyu. Sisi watu wa kanda ya ziwa tunazungumza na miungu yetu mvua inyeshe shetani asipate nafasi yakumwaibisha Mwanetu. Hizi royal family za Pwani si familia nzuri sana...
  5. The Burning Spear

    Kumbukizi: Kauli ya Nape kwa Mzee Lowassa

    CCM na Nape hawajawahi kuwa na akili. Nape alimtukana Lowassa, Slaa na hata Rais Magufuli. Hana haja ya kuwapangia wapinzani waseme nini.
  6. Kijakazi

    Lowasa, huu ndiyo ungekuwa Uraisi wake, hii ni version yake!

    Kama Lowasa angeshinda Uraisi hiki kinachotokea sasa kingeshatokea tangia 2015-2020, kwa maana marafiki wa Lowasa ambao walikuwa wanadhamini Kampeni zake za Uraisi ndiyo wanaouza Bandari yetu leo ingawaje hamuwaoni pichani lkn ndio wanao pull strings, hao mnaowaona wanabwabwaja ni watumwa tu na...
  7. R

    Edward Lowasa aliandaa vijana makini. Hussein Bashe ni mmoja wapo, yupo focused na mawazo ya kitajiri

    Nimwombee Mzee Lowasa afya njema huko aliko. Ninapomsikia Bashe na hoja zilizoegemea kwenye mikakati iliyopo beyond hata muda wake wa uwaziri nafarijika kwamba Taifa bado tuna viongozi wanaoweza kurithi yale tuliyoanzisha huko nyuma. Vision aliyonayo Bashe inapaswa kwenda kuwafungua macho...
  8. R

    January na Mwigulu mlishiriki kumpokonya Urais Lowasa; Karma inawapukuchua

    Mwigulu, Nape na January wakati mnashirikuana na Mzee wa Msoga kumpokonya Lowasa Urais mliaminishwa kwamba ninyi nifamilia Bora na mtaendelea kuneemeka na siasa za Tanzania. Lakini Magu aliwaonyesha mlivyo na Tamaa na akaamua kuwadhalilisha. Mmerudi kwenye NEEMA na mnaendelea kuwaongelesha...
  9. mgt software

    Njia alizotumia Msukuma kuingia kwenye Siasa Za Fanana na Za Gwajima, Msukuma upambe kwa Lowasa mpaka unafiki Gwajima Kufufua Amina na Misikule!

    Wana JF Ukimwona kwa macho ya kurukaruka unaweza ukadhani Msukuma na Gwajima ni ndugu lakini hawana ubini kabisa japokuwa wote ni kabila moja la kanda ya ziwa. Katika harakati za kutafuta pesa wamejituma haswa na baada ya kufanikiwa bila kujari viwango vyao vya elimu wakajongea kwenye siasa...
  10. kyagata

    DOKEZO Responded Kwanini Rais Samia hajawahi kumjulia hali Mzee Lowassa?

    Mheshimiwa Rais Samia ameonekana mara kadhaa akiwatembelea viongozi wakuu wastaafu mbalimbali majumbani mwao au kukutana nao Ikulu kwa mazungumzo na kubadilishana uzoefu wa masuala kadhaa ya uongozi. Ila sijawahi kumuona akikutana au akimjulia hali mzee Edward Ngoyai Lowassa(waziri mkuu...
  11. Kipenzi Changu

    Hujafa hujaumbika

    Katika kitu naepuka sana ni kutazama mtu kwa jicho la mapungufu ya yake ni viungo, uduni wa afya yake, jinsia yake. Nikikupuuza nakupuuza kwa sababu umefanya upuuzi lakini sio kwa sababu una tatizo la kiafya, una ulemavu wa viungo au jinsia yako. Huu ni ubaguzi mbaya sana. Huu usemi wa hujafa...
  12. Inevitable

    Edward Ngoyai Lowassa anaumwa, alazwa ICU Muhimbili

    Wakuu, Kwa taarifa za uhakika, Waziri Mkuu wa zamani, Ndg. Edward Lowassa ni mgonjwa na amelazwa Hospitali ya Taifa, Muhimbili. ======== UPDATE: Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa amelazwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya kufanyiwa upasuaji wa tumbo. Taarifa kutoka kwa...
  13. T

    Tangu vuguvugu la Mzee Lowassa hatuoni wala kusikia tena wimbi la wanaccm kuhamia CHADEMA. Tatizo nini?

    Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza kabla ya uchaguzi wa 2015 ilikuwa kawaida sana kwa CHADEMA kupokea mamia ya wanaccm waliokuwa wakieleza wazi kuwa aidha wameichoka CCM au wamevutiwa na CHADEMA. Hali hiyo kwa sasa haipo kabisa badala yake kila mara tunatangaziwa wanachama wa CHADEMA...
  14. OMOYOGWANE

    Lowassa angeshinda uchaguzi 2015 sera yake ya ELIMU, ELIMU, ELIMU ingeimarisha vipi uchumi wa Mtanzania mmoja mmoja?

    Tangu uchaguzi wa mwaka 2015 upite huu ni mwaka wa 6 sasa, wagombea wa nafasi ya urais walikuwa ni JP. Magufuli na E.Lowassa, Swali langu je kama ingetokea Lowasa akashinda uchaguzi sera yake kuu ilikuwa ni kutoa elimu bure kwa wote mpaka chuo kikuu (ELIMU, ELIMU, ELIMU), kwa elimu yetu hii...
  15. M

    Mzee Edward Lowassa aliwaisema kuwa janga la ajira ni bomu linalosubiri kulipuka

    Ndugu zangu haya maneneo aliyasema Edo mwenyewe, lile gwiji la siasa haya maneno yanachembe chembe nyingi za ukweli, kwani leo uwezi kusikia mtu au kiongozi anasimama na kusema elimu ni ufunguo wa maisha mbele za watu, kwani kuna wengine elimu wanaiona kama imefunga maisha yao laivu. Mtu...
  16. B

    Mch Gwajima alitenda dhambi kuwalaghai Lowassa na Slaa?

    Mchungaji Gwajima alisimamia mchakato wa Lowasa kuingia UKAWA, akasimamia Dr. Slaa kwenda ughaibuini baada tu ya kampeni 2015, kisha akasimama kuinanga CCM kabla ajaingia madarakani JPM. Baada yakuingia JPM akabadilika na mwisho akaingia kwenye meza yamazungumzo na kuomba radhi Jambo...
  17. mgt software

    Mwl. Nyerere (Mjamaa) na Lowassa (Bepari) walitofautiana kifikra ila kisera juu ya Elimu walikuwa Sawa, UPE na Shule za Kata zinawakutanisha

    Wana JF Ukisikia mchawi mpe sifa zake. Hili la Nyerere na Lowassa ni watu walioona mbali, kama si Nyerere kuanzisha UPE Taifa hili lilikuwa lizalishe wajinga wengi kwani idadi ya watu ilizidi kuoongezeka sana wakati ujenzi wa shule za primary zikiwa kidogo sana kukabiliana na idadi ya watu...
  18. R

    GE2020 Ukimya wa Dkt. Slaa na Edward Lowassa wakati huu wa kampeni ni kumuunga mkono Tundu Lissu Kimya kimya?

    Wakuu nimetafakari kwa kina jinsi huyu mgombea wa CCM kwa ngazi ya Urais alivyotengwa na watu makini na wenye mvuto katika siasa za Tanzania hasa aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA na sasa Balozi nchini Sweden Dkt. Slaa na aliyewahi kuwa Luten Kanali Na waziri Mkuu Mstaafu Edward Ngoyai...
  19. YEHODAYA

    GE2020 Lissu badala ya kueleza sera hugeuza mkutano kuwa Darasa la Sheria akitumia daftari zake za Mwaka wa Kwanza Chuo Kikuu

    Ukweli Lissu hakujiandaa au kuandaliwa kuwa mgombea urais. Anapata shida mno kueleza sera za CHADEMA na hasikii raha na ujasiri wa kuzielezea na hawi na flow nzuri. Na Hakawii kuacha kueleza sera na kuhama kugeuza mkutano kuwa law classroom badala ya political campaign meeting. Lissu badala...
  20. K

    GE2020 Ikiwa uzinduzi wa kampeni za CHADEMA ulikuwa ule, basi muacheni Lowassa aitwe Lowassa

    Ndugu Watanzania wenzangu, Kwanza napenda kumshukuru Mungu kwa kutuwezesha kutupa uzima na kuiona siku hii ya leo. Kwa kifupi sana, naamini jana wote tulijionea hali halisi ya uzinduzi wa kampeni za CHADEMA, na hii imetudhihirisha kuwa mzee Lowassa ilikuwa namba nyingine kabisa, na hatakuja...
Back
Top Bottom