tamwa

The Tanzania Media Women’s Association (TAMWA) - Swahili: Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania (CHAWAHATA) - is a nonprofit non-governmental organization focused on women's rights and children's rights, based in Dar es Salaam, Tanzania, and they also keep an office in Zanzibar.

View More On Wikipedia.org
 1. beth

  TAMWA: Jamii inawajibika kukemea vitendo vya Ukatili Wa Kijinsia

  Kuelekea maadhimisho ya Siku 16 za Kupinga Ukatili wa Kijinsia, kila mmoja katika Jamii ana wajibu wa kukemea vitendo vya Ukatili Wa Kijinsia na kutoa Elimu juu ya madhara ya vitendo hivyo Usawa wa Haki, Uwajibikaji na Elimu kwa wote ni muhimu kupunguza matukio ya unyanyasaji wa kijinsia TAMWA
 2. beth

  TAMWA: Elimu itolewe kupunguza ukatili wa kijinsia

  Je wajua kuwa, kiwango cha kufanyiwa ukatili wa kijinsia kwa mwanamke kinaweza kuongezeka kutokana na kiwango cha elimu, dini, kabila, umri, utaifa na hata hata ulemavu? Elimu itolewe kwa makundi yote ili kufikia malengo ya kupunguza ukatili huu katika Nyanja zote. TAMWA
 3. beth

  TAMWA: Mila kandamizi zinazochochea ukatili dhidi ya Wanawake

  Mila kandamizi zimetajwa kuwa chanzo cha ongezeko la Ukatili dhidi ya Wanawake, na jambo hilo linapaswa kukemewa ili kumaliza Mila hizo Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA) kimetaja baadhi ya Mila hizo kuwa ni pamoja na Wanawake kuzuiwa kufanya kazi Migodini kwa madai wanapokuwa...
 4. G-Mdadisi

  Utafiti: Vyombo vya Habari vina upungufu wa habari za uchambuzi wa matatizo ya wananchi

  Na Gaspary Charles - TAMWA ZANZIBAR IMEBAINISHWA kuwa vyombo vya habari bado vinakabiliwa na ukosefu wa maudhui ya kutosha ya kiuandishi yatokanayo na uchambuzi wa masuala mbalimbali katika jamii jambo ambalo linapelekea matatizo na kero za wananchi kushindwa kutaftiwa ufumbuzi kwa wakati...
 5. G-Mdadisi

  TAMWA Zanzibar yaviomba Vyombo vya Sheria kuwachukulia hatua wanaopiga na kuua wanawake na watoto

  TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Chama cha waandishi wa Habari Wanawake Tanzania, Zanzibar (TAMWA, ZNZ), kinaviomba vyombo vya ulinzi kuhakikisha vinawakamata na kuwafikisha Mahakamani watuhumiwa waliohusika na vitendo vya upigaji na uuaji wa wanawake na watoto vilivyotokea hivi karibuni, hapa...
 6. beth

  TAMWA yasisitiza ushirikishwaji wa Wanaume katika mapambano dhidi ya Ukatili wa Kijinsia

  TAMWA husisitiza ushirikishaji wa wanaume na vijana katika mapambano ya kumaliza ukatili wa kijinsia. Ni vyema wadau wanaotoa semina juu ya elimu ya ukatilikuzingatia maudhurio ya wanaume na wanawake. Wanaposhirikishwa, inawapa mwanga kujua madhara ya vitendo vya kikatili na hivyo kuwawezesha...
 7. Roving Journalist

  TAMWA: Vyombo vya ulinzi viwachukulie hatua kali watuhumiwa wa vitendo vya mauaji ya Wanawake na Watoto

  TAMWA, Zanzibar yaviomba vyombo vya ulinzi kuwachukulia hatua kali kwa mujibu wa sheria watuhumiwa wa vitendo vya mauaji ya wanawake na watoto Chama cha waandishi wa Habari Wanawake Tanzania, Zanzibar (TAMWA, ZNZ), kinaviomba vyombo vya ulinzi kuhakikisha vinawakamata na kuwafikisha Mahakamani...
 8. beth

  TAMWA: Jamii inahitaji elimu zaidi kutambua aina za ukatili wa kijinsia

  TAMWA inatambua kuwa ukatili wa kijinsia unaweza kuchukua sura mbalimbali kuanzia ukatili wa majumbani unaohusisha vipigo na matusi, usafirishaji wa binadamu, ukatili wa kingono kwa njia ya mtandao, ndoa za utotoni, ukeketaji na hata mauaji ya vikongwe. Jamii inahitaji elimu kwa kina kuzifahamu...
 9. beth

  TAMWA yahimiza mabadiliko ya Sheria kupunguza Ukatili wa Kijinsia

  TAMWA bado inahimiza mabadiliko ya Sheria ya ndoa ya mwaka 1971 ambayo haiwalindi wasichana dhidi ya kuolewa. Sheria hii inaruhusu wasichana wenye miaka 14 kuolewa kwa (ruhusa maalum ya wazazi), inaruhusu wasichana wenye umri kuanzia miaka 15 kuolewa iwapo umbile lao linaonekana kubwa Hali hii...
 10. beth

  Utafiti: Zanzibar ina changamoto kutatua matatizo ya Ukatili wa Kijinsia

  Utafiti uliofanywa na Chama cha Wanahabari Wanawake (TAMWA) Juni 2011 hadi Machi 2012; Kuna changamoto kubwa katika Jamii za Zanzibar kwenye kutatua matatizo ya ukatili wa kijinsia. Jamii zinagubikwa na usiri wa kueleza au kuyafikisha masahibu hayo mbele ya sheria na vyombo vya usalama...
 11. beth

  TAMWA yakemea dhuluma za kingono kwa Watoto

  Ripoti ya jeshi la polisi iliyotolewa mwaka 2020 inataja miongoni mwa ukatili dhidi ya Watoto wa kiume na wa kike ulioripotiwa kwa kiwango kikubwa kuwa ni dhuluma za kingono ambapo katika mwaka wa 2020 kuliripotiwa visa 7263 ikiwa ni ongezeko la asilimia 26 ikilinganishwa na mwaka 2015 ambapo...
 12. beth

  TAMWA: Vipigo hupingana na Haki za Binadamu

  Utafiti wa viashiria vya afya (TDHS 2015/2016) ulibaini kuwa asilimia 58 ya wanawake na 40 ya wanaume wanakubali kwamba ni sahihi mume kumpiga mke kwa sababu mbalimbali Tafiti hizi zinadhihirisha wazi, kuwa jamii inahitaji elimu zaidi ya kufahamu madhara ya upigaji ni kupingana na haki za...
 13. beth

  TAMWA: Ukimya kuhusu masuala ya rushwa ya ngono unapaswa kuvunjwa

  Mila na desturi zimetufundisha ya kwamba masuala ya rushwa ya ngono hayazungumzwi, hivyo tuvunje ukimya kuanzia ndani ya vyombo vya habari mpaka katika jamii yetu kwa kuwa tunajua tatizo lipo tulifanyie kazi liweze kumalizika" Dk Rose Reuben: Mkurugenzi Mtendaji - TAMWA Takwimu za Ofisi ya...
 14. Replica

  Zanzibar: TAMWA yasikitishwa na kitendo cha udhalilishaji cha kuwachoma sindano watoto bila ya sababu

  Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania, Zanzibar (TAMWA, ZNZ) kinasikitishwa na kitendo cha udhalilishaji ambacho kimezuka hivi karibuni cha kuwachoma sindano watoto bila ya sababu. Wakati nchi inaendeleza juhudi za kupambana kupinga vitendo vya udhalilishaji wa kubakwa, kulawiti...
 15. beth

  Wazazi wadaiwa kukingia kifua watuhumiwa ubakaji

  Wakati vitendo vya ubakaji na ulawiti vikiongezeka mkoani wa Dar es Salaam kwa kipindi cha miezi 10 ndani ya miaka miwili, wadau akiwamo Mkuu wa Wilaya Kigamboni, Sarah Msafiri, wameeleza tatizo la wazazi kuwakingia kifua watuhumiwa. Takwimu zinaonyesha katika kipindi cha miezi 10, mwaka jana...
Top Bottom