Rais Mwinyi: Baada ya mabomu kulipuka Gongo la Mboto niliwasilisha ujumbe wa kujiuzulu, JK akakataa kujiuzulu kwangu

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,462
Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi anasema "Ilipotokea ajali ya mabomu kule Gongo la Mboto, mimi nikiwa Waziri wa ulinzi nilipeleka ujumbe kwa Rais wangu wakati huo Mhe. Kikwete nikimtaka aliridhie nijiuzulu lakini sikukurupuka kwenda kwenye vyombo vya habari nikatangaza kwamba nimejiuzulu sio utaratibu.

Utaratibu unataka umwambie aliyekuteua akubali ndio ukatangaze kujiuzulu, Mhe.Kikwete akasema hii ni ajali huna sababu ya kujiuzulu, hakuna mtu aliyesikia kama nilitaka kujiuzulu leo nasema hili hadharani lakini sikuwahi kulisema."
 
Haina faida yeyote kwetu ni kwa manufaa yake mwenyewe .
 

Hili la waziri wake kujiuzulu limemuumiza sana? Viongozi wa Tanzania wakikupa uteuzi wanaona wamekupa maisha(ugali) sasa ukijiuzulu wanashangaa sana unaachaje ugali?

Lakini ni vizuri sana kuonana na aliyekuteua na kumtaarifu unataka kujiuzulu.
 
Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi anasema "Ilipotokea ajali ya mabomu kule Gongo
la Mboto, mimi nikiwa Waziri wa ulinzi nilipeleka ujumbe kwa Rais wangu wakati huo Mhe. Kikwete nikimtaka aliridhie nijiuzulu lakini sikukurupuka
kwenda kwenye vyombo vya habari nikatangaza
kwamba nimejiuzulu sio utaratibu. Utaratibu unataka
umwambie aliyekuteua akubali ndio ukatangaze kujiuzulu, Mhe.Kikwete akasema hii ni ajali huna sababu ya kujiuzulu, hakuna mtu aliyesikia kama
nilitaka kujiuzulu leo nasema hili hadharani lakini sikuwahi kulisema."
Hana lolote ni udini tu ulikuwa unawatesa, kujihuzulu yapasa utangaze
 

Hili la waziri wake kujiuzulu limemuumiza sana? Viongozi wa Tanzania wakikupa uteuzi wanaona wamekupa maisha(ugali) sasa ukijiuzulu wanashangaa sana unaachaje ugali?

Lakini ni vizuri sana kuonana na aliyekuteua na kumtaarifu unataka kujiuzulu.
Yap yaani wao issue kuwajibika kwao ni haipo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom