Naomba niweke wazi hili mapema. Nahitaji mwanamke ambaye atakuwa mchumba wangu kwa miezi minne. Mi nakuja Tz mwezi wa 10 katikati. So hapo tutaonana live.
Nitakuwepo Tz mpaka mwisho wa January so nataka mwanamke ambaye nikishamwoa tu awe tayari nisafiri naye. Mimi makazi yangu ni Egypt, China...
Ndani ya mwezi huu huu, muwe mmeshatangaza kupata mkandarasi wa kuanza kujenga hizi kilomita 11 za awali ambazo zitaziba hili pengo kuanzia hapa mpaka kwenye lami na kupita kidogo mji wa Ilongero-Waziri Mkuu Dkt.Mwigulu Nchemba.
📍Ilongero-Singida
🗓️Septemba 06, 2026
——————-
Amesema hayo...
Je,
utachangia bila kujulishwa ile tone tone ya milioni mia 334 iliishaje, zilikusanywa kiasi gani cha pesa na zimeishaje?
Unadhani ni kwanini tangu kuanzishwa kwa kampeni za chadema za kuchangisha pesa kwa tone tone, hakuna hata kampeni moja iliyowahi kufanikiwa na kutimiza lengo,
unadhani...
Katika eneo la Gongo la Mboto, kituo cha magari yanayoenda mjini kinachoitwa Maliasili, kuna yard ya magari ya mwendo kasi. Kumekuwa na tatizo la maji ya DAWASA kuvuja na kutiririka katika eneo hilo.
Maji hayo yameendelea kutiririka kwa takribani mwezi mmoja, huku yakielekea hadi eneo la...
Tunaomba wahusika wanaosimamia malipo ya vibarua katika Jiji la Tanga watulipe fedha za kazi tulizofanya katika kipindi cha Julai na Agosti.
Tunaishi kwa ugumu kutokana na gharama kubwa za maisha, huku madeni yakizidi kutuelemea. Haya ndiyo malipo tunayoyategemea kwa ajili ya kuendesha maisha...
Mimi pia nilikuwa mfanyakazi wa Jambo Group of Companies, hivyo haya ninayoyaeleza siyo taarifa ambazo nimezisikia tu kutoka kwa watu wengine, bali ni mambo ambayo nimeyaona, nimeyapitia na nimefanya kazi katika mazingira hayo mwenyewe. Hadi sasa mimi mwenyewe ni mdaiwa wa kampuni kutokana na...
Anonymous (694e)
Thread
changamoto
group
hela
jambo
kujikimu
mpwapwa
mpya
mwezi
shinyanga
unyonyaji
wafanyakazi
walimu
wilaya
🏠
💼 FURSA ADIMU KWA WAWEKEZAJI!
Unatafuta property ambayo inaleta kipato kila mwezi? Hii ni fursa ya kipekee Mabibo Mwisho, eneo lenye wanafunzi wengi na biashara kubwa.
📐 Kiwanja: 300 SQM
🏠 Vyumba 4 vikubwa vyenye deka (slab), vimegawanywa kwa ajili ya wanafunzi 38 na tayari vinafanya kazi...
Natafuta partner nitashirikiana nae kwa ajili ya mradi wa kidigitali ambao tayari upande wa technology umekamilika 90%.
Sitaki kuweka details za biashara yenyewe public kwa sababu za kulinda concept na strategy yake.
Ninachotafuta ni partner mwenye uwezo wa kufadhili na kusimamia upande wa...
TANZIA
Kwaya ya AICT Nyarugusu, wanasikitika kutangaza kifo cha Mwl Buluba James (1997-2026)
Mwl Buluba alipotea tangu mwisho wa Mwezi June 2026 alipoiaga familia yake kuwa anaelekea Mkoani Morogoro kununua Kinanda(used) kwa watu aliokubaliana nao. Kinanda hiki kilikuwa ni sehemu ya...
Licha ya kuwa wafanyakazi wanaopelekeshwa na kufanya kazi katika Mazingira magumu, wafanyakazi wa Mikataba wa Manispaa ya Temeke tumekuwa tukicheleweshewa mishahara yetu hadi miezi inapinduka.
Watumishi wa mikataba Manispaa ya Temeke ni mojawapo ya kundi tunalofanya kazi katika Mazingira magumu...
Anonymous
Thread
hawajalipwa
miezi
miezi miwili
mishahara
mkataba
mshahara
mwezi
temeke
watumishi
Wanaojitolea serikalini (interns) tunaombwa walipwe posho zao za mwezi na za kazi nje ya ofisi kwa wakati. Hasa Taasisi za Wizara ya Utalii na Maliasili naongelea zaidi Tanzania Tourist Board (TTB) na Tanzania National Parks Authority (TANAPA).
Wanacheleweshewa sana hivyo kupelekea kuishi...
Anonymous
Thread
interns
kazi
malipo
mwezi
nje
ofisi
posho
serikalini
tanapa
ttb
wakati
walipwe
wanaojitolea serikalini
Ni takribani mwezi na nusu sasa kumetokea changamoto ya upatikanaji wa maji katika Manispaa ya Musoma.
Mwanzoni tuliambiwa tatizo lilisababishwa na upungufu wa umeme kwenye pampu za kusukuma maji. Hata hivyo, TANESCO Mkoa ilikanusha taarifa hiyo, ikisema hakuna upungufu wowote wa umeme katika...
Anonymous
Thread
maji
manispaa
mmoja
musoma
mwezimwezi mmoja
shida
shida ya maji
zaidi ya
Najua inaweza kuwa oversight, akapitiwa, lakini kwenye kitu sensitive kama hiki ku determine RIGHTS za watu hapashwi kufanya kosa hili!, kupitiwa. Ya ndani tusiyoyaona yakoje?
Anapoandika proceedings anaandika vitu gani? vina reflect wanachokisema parties and their witnesses correctly? This is...
Tarehe 23 mwezi huu wa 8 ni Jumapili, kwa hiyo tuseme mishahara italipwa baada ya tar 23, nini kinaendelea. Je haiwezekani kulipwa ndani ya muda wa kazi kabla ya tar 23? Au ndio tuelewe pesa za mabeberu zimeleta uhaba wa fedha kwenye mfuko. mliopata. Nimepita benki za NMB watu wamekaa nje...
Baada ya Mdau kuanzisha hoja hii - MWAUWASA imekuwa jipu lisilotumbulika, Nyamagana - Mwanza ni mwezi sasa hatuna maji ufafanuzi umetolewa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) kuhusu hoja hiyo:
MAJIBU YA MWAUWASA...
Habari mdau wetu, pole kwa changamoto iliyojitokeza...
Zaidi ya miezi sita imepita tangu Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo itoe taarifa kwamba inafanyia kazi changamoto ya vyoo vilivyopo katika stendi ya mawasiliano, pembezoni mwa Soko la Maindi.
Nasikitika kusema kwamba hakuna kilichoendelea hadi sasa. Vyoo hivyo bado havifanyi kazi na kwa sasa...
Anonymous
Thread
bado
kazi
mawasiliano
mwezi
simu 2000
soko
stendi
stendi mawasiliano
ubungo
vyoo
Kwasababu,
mpaka sasa uhakika wa makamu mwenyekiti wa chadema taifa John Heche kuvuliwa nyadhifa zote za uongozi ndani ya chadema taifa na Baraza kuu la chadema taifa September 15 ni 100%.
Pendekezo la azimio la kumbanudua John Heche madarakani linaungwa mkono na asilimia kubwa ya wajumbe wa...
Madereva tuli itikia wito wa serikali wa kututaka turudi darasani kupata elimu ya usalama bara barani lakini shida inakuja kwamba sisi tumesoma intake ya 9 kuanzia tar 18 mwezi wa tano mpaka leo hii hatujapata vyeti.
Mabosi wamewapa magari yetu watu wengine, tuna familia, tunategemewa jamani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.