DIDAS TUMAINI

JF-Expert Member
Nov 11, 2014
232
653
JE WAJUA?

Rais mwinyi amefariki 29/02. Hii tarehe mpaka kuja kuipata tena ni hadi miaka minne ijao yaani mwaka 2028, 2032, 2036, 2040, nakuendelea...

Kwa maana hiyo kumbukumbu ya kifo chake itakuwa ikiadhimishwa kila baada ya miaka minne. 🙌🙌

R.IP Rais Mwinyi
Polish_20240301_004151208.jpg
images (21).jpeg
 
Kifo cha mzee wetu Rais wa Awamu ya Pili Ali Hassan Mwinyi, kimetokea tarehe 29, mwezi Februari. Hii ni tarehe ya kutatainisha mno kwani tutakapotaka kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya kifo chake kuna miaka tutaikosa kwa kuwa ni tarehe ambayo hutokea kila baada ya miaka minne tu, miaka mingine haitakuwepo. Sasa hapo itakuwaje? Wajuzi mtujuze.
 
Kumuenzi MTU ni kufanya yale mema yake aliyokuwa akiyahubiri. Na. Sio Kama mnavyotaka kuiweka
 
Kifo cha mzee wetu Rais wa Awamu ya Pili Ali Hassan Mwinyi, kimetokea tarehe 29, mwezi Februari. Hii ni tarehe ya kutatainisha mno kwani tutakapotaka kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya kifo chake kuna miaka tutaikosa kwa kuwa ni tarehe ambayo hutokea kila baada ya miaka minne tu, miaka mingine haitakuwepo. Sasa hapo itakuwaje? Wajuzi mtujuze.
Siku Hakuna 29, Basi kuna 1, Au 28.
 
Kulikuwa na tetesi cha kifo cha rais wa awamu ya pili tangu siku amefariki Edward Lowassa, lakini haikutangazwa mapema jamo umma ilikuwa ikiamini kuwa serikali inajaribu kutenganisha haya matukio kwa ajili kupata maandslizi.

Hizi zinabaki kuwa tetesi kama tetesi zingine japo kweli limetukia.

Ikiwa ni kweli alifariki kabla ya tarehe 29 Februari, Serikali imeteleza sana kuutangazia umma kuwa Mwinyi alifariki tarehe 29 Februari kwani siku hii hutokea mara moja baada ya miaka 4 kupita.

Kama ilivyo ada kifo cha kiongozi wa kitaifa lazima pawepo siku ya kuadhimisha, hasa siku kifo kilipotokea.

Je mpanga utaratibu aliteleza?
 
Wakifa marais wote 6 ina maana tutakuwa na siku za kumbukumbu 6 kwa mwaka? Huu utakuwa ni uwendawazimu. Zinatosha hizo 2 za waasisi wa taifa letu....Karume Day na Nyerere Day.

Wengine wakumbukwe na wake zao.

Yaani unataka na jiwe akumbukwe??
 
Back
Top Bottom