rais mwinyi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. uhurumoja

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi Leo katika sabasaba katembea kwa mda wa masaa 3

    Wakuu hii sidhani kama ilikuwa sahihi kwa watu wa protocol na wahusika wengine Wamemtembeza Mh Rais katika mabanda yaliyobanana yenye fujo na juto kwa mda wa masaa 3 huenda na zaidi akikagua biashara na kupata maelezo kutoka kwa waelezaji ambao hawakuwa wamejipanga Ile kazi katika zama hizi za...
  2. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Mwinyi afanya uteuzi wa RC na Ma-DC

    Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amefanya uteuzi wa mkuu wa mkoa na wakuu wa wilaya watano kufuatia baadhi ya waliokuwa wakishikilia nafasi hizo kuchukua fomu kwa ajili ya kuwania nafasi za uwakilishi na ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM). Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na kitengo...
  3. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi aizawadia Yanga Milioni 100

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameizawadia Klabu ya Yanga SC shilingi milioni 100, kwa kutambua ushindi na mafanikio makubwa waliopata katika msimu wa mwaka 2024/2025. Dkt. Mwinyi ameyasema hayo leo tarehe 30 Juni 2025 alipokutana na viongozi...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sababu za Rais Mwinyi kusogeza kulivunja Baraza la Wawakilishi hadi Agosti 13, 2025

    Kumekuwa na hisia tofauti kufuatia Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi kuahirisha kulivunja Baraza la Wawakilishi jana Juni 23, 2025 na kusogeza hadi Agosti 13, 2025 akisema ni kutokana na matayarisho ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025. Baadhi ya wachambuzi wameihusisha hatua hiyo na...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi apewa Tuzo ya Kinara wa uhamasishaji uwekezaji Zanzibar

    Mamlaka ya Kukuza Uwekezaji Zanzibar (ZIPA) imemtunuku tunzo ya kuwa mhamasishaji nambari moja wa masuala ya Uwekezaji nchini ambaye ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Hasaan Mwinyi kwa mchango wake huo, ulichangia kuinua sekta ya Uwekezaji jambo ambalo...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Gwajima: Gwajimanization ni Ujasiri wa kusema Ukweli na kutikisa misingi ya ufisadi na dhulma katika nchi

    Askofu Josephat Gwajima ameielezea dhana ya Gwajimanization kama hali ya kuwa na ujasiri usiotetereka wa kusema ukweli na kutanguliza maslahi ya taifa mbele ya maslahi binafsi, hata kama ukweli huo unauma au hauwapendezi walioko madarakani. "Sasa nilipoona Gwajimanization nikataka niitafasiri...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi asema atabeba gharama zote za Uwanja wa Amaan katika Fainali ya Simba Vs RS Berkane

    RAIS DKT. MWINYI ABEBA GHARAMA ZOTE UWANJA WA AMAAN COMPLEX MECHI YA SIMBA DHIDI YA RS BERKANE Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ametoa Zawadi Maalum kwa timu ya Simba Sports Club kwa kugharamia matumizi ya Uwanja wa New Amaan Complex bila...
  8. Abdull Kazi

    JamiiForums Tanzania Kuna Makosa kwenye chaneli ya WhatsApp ya Rais Mwinyi

    Nimekuwa mfuatiliaji wa taarifa za viongozi wanazoweka katika kurasa zao binafsi za kwenye Chanel za WhatsApp. Hizi kurasa ni mbali na zile zinazotangaza kazi rasmi za ofisi zao. Naomba nitoe mfano wa kurasa hizo na baadhi ya viongozi kabla sijaeleza Makosa ninayokusudia yarekebishwe. Kwenye...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Mixx by Yas yapewa Heshima na Rais Mwinyi kwa Mchango wake katika Mradi wa Makazi Zanzibar

    Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akikabidhi cheti cha shukrani kwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Mixx by Yas, Bi. Angelica Pesha, kutambua mchango wa Kampuni ya Mawasiliano ya Yas katika kushirikiana na Shirika la Nyumba Zanzibar (ZHC). Hafla hiyo ilifanyika...
  10. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi aifariji familia ya marehemu Charles Hillary

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ametoa mkono wa pole kwa familia ya marehemu Charles Hillary, aliyekuwa Msemaji Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, aliyefariki dunia usiku wa kuamkia leo, tarehe 11 Mei...
  11. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania RAIS MWINYI: TUTANGAZE FURSA ZA UWEKEZAJI NA KUZINGATIA DIPLOMASIA YA UCHUMI

    RAIS MWINYI: TUTANGAZE FURSA ZA UWEKEZAJI NA KUZINGATIA DIPLOMASIA YA UCHUMI Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi amewasisitiza Mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania katika Nchi mbalimbali kuzingatia Diplomasia ya Uchumi na Kuzitangaza fursa za Uwekezaji...
  12. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Mwinyi awatembelea wagonjwa kwenye hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mjini Lumumba

    Wakuu, Naona trip za kuwatembelea wagonjwa zimekuwa nyingi zimekuwa nyingi kipindi hiki. Kuna nini kwani? Au ndo maandalizi ya Uchaguzi ? Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi amewatembelea wagonjwa na kuwafariji katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia na Rais Mwinyi wafuturu pamoja Ikulu Tunguu na Viongozi wa Siasa, Serikali na Dini

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akijumuika na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Rais Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt. Amani Abeid Karume kwenye Iftar aliyowaandalia Viongozi wa siasa, serikali, dini...
  14. upupu255

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Mwinyi afutarisha wananchi wa mkoa wa Kusini Pemba na kukabidhi sadaka mbalimbali

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt, Hussein Ali Mwinyi amejumuika na Wananchi katika makundi maalum wakiwemo Wazee, Yatima, Watu wenye Ulemavu, Wajane, Walimu wa Madrasa, Masheikh, na Maimamu wa Misikiti wa Mkoa wa Kusini Pemba katika Futari ya pamoja alioiandaa. Kupata...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo: Tunamtaka Rais Mwinyi, kuunda Tume huru kuchunguza matukio ya Mauaji ya Raia

    Tunamtaka Rais Mwinyi, kuunda Tume huru kuchunguza matukio ya Mauwaji ya Raia) ACT Wazalendo tunalaani vikali tukio la mauaji ya kinyama dhidi ya Ndugu Juma Ame Ngwali, mwenye umri wa miaka 58, mkazi wa Kijiji cha Ndooni, Shehia ya Uweleni, Wilaya ya Mkoani, Mkoa wa Kusini Pemba. Marehemu...
  16. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania Kama kijana ukipata nafasi ya kukutana na Rais Samia na Rais Mwinyi ndani ya dakika 3 utatoa ushauri gani?

    Wana JF, hebu tuweke mawazo mezani. Fikiria upo chumba kimoja na Rais Samia Suluhu Hassan na Dk. Hussein Mwinyi kwa dakika 3. Kama kijana chini ya miaka 35, unapata nafasi ya kushauri jambo moja tu, na wanakuhakikishia litatekelezwa kwa asilimia 100 Ukipewa hii nafasi, ungewashauri nini? Tupe...
  17. upupu255

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Mwinyi: Tuendelee kuiombea nchi Amani kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema jamii ina Wàjibu wa Kujifunza Umuhimu wa Amani kupitia Mambo yanayojiri katika Nchi zilizokosa Amani Ulimwenguni. Akizungumza katika Dua Maalum ya Kuiombea Nchi pamoja na Viongozi Wakuu, Rais wa Zanzibar na...
  18. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Mwinyi: UVCCM endeleeni kuhamasisha vijana CCM ishinde na kushika dola

    Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi amesema Chama cha Mapinduzi (CCM) ameisisitiza UVCCM kuendeleza kasi ya uhamasishaji uandikishaji wa Daftari la kudumu la wapiga kura na kuhakikisha vijana wengi wanajiandikisha...
  19. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi: Wafanyabishara hakikisheni hampandishi bei za bidhaa katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi amewahimiza Wafanyabiashara kujiandaa na Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa kufanya biashara kwa uadilifu, huruma na kuacha tabia ya kupandisha bei bidhaa kwakuwa wanaoumia ni wananchi. Alhaj Dkt. Mwinyi ametoa tamko...
  20. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wanafunzi wa vyuo wamchangia Rais Samia na Rais Mwinyi fedha ya fomu

    Wakuu, Wanafunzi wa vyuo vikuu nchini wamefanya harambee ya kuwachangia Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassani pamoja na Rais wa zanziba Dkt.Hussein Mwinyi Fedha za kuchukua fomu ya ugombea Urais 2025 ikiwa ni katika hatua za kuwaonga mkono kutokana na kazi nzuri...
Back
Top Bottom