Ghorofa ni jengo la ngazi ambalo linaweza kutumiwa na watu (kwa ajili ya maisha, kazi, ghala, burudani, n.k.). Sakafu inayogusana na ardhi huitwa "ghorofa la chini" katika maeneo mengi.
Fundi kuniambia kama unataka kujenga
nyumba yenye vyumba vinne au zaidi ni bora ujenge ghorofa.
Kujenga nyumba ni jambo kubwa. Unapofikia hatua ya kuamua idadi ya vyumba vya kulala, swali muhimu linajitokeza. Nijenge nyumba ya chini au ghorofa ?
Fundi kashauri kama unataka nyumba yenye...
Je, unatafuta nyumba yenye eneo kubwa na fursa ya kuikamilisha kulingana na mahitaji yako? Hii ndiyo nafasi yako!
✅ Eneo: Mbezi Beach
✅ Ujenzi umekamilika kwa 80%
✅ Ukubwa wa kiwanja: Square mita 1,400
💰 Bei: TSh 600,000,000 (Mazungumzo yapo)
Usikose fursa hii ya kupata nyumba katika eneo lenye...
Wakili Peter Madeleka, tayari amefika kwenye viunga vya Mahakama Kuu ya Tanzania, Divisheni ya Ardhi ambapo kesi inayowahusu waliokuwa wafanyabiashara 'wapangaji' kwenye jengo la ghorofa lililoporomo Kariakoo, Jijini Dar es Salaam mwishoni mwa mwaka 2024 inaanza kusikilizwa leo, Jumatatu Mei...
Unatafuta nyumba ya kisasa au uwekezaji wenye faida kubwa? Hii hapa nafasi yako! 🏡✨
📍 Location: Upanga
✨ Features Kuu:
• Vyumba 3 vya kulala (1 Master Self-Contained) 🛏️
• Sebule kubwa + sehemu ya dining 🍽️
• Jiko la kisasa 🍳
• Swimming Pool 🏊♂️
• Gym ya kisasa 💪🏽
• Generator (hakuna stress ya...
Kwema wakuu?
Ninaishi kwenye nyumba ya chini ya zamani kidogo. Sababu ya muda wa nyumba hii basi bati zake zimeanza kuvuja sababu ya kutu na hata plasta imechoka baadhi ya sehemu.
Sasa niliwaza kuikarabati kwa kurudia plasta pia kuezua paa, ceiling, kenchi, brandering, na kuweka mpya ikiwapo...
Jengo la RITA Tower lililoko Posta Dar es Salaam, naona wameamua kulisahau mpaka siku maafa yatokee ili waunde tume.
Jengo lile lina ghorofa 26, mnaweza kuelewa limebeba watu wengi kiasi gani lakini cha kusikitisha ni kwa lift za jengo lile ni nne (zilianza kufa kuharibika moja baada ya...
Unakuta kwenye resident buildings pemben kuna hotel pemben kuna jengo lingine refu ila yote ya minara kibao ni ya kazi gani hiyo. Na je ni ma provider wa telecommunications ndo wanayoiweka au ni wamiliki wa jengo husika...kwa sababu mtaani tunaona mnara mmoja tu unahudumia karibu mtaa mzima...
BIBI kikongwe Khadija Isihaka (84), amemwangukia Rais Samia Suluhu Hassan,akimsihi aingilie kati mgogoro wake na mwekezaji Munir Harbesh, anayelalamikiwa kuvunja mkataba wao wa kumiliki jengo la ghorofa kwa ubia.
Bibi Khadija anasema wakati akihangaika kusaka haki yake kwenye uwekezaji huo wa...
Hayo ni maneno ya mwanangu, akitaka ninunue gari kali, means hajaridhika na nilililonalo. Matokeo ya kidato cha pili yametoka na amefaulu kidogo nikaona nimtembeze mjini kuangalia vitu mbali mbali.
Mtoto wangu akataka tuende Mlimani City, kama mnavyojua jana pale Mlimani kulikuwa na watu wazito...
Nyumba inauzwa Magomeni kagera opposite kituo cha mafuta cha oilcom.
Title Deed
Smq 400
Milion 450
Hakuna mgogoro wowote.
0754693556
nipigie simu ukihitaji kuiona.
Cape Town, South Africa
Mheshimiwa Balozi Nathi Mthethwa alipatikana amefariki nje ya Hoteli ya Paris mnamo Jumanne, 30 Septemba. (Picha: Picha za Gallo / Foto24 / Craig Nieuwenhuizen)
Wenzake na marafiki wa Balozi wa Afrika Kusini nchini Ufaransa, Nathi Mthethwa, wanaomboleza baada ya waziri...
Single storey apartments
Familia nne kwenye jengo moja
Kila familia ina vyumba viwili jiko sebule public
toilet
Chini familia mbili na juu
Familia mbili
Jengo zima lina ukubwa wa 16x6 meters
Kiwanja 38x28 meters
Majengo manne kwenye kiwanja yanakaa
Imagine utakua unapata...
#houseforsale
YA KWANZA KUTOKA BARABARA YA LAMI
NYUMBA YA GHOROFA TANO (5) INAUZWA
IPO MAGOMENI MOROCCO DARESSALAAM
INA APARTMENT NANE (8) ZA VYUMBA VIWILI,SEBULE,JIKO&CHOO
PIA INA APARTMENT MOJA YA VYUMBA VINNE,AMBAYO IKO JUU FLOOR YA MWISHO
INA FRAME NNE (4) NA ZOTE ZINAFANYA...
Habari waungwana!
Namtafuta rafiki yangu kipenzi Rehema Abdallah Moris mara ya mwisho kuwasiliana nae ni mwaka 2011 kama sijasahu.
Tulikuwa na urafiki wa karibu sana mara nyingi nilikuwa namtembelea shekilango tunapiga stori zetu ubungu plaza hotel,stand shekliango au kwenye migahawa ya maeneo...
Habari wakuu,
Sikutaka kupitia kwa dalali hivyo nimekuja kwenu moja kwa moja kama una mjengo unauza tuwasiliane moja kwa moja na mimi tufanye biashara natafuta mjengo mmoja mkali sana, hata kama sio ghorofa lakini ni Luxury kali sana tunaweza kufanya biashara.
Napendelea kupata maeneo ya...
Wataalamu wa ujenzi. Kwa maeneo ambayo mawe yanapatikana kwa kirahisi na cheap, kujenga ghorofa la mawe inaweza kuwa cheap kuliko kujenga ghorofa la kawaida?
Moto mkubwa umezuka katika jengo la makazi lenye ghorofa 67 lililopo Dubai Marina, na kuwalazimu wakazi takriban 4,000 kuhama kwa dharura.
Moto huo umeweza kudhibitiwa baada ya saa sita za juhudi za kuzima, huku hakuna majeruhi walioripotiwa.
Chanzo cha moto bado hakijabainika.
Katika zama hizi tunazoita za maendeleo, kuna mambo mengi tunashangilia bila kuyachambua kwa undani. Tunaona fahari umeme unaposambaa hadi kijijini, nyumba za nyasi zinavyopungua, na watu wanavyohamia mijini kutafuta fedha. Lakini, je, kweli haya ni mafanikio? Au ni dalili za jamii inayokosa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.