maaskofu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Maaskofu, Nchimbi yuko wapi?

    Nchimbi amekuwa Muumini wenu miaka yote na kutokana na Vyeo alivyokuwa kuwa navyo akifika Kanisani mlikuwa mntambua kipekee hivyo mlikuwa mnampa viti maalumu vya kukaa pengine pale mbele kabisa. Kama mlimtambua kwa cheo chake, kwa nini sasa haji Kanisani kwenu na nyie mmenyamaza kimya...
  2. kavulata

    JamiiForums Tanzania Uswahiba wa Prof. Tibaijuka, Maaskofu na Tundu Lissu ulianza lini tena?

    Uswahiba wa Prof. Anna Tibaijuka, Maaskofu na Tundu Lissu ulianza lini? Usafi wao ulianza lini? Kipi kimewaunganisha na Lissu kuwa kitu kimoja tena? https://youtube.com/shorts/lFQ95FpGu9k?si=jRhZ9lmI9hgWrxTL
  3. jiwe angavu

    JamiiForums Tanzania Hili la Kanisa la KKKT kuwa na wachungaji na maaskofu wanawake ni chukizo

    Hivi wanatumia maandiko gani kuruhusu wanawake wanao vuja damu kila mwisho wa mwezi kusimama mimbalini kama wachungaji au maaskofu? Ili hali Biblia nzima inakataza mwanamke kuwa kuhani. Haya ni machukizo,ndio mana hili kanisa haliishi migogoro na uchawa.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Mkutano Mkuu wa 87 wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania TEC unaendelea Makao makuu ya Baraza hilo Kurasini

    C&p Habari ndiyo hiyo. Mkutano Mkuu wa 87 wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) [87th Plenary Assembly - Study Session] unaendelea katika ukumbi wa Amecea uliopo ndani ya Makao Makuu ya Baraza la Maaskofu Kurasini Jijini DSM. Mkutano huo unaongozwa na Rais wa TEC, Mhashamu Baba...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini, masheikh hasa, Maaskofu, Statesmen wote wameshindwa kumwambia /kumshawishi Samia kumwachia Lissu kwa sababu hana hatia!

    Ina maana kweli Samia hana anayemheshimu? Nakumbuka Nyerere alipomuweka ndani Mshelisheli aliyesema serikali ameiweka mfukoni, walikuja watu kumuomba Nyerere amsamehe, akakataa! Akaja Askofu Makarios wa Cyrus. Nyerere akasema huyu siwezi kumkaidi. Akatoa sharti. Kuwa aondoke nchini nikimuachia...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Maaskofu, Mapadre, Hawatayumbishwa na Waumini Kama Ludovivk, Walioamua Kumtumikia Shetani

    Jambo lililo dhahiri, na kwa mafundisho ya kiimani, shetani huwatumia wanadamu kufanikidha malengo yake. Sio wote waliopo makanisani au waimbao Bwana Bwana, au wenye majina ya Kikristo, ni waumini na wafuasi wa Kristo na Kanisa. Wengine wapo makanisani kwaajili ya kulivuruga na hata kuliangamiza...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Maaskofu nyinyi sio Mungu wetu, Ukweli usemwe mmepotoka tokeni hadharani ombeni msamaha!

    Nafikiri kuhama dhehebu toka katoliki na kwenda kwenye madhebu mengine kwasasabu kanisa katoliki kwasasa limeonesha kuacha mafundisho yake na kuhamia mafundisho ya kupinga amani ambayo kwasisi Wakristo tunaaamini ni moja ya nguzo kuu ya imani . Lakini kwa hivi sasa kanisa limejipambanua...
  8. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Hivi hakuna Kiongozi wa maaskofu ili awaonye wenzake waache siasa nipo church katoliki nimeamua niingie tu JamiiForums

    Waheshimiwa maaskofu tumechoka na siasa zenu, tumekuja kusali hatuna Raha hatupati baraka zozote za kimungu mpaka natamani nikawashe TV nisali na mtumishi wa Mungu Mwamposa. Kama yupo Askofu wa katoliki humu jukwani Tunaomba utufikishie ujumbe waache kuhuburi siasa wanakela, imagine mpaka...
  9. Life2

    JamiiForums Tanzania Kesho Maaskofu wakija na kauli tusile walivyochinja je itakua salama?

    Herini ya Sikukuu ya Noeli wale wote wanaosherekea siku hii nzuri ya kuzaliwa kwa Mkombozi wetu Yesu Kristo. Ni mwendelezo wa kauli za kibaguzi zenye mlengo wa kuibua chokochoko za kidini ila uzuri hiki ni kizazi cha wanaojielewa. Mimi rafiki yangu ni Mwisilamu, anayenikopesha nikiishiwa ni...
  10. ngara23

    JamiiForums Tanzania Raia namba 1 haikuwa hekima kuwaita maaskofu catholic 'wavaa majoho'

    Lugha za mipasho zilitamalaki Hili limetuvunja moyo na kutuudhi wakatoliki Siamini kuwa raia namba 1 alishindwa jinsi ya kuwataja Kwa heshima maaskofu catholic na kuwajibu hoja zao kuliko kuwaita wavaa majoho Yaani maaskofu wanaoongoza zaidi ya robo tatu ya wananchi wote kiroho unawabagaza na...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Maaskofu TEC msipoteze muda kuwajibu mashekhe ubwabwa waliotumwa bali sisi waislam wenzao tuwajibu

    Iko hivi! Mimi ni Mwislam nina macho, nina akili nina masikio! Kuna mashekhe Ubwabwa wamepewa kazi kuijibu TEC ili kubadilisha upepo uonekane ni mgogoro wa kidini! Iko hivi Dini yetu ya kiislam ni dini ya HAKI NA UTU. Tunatambua madhira yote yaliyotokea na dunia nzima imeshuhudia! Ni kipofu...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Risiti hizi hapa za Maaskofu walipolaani mauaji Kibiti, Mauaji ya Pemba 2001, hata Magufuli Mkatoliki mwenzao hawakumuacha

    Hao wanaosema maaskofu walikaa kimya walikuwa wanajua kuna teknolojia ya Internet ? walidhani tupo zama za mawe mambo yanasahaulika kirahisi ? MAUAJI YA PEMBA 2001 Tanzania: Religious Leaders Plead For Tolerance Maaskofu Katoliki walivyolaani mauaji Pemba 2001 Magufuli akiwa Rais walilaani...
  13. President of China

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Viongozi wa Dini Mbalimbali wahudhuria uapisho wa Baraza jipya la mawaziri - Apostle Mwamposa na Maaskofu wengine walikuwepo

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mawaziri pamoja na viongozi wa dini mara baada ya hafla ya uapisho iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 18 Novemba, 2025. Kiongozi wa dini yako umemuona?
  14. McLaren

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Sheikh: Maaskofu kuwaaminisha watu yale yalikuwa ni maandamano inasikitisha. Au Baraza La Maaskofu linahusika?

    Wakuu, Nimepata kihali baada ya kuona kauli hii kutoka kwa huyu Shekhe. "Kuona viongozi wa dini tunaowategemea katika taifa kuwaaminisha watu kwamba yale ni maandamno imenisikitisha. CHADEMA walisema wanaenda kukinukisha, wanaenda kufanya uasi wanaenda kuvuruga Uchaguzi. Maandamano yanatoka...
  15. THE BIG SHOW

    JamiiForums Tanzania Baraza la maaskofu nchi hii ni ya kidemokrasia na siyo ya mfumo wa kikristo wala mfumo wa dola ya kiislamu acheni kuipa amri serikali

    Friends and Our Enemies, Kuna ajenda ya udini inaendelea chini chini na haikuanza leo dhidi ya Rais Samia,Ajenda hiyo ilijicha kwa muda mrefu sana lakini hivi sasa ni wazi kabisa imejionyesha ni nani alikuwa mastermind wa ajenda hiyo. Kama sote tutakuwa na kumbu kumbu vinara wa uchochezi na...
  16. K

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tafakuri ya Waraka wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC)

    TAFAKURI YA TAFAKARI YA BARAZA LA MAASKOFU TANZANIA (TEC) ILILOTOLEWA SIKU YA JUMAMOSI TAREHE 15 TAREHE 2025 Mwandishi, H.M Mponda (Msema Kweli) MA, Digital International Relations & Diplomacy Mtanzania Mzalendo. Utangulizi. Ndugu Watanzania wenzangu, panapotokea jambo zito katika taifa ni...
  17. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Mwenye tamko la maaskofu la kulaani Lissu kupigwa risasi atuwekee hapa. Nataka ni confirm kitu

    Husika na kichwa Cha habari hapo juu chajieleza, naomba mwenye tamko atuwekee tuone Hawa maaskofu wa kikatoliki waliongea nini baada ya Lissu kupigwa risasi tuone. Maana mm sikuona tamko lolote #AMANI NI UCHUMI TUILINDE NA KUITUNZA
  18. D

    JamiiForums Tanzania Mkiona makuhani, mashekhe,wachungaji, mapadri na maaskofu wanakemea jambo WAFUATENI

    Mambo ambayo madikiteta wote duniani hufanya ni kutumia masikini kupigana na masikini wenzao; Yaani wanaodai haki kwa amani huzuiliwa kwa mikono ya masikini dhalimu Hakuna hata siku moja utamkuta dikiteta yuko mbele katika mapigano yoyote; Bali hutumia masikini wasiojitambua kwenda kupigana na...
  19. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kwanini Maaskofu karibia wote wa kilutheri ni 'madaktari'?

    Kila askofu wa kilutheri, japo si wote, akitambulishwa lazima awe daktari. Je, haiwezekani kuwa Askofu bila kuwa daktari? Je, wanapeana udaktari au kuusotea vilivyo? Kuna haya ya kuchunguza lau tukajua ukweli ni upi tusijepigwa changa la mato. Nafikiri na kuwaza kimya kimya.
  20. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Udini Dhidi ya Maaskofu ni Hoja Potoshi za Mafisadi wa CCM Kukwepa kuambiwa ukweli

    GT Hawa viongozi wetu maaskofu hawajawahi kupoa hasa linapokuja swala la uadilifu na kutenda haki, huwa hawacheki na yeyote. Hivi sasa kumeibuka hoja kwamba eti ni wadini this is BIG NO kiufupi hawa jamaa siyo wanafiki. Mafisadi wanakuja na propaganda hii kukwepa kusikia Ukweli. Kama ingekuwa...
Back
Top Bottom