Licha ya kwamba mimi ni Mkristo, leo sitakula nyama sababu mshahara wa mwezi wa pili bado haujatoka

Myebusi Mweusi

JF-Expert Member
Jan 23, 2022
668
1,505
Kwa jìnsi nilivyo nadhifu, kwa jinsi nilivyo na haiba njema, watu wanashangaa sana wakiona sijihusishi na mambo mengi ya dunia, licha ya kiwa nayapenda.

Mademu wanapapatika juu yangu nami naumia kwa kushindwa kuwamudu.

Nikikatiza mtaani huķu Uswahilini kwetu watoto wananìlilia na kuniita baba, baba, baba, yaani nina mivuto kinoma, kumbe ndani sina kitu, boss anadororesha uchumi wangu.

Leo ningekula kitimoto na konyagi yàngu size ya kati. Lakini mshahara wangu wa mwezi wa pili hadi leo sijaupata.

Mwajiri ni jeuri na kiburi, anafanya analotaka yeye. Hakika nitaķuja mwendea kwa mganga, heshimu watu na kuwajali.

Huyu ñgambili nitamkomesha
 
Komaa na hicho hicho kinachokuwezesha kusurvive hadi sasa.
 
Si afadhali wewe bwashee, sisi hatujalipwa mwezi wa 6 huu. Na wanaume tunadunda tu.
Kwa jìnsi nilivyo nadhifu, kwa jinsi nilivyo na haiba njema, watu wanashangaa sana wakiona sijihusishi na mambo mengi ya dunia, licha ya kiwa nayapenda.

Mademu wanapapatika juu yangu nami naumia kwa kushindwa kuwamudu.

Nikikatiza mtaani huķu Uswahilini kwetu watoto wananìlilia na kuniita baba, baba, baba, yaani nina mivuto kinoma, kumbe ndani sina kitu, boss anadororesha uchumi wangu.

Leo ningekula kitimoto na konyagi yàngu size ya kati. Lakini mshahara wangu wa mwezi wa pili hadi leo sijaupata.

Mwajiri ni jeuri na kiburi, anafanya analotaka yeye. Hakika nitaķuja mwendea kwa mganga, heshimu watu na kuwajali.

Huyu ñgambili nitamkomesha
 
Uende ukale kwa hao unaosema wanakupapatikia na kukulilia na kukuita baba baba
 
Back
Top Bottom