Masikio Masikio
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 1,840
- 3,378
Tanzania ili ifanikiwe lazima watu wake wakubali kustaarabika tofauti na hapo itapita hata miaka 100 na nchi itakua hivi hivi
Mimi sio mwanachama wa chadema au ccm sina ushabiki wa chama
Lowassa alishawahi kuwa mwanachama na mgombea wa CHADEMA kwenye kinyangiro cha urais historia inasema hivyo
Lowassa amefariki lakini kuna watu kwa makusudi kabisa hawataki ku-aknowledge kwamba alikua CHADEMA
Kukosa ustaarabu kulianza kwa askofu Malasusa alivyogoma kukubali uwepo wa viongozi wa CHADEMA kanisani.
Kuna saa unajiuliza eti Malasusa ndio kiongozi wa kanisa la pili kwa ukubwa Kuna muda unaona kabisa waumini wa KKKT wana bahati mbaya sana sababu unakuaje na kiongozi ambaye hajastaaribika vile na kila mara mnamchagua ni ajabu sana
Kule Monduli ratiba ya mazishi imetoka na CHADEMA hawapo. Unajua kuna muda tukubali uwezo wa waafrika ni mdogo sana hadi kwenye mambo ya kawaida sana na alivyo na akili fupi anadhani anawakomoa CHADEMA
Historia itabakia kwamba Lowassa alishakuwa mwanachama na mgombea wa CHADEMA hii kamwe haiwezi futika na ndio ukweli