tec

The TEC Awards is an annual program recognizing the achievements of audio professionals. The awards are given to honor technically innovative products as well as companies and individuals who have excelled in sound for television, film, recordings, and concerts. TEC is an acronym for Technical Excellence and Creativity.

View More On Wikipedia.org
  1. THE BIG SHOW

    JamiiForums Tanzania TEC tunasubiria waraka wenu kwa hamu, mnakuja na lipi awamu hii?

    Friends and Our Enemies, Dante anasema siku zote kuwa ''How you do anything,is how you do everything". Pigo hili la kuondoka kwake na kujiuzulu na hatimae kufukuzwa kwake kwa sababu za kimaadili bado zimeleta maswali mengi sana kwamba je wavaa magauni walihusika katika kumjaza presha na...
  2. Yoda

    JamiiForums Tanzania BAKWATA wana ushwawishi na nguvu kubwa kuliko TEC katika siasa za nchi

    Kwenye siasa kuwa na msimamo unaoleweka na wa wazi ni jambo muhimu sana la kujenga heshima na kuaminika. Ukiangalia katika siasa za Tanzania BAKWATA wao wamejifungamanisha wazi kabisa na CCM na serikali yake, hawajifichi na msimamo wao uko wazi kabisa unaeleweka kwa watawala na wafuasi wao...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Undumilakuwili huu wa TEC na Kitime mpaka lini?

    KITIMA, TEC NA KIKAO NA RAISI: UNAFIKI HADHARANI Padre Kitima anadai TEC wamemtuma atueleze kilichojiri. Kwanza sijui nani alimwambia watu wa Imani isiyo yake wanataka awaeleze shughuli yao? Mbona hatuwasikii Anglican, BAKWATA, KKKT na wenzao wakitueleza mambo Yao kama Taifa? Hii ni moja ya...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Majibu Yangu Kwa Baraza La Maaskofu Katoliki TEC Na Padre Charles Kitima Juu Ya Hoja Ya Kuombana Msamaha kwa kile kilichotokea Uchaguzi Uliopita

    Ndugu zangu Watanzania, Hii ni Hoja Ambayo ningependa niijibu na kuitolea majibu na ufafanuzi ili Kujenga Uelewa wa Pamoja Kama Taifa na watanzania wote kwa Ujumla wake. Serikali yetu Chini ya Uongozi Shupavu, Madhubuti na Imara wa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Iliumizwa Na Imeumizwa sana...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Kwa maoni yangu naona lengo la TEC ni kunawa mikono kwamba tulionya kabla na tumeonya baada Kwa wazi Kwa Siri damu iwe juu vichwa vyenu wenyewe

    Kwanza wameonyesha UNYENYEKEVU kama WATUMISHI wa Mungu Kwa watawala kuwatafuta Ili kuwaambia ukweli Tangu zamani kazi ya makuhuni na MANABII ilikuwa ni kuonya watawala walipokuwa wanakosea njia Baada ya kuonya kazi Yao inaishia pale wanasubiri maamuzi ya watawala. Baada ya hapo wanaotegemea...
  6. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Naishauri TEC kulitazama upya Jimbo Katoliki la Kondoa kwa jicho la tatu.

    Ikiwa hali itaendelea kua kama ilivyo, huenda likakosa sifa ya kua jimbo la kiimani ndani ya kanisa hilo, kama yalivyo majimbo mengine ya kanisa katoliki nchini. Kuna zaidi ya ugumu katika kuendesha shughuli za kitume kijimbo, kidekania na kiparokia katika jimbo hilo katoliki la Kondoa. Hali...
  7. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Msumari wa TEC: Mambo Muhimu Yaliyojiri Kwenye Mkutano wa Hivi Karibuni wa TEC (Agosti 2026)

    Mkutano huu na waandishi wa habari ulifanyika mara baada ya viongozi wa TEC kukutana na kufanya mazungumzo na Samia Suluhu Hassan katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma. Lengo la Kukutana na Rais: Padre Dkt. Charles Kitima alibainisha kuwa mkutano huo ulitokana na ombi la maaskofu wenyewe...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Briefing ya TEC na Rais by Fr. Kitima

    Sikiliza
  9. Yoda

    JamiiForums Tanzania TEC sitisheni mara moja mpango wa kumfanya Nyerere Mtakatifu, ni jambo la hasara zaidi kuliko faida.

    Wengi tunakubali Nyerere alikuwa kiongozi mzuri ila kuna mengi mabaya sana pia aliyafanya na anayolalamikiwa nayo ikiwemo ukandamizaji wa wapinzani wake, katiba mbovu inayotutesa, experiments katili za vijiji vya ujamaa, mapinduzi ya Zanzibar yaliyosababisha mauaji makubwa na kuvunjwa kwa chama...
  10. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Dr. Emmanuel John Nchimbi ni uncompromised statesman Tanzania

    Ni dertimined political leader of modern times politics. Hayumbi, hayumbishwi wala hayumbishiki. Uzalendo, ushawishi na dhamira yake kwa Taifa havina chembe ya shaka miongoni mwa waTanzania. Nidhamu, utii, hekima, busara, na mienendo yake kisiasa, vina mpa uhakika wa hatua za kuyafikia malengo...
  11. R

    JamiiForums Tanzania TEC HII NI KWELI?

    Ikulu Chamwino, Dodoma It has been a blessed and fruitful day meeting and engaging in discussions with the Catholic Bishops through the Tanzania Episcopal Conference (TEC). We have addressed various national issues, including peace, unity, development, and the role of religious leaders in...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa TEC na Rais Samia Ikulu Chamwino: Je, ni Toba ya Kweli na Kukiri Makosa ya Serikali, au ni 'Geresha' la Kisiasa Kupoza Nyoyo?

    Wakuu wa jukwaa hili, Mkutano wa tarehe 10 Agosti 2026 kati ya Rais Samia Suluhu Hassan na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) huko Dodoma haupaswi kuchukuliwa kama kikao cha kawaida cha kunywa chai na kupiga picha za tabasamu za Ikulu. Huu ni mkutano uliogusa donda ndugu la taifa letu...
  13. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Happi awaomba TEC wawaombee Chadema wakubali maridhiano.

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa, Ally Hapi amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kukutana na Maaskofu wa Kanisa Katoliki kupitia Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC) Ikulu. Akizungumza leo Agosti 12, 2026 na Wanachama wa CCM pamoja na...
  14. L

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Wameumia Sana Mioyo yao Kuona TEC Wameonana na kufanya Mazungumzo na Rais Samia. Wababubujikwa Machozi ya Huzuni

    Ndugu zangu Watanzania, CHADEMA Wameumia sana kuona Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan ameonana na kufanya Mazungumzo na Viongozi mbalimbali wa baraza la Maaskofu wa kanisa la Katoliki Tanzania. Yaani CHADEMA wamenuna na...
  15. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 TEC, ili kuepusha upotoshaji toeni kauli rasmi kwa umma ya mlichojadili na Rais Samia jana Ikulu. Waumini wenu tuna haki kujua mlichopatana

    Tumsifu Yesu Kristo Ma - Baba Askofu wetu wa TEC! Nawaandikia haya kama mshirika na muumuni mwaminifu wa kanisa Katoliki ambaye ni muathirika wa utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan na serikali yake haramu ambayo inahusika na mauaji ya maelfu ya watoto wetu, dada na mama zetu, na baba zetu hapo...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Most probable issues raised by TEC with the president, and if not, then TEC?

    Kama TEC haiku raise issue hizi, basi imejitia unajisi 1. Kupigwa kwa Fr. Kitima and government inaction to investigate the atrocity 2. Utekaji 3. Mauaji 4. Katiba mpya 5. Tume huru ya UCHAGUZI 6. Ufiraji 7. Kesi ya LISU 8. Kesi za ugaidi kwa wanachama na biongozi wa Chadema 9. SILENCE OF...
  17. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Nina Imani na TEC nasubilia mrejesho kutoka kwa Faza Kitima mmejadili Nini na Rais? Je yupo tayari kukili?

    Leo TEC imekutana na Rais ikulu ya DODOMA Tunaomba mrejesho,? Naomba KUJUa Faza Kitima kama umemuuliza amili kesho mkuu mlinzi wa Raia na mali zao, walio taka kukuaau VYOMBO vyake vimefikia wapi?
  18. Informer

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akutana na Viongozi wa TEC - Ikulu, Chamwino

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 10 Agosti, 2026, amekutana na kufanya mazungumzo na Maaskofu wa Kanisa Katoliki nchini Tanzania kupitia Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (Tanzania Episcopal Conference - TEC), Ikulu ya Chamwino, mkoani...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Mkutano Mkuu wa 87 wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania TEC unaendelea Makao makuu ya Baraza hilo Kurasini

    C&p Habari ndiyo hiyo. Mkutano Mkuu wa 87 wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) [87th Plenary Assembly - Study Session] unaendelea katika ukumbi wa Amecea uliopo ndani ya Makao Makuu ya Baraza la Maaskofu Kurasini Jijini DSM. Mkutano huo unaongozwa na Rais wa TEC, Mhashamu Baba...
  20. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania TEC yabadilisha tarehe ya upadirisho kutoka tarehe 7/7 hadi tarehe 4/7

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Baraza la maaskofu limenusa hatari ya genzi Kitima abadilisha tarehe arudisha nyuma Asante sana SAYUNI BOY
Back
Top Bottom