Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,828
- 13,585
RAIS wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amemteua Shariff Ali Shariff, kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Kazi, Uchumi na Uwekezaji visiwani humo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam.
Uteuzi huo umetangazwa na Katibu Mkuu Kiongozi Zanzibar, Mhandisi Zena Said
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mhandisi Zena, uteuzi wa Shariff unaanza leo tarehe 21 Februari 2024.
“Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amemteua Shariff kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Kazi, Uchumi na Uwekezaji.
Shariff ataapishwa tarehe 22 Februari 2024 saa 8.00 mchana katika ukumbi wa Baraza la Mapinduzi-Ikulu Zanzibar. Uteuzi huo unaanza leo,” imesema taarifa hiyo.