Atunukiwa Tuzo ya Uvumilivu na Rais Mwinyi

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
21,838
38,729
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi akikabidhi tuzo ya Mwananchi Mvumilivu kutoka Pemba, Ndg. Omar Seif Omar, iliyokabidhiwa kwa mtoto wake Ndg. Hamad Omar Seif, kutokana na yeye kushindwa kuhudhuria kwa sababu ya maradhi yanayomsumbua. Tuzo hio imekabidhiwa katika 'Maadhimisho ya Miaka 3 ya Mfumo wa Sema na Rais Mwinyi'.

Mwananchi huyo amekuwa akifuatilia mafao yake kwa kipindi cha takribani miaka 26 mpaka kuja kulipwa mwaka jana 2023 kwa kupitia msaada aliopata kutoka kwenye mfumo wa 'Sema na Rais Mwinyi'.

Maadhimisho hayo yamefanyika katika Viwanja vya Ikulu, Zanzibar, leo Machi 16, 2024.

FB_IMG_17105933942265388.jpg
 
Back
Top Bottom