kuchukuliwa hatua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Dkt. Biteko: Watendaji wazembe TANESCO kuanza kuchukuliwa hatua kila mwezi

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko ameagiza ripoti ya taarifa kila wiki ya Kituo cha Huduma kwa Wateja ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) ianze kutolewa kila mwezi ili kufahamu maeneo yenye changamoto ya umeme nchini na kurahisisha watendaji wazembe kuchukuliwa hatua...
  2. JanguKamaJangu

    LATRA yawataka Wamiliki mabasi ya Sauli na New Force kujieleza kabla ya kuchukuliwa hatua

    WAMILIKI MABASI YA SAULI NA NEW FORCE WATAKIWA KUJIELEZA KABLA YA KUCHUKULIWA HATUA ZA KIUDHIBITI Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imefanya kikao kilichohusisha Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani na wamiliki wa mabasi ya Sauli na New Force yaliyosababisha ajali ya tarehe...
  3. Mdude_Nyagali

    Katibu Tawala aliyeiba mafuta anabebwa na familia ya Kikwete

    Taarifa za awali nilizozipata ni kwamba katibu tawala DAS wa Mbongwe ambaye jana niliweka sauti yake hapa akiiba mafuta ya serikali hawezi kuchukuliwa hatua kwa sababu yuko karibu na familia ya Kikwete. Inadaiwa baada ya DAS huyo aitwayo Jacob Rombo alipomaliza masomo yale familia hiyo...
  4. Stephano Mgendanyi

    Bashungwa Aagiza Mkandarasi Aliyedhulumu Mfanyabiashara Atafutwe na Kuchukuliwa Hatua

    BASHUNGWA AAGIZA MKANDARASI ALIYEDHULUMU MFANYABIASHARA ATAFUTWE NA KUCHUKULIWA HATUA. Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa (Mb) amemuagiza Msajili wa Bodi ya Usajili wa Makandarasi (CRB) kumtafuta na kumchukulia hatua za kisheria Mkandarasi Mohammed Ally wa Kampuni ya Sure Civil and Building...
  5. Roving Journalist

    Bashungwa: Mameneja wa TANROADS wasiosimamia miradi kikamilifu kuanza kuchukuliwa hatua

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuagiza Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara (TANROADS), kuwachukulia hatua Mameneja wa Mikoa wanaoshindwa kusimamia usanifu wa kina na ujenzi wa barabara na madaraja kwa viwango na kupelekea miumbombinu kuharibika ndani ya muda mfupi. Bashungwa ametoa...
  6. P

    Wanaosoma magazeti kwa mbwembwe kuchukuliwa hatua

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema itawachukulia hatua baadhi ya watangazaji wanaosoma magazeti kwa mbwembwe huku wakiongezea baadhi ya vitu wakati wa usomaji. Hayo yameelezwa na Meneja Huduma za Utangazaji, Andrew Kisaka katika mkutano wa mwaka wa vyombo vya utangazaji nchini...
  7. M

    TCRA: Vyombo vya habari vinavyochanganya lugha kuchukuliwa hatua, ‘kuna haja ya kukiita kipindi Goodmorning?’

    Meneja huduma za Utangazaji, TCRA, Mhandisi Andrew Kisaka amesema kuwa tabia ya vyombo vya habari kuruhusu watangazaji kuchanganya lugha kwenye vipindi vyao ni kosa kisheria na watachukuliwa hatua. 📹 TheChanzo Written by Mjanja M1 ✍️
  8. M

    Watangazaji wanaosoma magazeti kwa mbwembwe kuchukuliwa hatua

    Meneja huduma za Utangazaji, TCRA, Mhandisi Andrew Kisaka, amesema kuwa watangazaji wote wanaosoma Habari kwa Mbwembwe na kuongeza chumvi kwenye habari wanazosoma watachukuliwa hatua. 📹 TheChanzo Written by Mjanja M1 ✍️
  9. Papaa Mobimba

    Kagera: Serikali yaagiza Mkandarasi anayejenga Barabara ya Kanyinabushwa kuchukuliwa hatua

    Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi imeagiza Mkandarasi anayejenga Barabara ya Kanyinabushwa hadi Mbale A Wilayani Misenyi achukuliwe hatua baada ya kujenga Makaravati bila kuzingatia Viwnago Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amezitaka Bodi za Usajili ya Wahandisi (ERB) na Bodi ya Usajili ya...
  10. BARD AI

    Aliyekuwa Mkurugenzi wa Sumbawanga kuchukuliwa hatua

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, (Tamisemi) Mohamed Mchengerwa ameiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kuwachukulia hatua watumishi wote waliobainika kusababisha changamoto kwenye miradi inayotekelezwa Sumbawanga akiwemo aliyekuwa Mkurugenzi wa manispaa hiyo Jacob Mtalitinya...
  11. R

    Kamati kuu CHADEMA wataka wote walioingiza nchi katika mkataba huu mbovu kuchukuliwa hatua

    akisoma maazimio hayo leo 14/7/2023 katika mkutano wa CHADEMA na Waandishi wa Habari juu ya maamuzi yaliyofikiwa na Kamati Kuu kuhusu Mkataba wa Bandari amesema, Kamati Kuu ya CHADEMA imeazimia serikali kuwachukulia hatua wote walioigiza nchi hii kwenye mkataba mbovu ambao haurekebishiki...
  12. BARD AI

    Waandaaji wa Tamasha la Boyz II Men kuchukuliwa hatua kutokana na show mbovu

    Shirikisho la Watumiji Huduma la Kenya (COFEK) limetangaza kuchukua uamuzi baada ya kupokea malalamiko ya mashabiki walioonesha kutoridhishwa na kiwango cha tamasha hilo linalotajwa kukumbwa na hali ya mvua pamoja na sauti mbovu ya muziki. Baadhi ya Mashabiki wametaka kuombwa radhi na waandaaji...
  13. INSIDER MAN

    EFM yatangaza kumchukulia hatua Hando, yadai maoni yake kuhusu Serikali kukopa si msimamo wa taasisi

    Kiukweli nimeshangaa sana ni nini kimemtuma Majizzo kuomba msamaha kwenye public? Kuna jambo lolote baya kutoka kwa Hando? Maana yeye alisema binafsi hafurahishwi na serikali kukopa kopa kama raia wa nchi ana haki ya kuishauri serikali na kutoa dukuduku lake kama katiba inavyosema. Kwani Hando...
  14. Dr Msaka Habari

    Makamishna wa ardhi wasaidizi kuanza kuchukuliwa hatua za kinidhamu

    Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Nyumba na Makazi ametakiwa kuhakikisha anachukua hatua ya kinidhamu mara moja kwa Makamishina wasaidizi wa ardhi Mikoa ambao wanafanya kazi kwa mazoea na wameshindwa kukidhi matarajio ya Wizara. Maagizo hayo yametolewa na Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya...
  15. B

    Kwanini baadhi ya wana CCM wanaamini Watanzania wanotaka Katiba Mpya Sasa wanapaswa kukamatwa na kuchukuliwa hatua Kali za kisheria?

    Wana CCM wengi wanaungana na Mhe. Rais kwamba Katiba Mpya inapswa kusubiri Hadi baada ya uchaguzi 2025. Wengi wanaamini mtu anayesema Katiba Mpya ni Sasa ni SAWA na wahalifu wanaopaswa kufungwa jela au kufanywa chochote kibaya. Baadhi ya waumini wa msimamo huu ni viongozi wakuu na hivyo...
  16. B

    Waliompiga picha na kuzisambaza binti anayehusishwa na chupa ya soda wanafaa kuchukuliwa hatua

    Nalaani kitendo kilichofanywa na askari wa Jeshi la Polisi kumwita mtuhumiwa ofisini kwao nakumkalisha chini Kisha kumpiga picha nakuzisambaza. Hii siyo sahihi kabisa, sidhani kama watoto wao wanapotuhumiwa au watoto wa viongozi wanapokengeuka tunawafanyia hivi. Lakini jambo la pili huyu mtoto...
  17. S

    Siungi mkono Serikali kuwatafutia maeneo wamachinga. Hawa ni wahalifu walipaswa kuchukuliwa hatua

    Kwanni serikali imeamua kubeba mzigo wa kuwatafutia maeneo wamachinga? Hawa wanaojiita wamachinga ni wahalifu maana wamekiuka Sheria na taratibu mbalimbali za nchi kwa kuamua kujenga mabanda barabarani ama kupanga bidhaa mbele ya maduka ya wafanyabiashara. Nilitegemea watu hawa, mmoja mmoja...
  18. Nyendo

    DC Singida: Wasiopeleka watoto wa kike shule tutawachukulia hatua

    Mkuu wa Wilaya ya Singida Mhandisi Paskas Muragili amesema wazazi wote ambao hawatawapeleka watoto wa kike shule watachukuliwa hatua. Akizungumza kwenye hafla ya kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Kike Duniani yaliyofanyika kiwilaya katika mji mdogo wa Ilongero wilayani Singida, amesema...
Back
Top Bottom