rais mwinyi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    JamiiForums Tanzania Dr Samia na Rais Mwinyi ni wazanzibari wakikutana kujadili maslahi ya muungano Tanganyika anatetewa na nani!?

    Ndugu wanabodi naomba mnisaidie hili swali linanitesa sana. Ziliungana nchi mbili yaani Tanganyika iliungana na Zanzibar. Kila moja iliua baadhi ya stahiki zake kisha tukapata Tanzania. Na baada ya hapo tumekuwa na milolongo ya mambo ambayo yamekuwa yakishughulikiwa bila kuisha yanayohusu...
  2. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi Aweka Jiwe la Msingi Kituo cha Michezo, ampongeza Masauni

    Unguja. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali imeendelea kuchukua hatua mbalimbali kuhakikisha adhma na maono hayo ya Dira, Ilani na Mipango mbalimbali ya maendeleo yanafikiwa kama inavyotarajiwa. Dkt. Mwinyi ameyasema hayo...
  3. funaku

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi kumuwakilisha Rais Samia katika mkutano wa 65 wa Nchi zisizofungamana na upande wowote(NAM)

    Huu ni mkutano muhimu katika nyakati hizi za mivutano ya siasa za kiuchumi na kikanda
  4. The only

    JamiiForums Tanzania RAIS MWINYI: Jina lako linapolomoka umaarufu kwa mradi usionatija wa MABASI

    Baba! Baba! Baba! Nimekuita mara tatu,hakuna mtu kajijengea jina zuri kwa marais ukiondoa Muasisi wetu karume kama wewe ,yaani Mheshimiwa umempiku mpaka Mzazi wako .Nia yako imethibitishwa hadharani wewe unaitakia mema Zanzibar ,toka ukanyage ikulu sijawahi kuona kasoro yako makuu ulofanya hata...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi amjibu Othman Masoud kuhusu kukopa Tsh. Trilioni 1.6 kwa ajili ya ujenzi wa mji wa AFCON

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ametoa ufafanuzi kuhusu maendeleo ya ujenzi wa Mji wa AFCON unaojengwa Fumba, Zanzibar, akimjibu Aliyekuwa mgombea urais wa Zanzibar kupitia ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman ambapo amesisitiza kuwa mradi huo ni...
  6. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Mwenye kujua kwanini rais Samia hataki kuzifuata nyayo za Ml. Nyerere na rais Mwinyi atufafanulie.

    Barabara ya kurukia ndege haina konakona, Rais amesema atafuata nyayo za Rais Mkapa, Kikwete na Magufuli, sasa kwanini hataki kufuata nyayo za watangulizi wa mwanzo yaani Ml. Nyerere na A.H. Mwinyi!
  7. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Nampongeza Rais Mwinyi kwa mapumziko ya Mwaka mpya wa kiislamu

    Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi ametangaza kuwa Jumatano, Juni 17, 2026, itakuwa siku ya mapumziko ili kusherehekea mwaka mpya wa Kiislamu, 1448 Hijiria. ====================== Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi ametangaza kuwa Jumatano...
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi: Tumeanza mazungumzo na ACT Wazalendo ya malalamiko yao kuhusu Serikali ya umoja ya Kitaifa

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amevunja ukimya kuhusu mazungumzo yanayoendelea baina ya chama chake na ACT Wazalendo kuhusu Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK). Mara kadhaa viongozi wa ACT Wazalendo ndiyo wamekuwa wakizungumza kuhusu mazungumzo...
  9. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Mwinyi: Niko Tayari kuheshimu maridhiano na kufanya kazi na upinzani

    Rais Hussein Mwinyi wa Zanzibar amesema yuko tayari kuunda serikali ya Umoja wa Kitaifa na kufanya kazi na upande wa upinzani. Mwinyi ametoa matamshi hayo wakati wa hotuba yake ya kulifungua Baraza la Wawakilishi linaloanza kazi baada ya kumalizika kwa uchaguzi mkuu. Chama kikuu cha upinzani...
  10. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Mwinyi amteua tena Dkt. Mwinyi Talib Haji kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar

  11. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Dkt. Mwinyi atangaza Oktoba 29 ni siku ya mapumziko

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Ali Mwinyi ameitangaza kuwa Tarehe 29 Oktoba 2025 Siku ya Jumatano kuwa ni siku ya mapumziko kwa wananchi wote wa Zanzibar Taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu inaeleza kuwa sababu za Rais Mwinyi kufanya uamuzi...
  12. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Mwinyi akabidhi Boti ya Wagonjwa (Ambulance) Kisiwa cha Kojani-Zanzibar

    Mgombea nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Hussein Ali Mwinyi amekabidhi Boti ya kisasa ya kuwabebea wagonjwa kwa wakazi wa Kisiwa cha Kojani kilichopo Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba
  13. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mabawa: Mimi ndiye Msanii wa kwanza Tanzania kupata Saini ya Rais Mwinyi, nimetoa wimbo wa 'Mitano tena' kwa gharama zangu

    Kumbe saini nayo ni kitu cha kuringia :FeelsWeirdMan: --------------- Mkali wa Muziki wa Zenji Fleva kutoka Visiwani Zanzibar, Mabawa amesema tukio la kupata saini ya Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Mwinyi limekuwa ni tukio kubwa sana kwani haijawahi kutokea kwa Msanii wowote na yeye anakuwa wa...
  14. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Mwinyi anunua Tiketi zote Mechi ya Mlandege vs ETH. Insurance

    Katika kuelekea mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Barani Afrika (CAF Champions League) kati ya Mlandege FC ya Zanzibar na Insurance FC ya Ethiopia, unaotarajiwa kuchezwa kesho Jumamosi katika Uwanja wa New Amaan Complex kuanzia saa 10:15 jioni, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Mwinyi: Tuna akaunti maalum ya kulipa madeni, nitaondoka madarakani sitaacha deni hata la Senti 5

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema dhamira yake ni kuhakikisha kuwa atakapoondoka madarakani hatoacha deni lolote ambalo serikali imelikopa. Amesema hilo litawezekana kutokana na serikali kufanikiwa kuweka mfumo wa kulipa madeni ya serikali kwa...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania KUMBUKIZI | Rais wa Zanzibar, Hussein Mwinyi: Nampenda anayenikosoa zaidi. Wanaosifia wanamaslahi binafsi

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi, nampenda anayenikosoa zaidi. Wanaosifia wanamaslahi binafsi.
  17. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Mwinyi alipa deni lote la Zanzibar lililodaiwa na TANESCO

    Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameupiga mwingi katika sekta ya nishati ya umeme visiwani Zanzibar na kufanikisha kulipa deni la shilingi bilioni 291, ambalo Zanzibar ilikuwa ikidaiwa na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO). Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake Gulioni...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi afanya Uteuzi

    Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt Hussein Mwinyi amefanya uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Leseni za Biashara na Mkurugenzi wa Idara ya Umwagiliaji Chanzo: Zanzibar Mpya & Dodoma zone
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi Ashiriki Dua ya Kumuombea Marehemu Salim Turky

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi amejumuika na Waumini wa dini ya Kiislamu katika Dua ya kumuombea aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mpendae, Marehemu Salim Turky. Dua hiyo imefanyika tarehe 20 Julai 2025, nyumbani kwa Marehemu Turky Mpendae, Wilaya ya...
  20. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Rais mwinyi ahimiza matumizi ya nembo ya 'Made in Tanzania '

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amezitaka wizara zinazoshughulika na biashara kutoka Tanzania Bara na Visiwani kuhakikisha kuwa wazalishaji wote wa bidhaa nchini wanatumia nembo ya “Made in Tanzania.” Lengo la hatua hiyo ni kuongeza utambulisho na...
Back
Top Bottom