kunani

Kunani (Persian: كوناني‎, also Romanized as Kūnānī and Konānī) is a city in and capital of Kunani District, in Kuhdasht County, Lorestan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 15000, in 3000 families.

View More On Wikipedia.org
  1. STUKA M1

    JamiiForums Tanzania ESS kunani mbona haifunguki

    ESS haifunguki Leo kutwa nzima Kuna Shida gani..?
  2. Mtu mbalimbali

    JamiiForums Tanzania Kunani JamiiForums?

    Kuweni makini wakuu. Nimeanza kuona mauza uza kwenye account yangu ya JF, gafla inanitaka ni log in upya kuingiza details zangu. Isije ikiwa watu wa mfumo wanafanya surveillance. Nchi isha chachuka hii.
  3. P

    JamiiForums Tanzania Kunani ya Msaidizi wa Lissu hadi Msaidizi wa Heche

    Wakuu umuofia kwenu! Nawasilimu kwa jina la Tanzania...... Leo Watanzania wameionyesha dunia kuwa sio "cheap" Watanzania huwa hawashirikiani na jambo wasilolijua mzizi wake, unaweza ukawanunua/wadanganya baadhi kwa mara ya kwanza ila hawawezi kurudia kosa! Kongole na kazi iendelee Nirudi...
  4. Stability

    JamiiForums Tanzania Nasikia sasa hivi kila pisi inakimbilia Geita. Kunani!?

    mashimo yatakuwa yametema
  5. R

    JamiiForums Tanzania Nimepita Makumbusho kwenye mataa kuna askari JW amefunika uso , amelenga bunduki as if there is a danger to instantly shoot! Kunani?

    Yaani kama vile at any time ataachia risasi! Yaani yuko alert to shoot! I was walking, nikapita karibu naye maana sikuwa na namna ya kumkwepa.....mimi hapa naye huyu hapa! Nikageuka, Nikamtazama......1 metre apart! Nchi hii iko pabaya sana msivyotegemea!
  6. R

    JamiiForums Tanzania Naona Maria spaces leo kizungumkuti kunani? Au ni topic ya màndamano wame block kila kitu

    Mimi siipati kabisa. Kulikoni? Au topic ya màndamano imetisha serikali na TCRA wameziba kabisa mtandao
  7. Joannah

    JamiiForums Tanzania KERO Dawasco kunani?, sisi wakazi wa Mbezi-Goba tunaishi kama tupo kwenye jangwa la Sahara

    Hivi hili shirika DAWASA vipi?Waziri mwenye dhamana ya maji uko wapi? Inakuwaje wakazi wa Mbezi-Goba tunaishi kama tupo jangwa la Sahara? Miezi ya nyuma mlisema kina cha maji kwenye vyanzo vya maji kimepungua, sasa na masika hii bado tu maji hayatoki wiki ya tatu mna maana gani? Huko kwenye...
  8. Q

    JamiiForums Tanzania Naibu Mwendesha Mashtaka wa ICC akutana na Thabit Kombo, Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania

    Hatujui Kombo kapewa taarifa gani, lkn yumkini itakuwa ni kuhusiana na mauaji ya 29/10 na kesi iliyofunguliwa ICC. Waliokuwa wanasema hakuna kesi iliyofunguliwa ICC na kudhani mambo yataisha, business as usual wafikirie upya. ========== On the margins of the #AUSummit in Addis Ababa, #ICC...
  9. The Tomorrow People

    JamiiForums Tanzania Visiwani Kunani?

    1. Makamu wa Rais Dr. Nchimbi yupo Unguja ana zuunguka kuwajulia hali wastaafu. 2. Mzee wa Msoga yupo Pemba anafungua jengo la zimamoto. 3. Nadhani Rais naye bado ofisi ndogo ya Ikulu Tungu. Anyway ngoja niagize Pop corn nifuatilie kwa ukaribu hizi ziara 😃
  10. Trimmer

    JamiiForums Tanzania Musoma kunani?

    Nimepata taarifa ya kutokea kwa vurugu na rabsha za hapa na pale huko ukweni, ningependa kupata abc hapa JF maana nimejaribu kuperuzi huku na kule sijapata dondoo zozote kuhusu hili wakuu,, Nawasilisha,,
  11. scientificall

    JamiiForums Tanzania HODI TANGA YA MAZIWA NA ASALI

    Nimekuja kumalizia likizo yangu jiji la upendo na ukarimu kwa wageni hapa. Please wapi naweza pata kampani ya sex tofauti namaanisha pisi kali tule maisha sina kipengele just for enjoyment. Wenye ramani ya machimbo nielekezeni nkatembee na kujionea yasemwayo. Nipo tanga mjini
  12. S

    JamiiForums Tanzania Mzee Warioba sikumuona wakati wa kulivunja bunge na leo wakati wa kulizindua bunge. Kunani?

    Za ndani kabisa, zinasema sura ya mzee Warioba na ile ya mama hazisomani, hivyo mzee kapigwa detention. Ndiyo maana mzee huyu haonekani katika shughuli na hafla zote za serikali. Tarehe 9 .12 tukamboe huyu mzee wetu.
  13. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Tarehe 17 kunani kwani, naona Giza siku hiyo

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Giza kubwa sana siku hiyo SAYUNI BOY
  14. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Number 5 kunani?

    Ni njia ya kuwatoa wadanganyika kwenye reli ama? Je ni namna ya kuepusha mijadala HOT ama kuna ihalisia? Kwenye vipindi kama hivi.. Timu maalum za kueneza uzushi kiufundi sana huwa active sana.. Na sometimes malipo yake huwa mazuri sana! Je ni wangapi ambao DOB na DOD hufanana ama hukaribiana...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini Kawe hakuna stendi?

    KAWE KUTOKUWA NA STENDI RASMI YA DALADALA: NANI ALAUMIWE NA NINI KIFANYIKE? Kawe ni moja ya maeneo yanayokua kwa kasi katika Jiji la Dar es Salaam. Watu wengi wanaishi, kufanyia kazi au kupita katika eneo hili kila siku. Pamoja na ukuaji huo wa haraka wa mji, Kawe bado haina stendi rasmi ya...
  16. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania Kunani ongezeko la magari yanye ngao (bullbar) barabarani, zinaruhusiwa na wengine tufunge?

    Kwa kumbukumbu zangu magari yenye ngao yalipigwa marufuku kwa sababu ya usalama wa watumiaji wengine wa barabara. Hii ilisaidia kidogo madereva kuwa makini, hata kama una gari kubwa ilikuwa lazima uwe na nidhamu, ukigonga wenzako basi ujue fedha ya taa na bampa zinakuhusu. Sasa hivi kila basi...
  17. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Kunani kila tajiri anapeleka bus ruti ya Tanga. Au Tanga vigagula vyenu vilikufa, New force ndani ya Tanga

    Zamani ruti ya Tanga ilikuwa ngumu kama ilivyo ruti ya Dar kusini kama si mzaliwa wa huko utoboi. Alianza Abood, anakuja Shabiby na sasa New force nae anapeleka chuma Tanga Dar Tanga. Hizi ruti za mabus zamani ilikuwa kama we ni WA kaskazini ni huko huko ukienda ruti ya Dar Tunduma wakinga na...
  18. Jacobus

    JamiiForums Tanzania Radio za Dar hazisikiki Tabora. Kunani?

    Ilianza Wasafi FM 94.5 tokea mwaka jana, ikaja East Africa Radio 105.2 hii yapata kama mwezi hivi, imefuatiwa na Clouds FM 88.0 na E FM 93.7 hizi ni wiki hii na inayokatakata kwa sasa ni Radio Maria 93.7. Radio Free Africa ya Mwanza 90.0 yenyewe mvua ikinyesha tu inapotea, sijui mtambo wake...
  19. gcmmedia

    JamiiForums Tanzania Kwanini vifurushi vya Internet vinaisha haraka

    Naomba mnisaidie, kwa miezi kadhaa kabisa nikinunua kifurushi cha mwezi cha internet kinaisha hata wiki hainaisha wakati Natuma jioni tu Tena kwa Kiasi kidogo kwani mchana huwa ni atumia WiFi ya ofisini. Vipi nyie wenzangu?
  20. Librarian 105

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la bidhaa chini ya viwango mtaani, TBS kunani?

    Nitaangazia upande wa chuma pekee: hardware nyingi sana huku Arusha zinauza nondo na bidhaa nyingi za chuma ambazo hazina ubora na kiwango. Pia hazina urefu wa futi 17-17.5 kama zamani. Hii hali imenipa mashaka makubwa juu ya matokeo ya baadae ya tasnia ya ufundi na ujenzi wa uhakika mitaani...
Back
Top Bottom