The video assistant referee (VAR) is a match official in association football who assists the referee by reviewing decisions using video footage and providing advice to the referee based on those reviews.
The assistant video assistant referee (AVAR) is a match official appointed to assist the VAR in the video operation room and around the pitch. There are 3 AVARs (AVAR1, AVAR2, and AVAR3) that are assigned to different parts of the game that they are charged with reviewing, and are in consistent communication with the VAR about possible situations that might warrant further review. The job of the AVAR1 is to watch the main camera and communicate some of the more obvious offenses within the game. The AVAR2 is located at the offside station and are responsible for assisting the VAR with offsides and reporting possible missed offside calls. The AVAR3 is responsible for monitoring the TV programs and assists in communication between the AVAR2 and the VAR since the AVAR2 is at the offside station.
Binadamu tu viumbe wa wababaifu sana na tuliyojaa unafiki uliopitiliza..
Leo hii kuna watu wanailalamikia Chama Tawala na Tume yake Huru ya Uchaguzi, kwa kile ambacho kiuhalisia kilikuwa dhahiri shairi machoni pa wote wenye kuona na kufahamu jema na baya..
Lakini katika hao watu wanaulalamikia...
Karia maneno yamekuwa mengi sana embu fanyeni kweli basi maana kuna kitimu kimesema wamekosa ubingwa kwa sababu ya waamuzi
================
RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia, amesema shirikisho lina mpango wa kuanzisha mfumo wa Video Support (VS) ili kuwasaidia...
"Kama goli hilo la Ujerumani limekataliwa na VAR, basi Arsenal isingetakiwa kutwaa ubingwa wa England (Premier League). Asilimia 60 ya magoli waliyofunga yalikuwa ya aina hiyo.”
Juni 30, 2026
Jurgen Klopp
'A joke' - how a 'terrible' VAR disallowed goal cost Germany
Germany thought their...
cha kushangaa ili ionekane ni offside anaonyenyeshwa mwenye jezi no. 9 wakati kule mwisho kuna mchezaji mwingine wa Misri. Jamani hii offside kivipi au mimi ndio sioni au sijui?
Wachambuzi karibuni mnieleweshe hapa mana tutakesha.
Nashukuru sana naona media kubwa imeona kama nilivyoona mimi...
Mshkaji alisherehekea bao la kwanza kwa mbwembwe nyingi akimbia uwanja mzima wakati demu anadai "VAR" iangaliwe kwa sababu bao lilikuwa la "offside" maana kwa lilidumu sekunde chache tu.. au mchezaji alikuwa amezidiwa kasi.
VAR ikasema hilo "Bao la Mapema" ni sawa na timu kufunga ndani ya...
Shirikisho la soka barani Afrika (CAF), limetoa orodha ya Waamuzi wa Afrika na Maafisa wa VAR waliochaguliwa kuchezesha Kombe la Dunia la FIFA 2026, huku maafisa kadhaa wenye uzoefu wakipata fursa ya kuwakilisha bara kwenye Mashindano makubwa zaidi ya Kandanda.
Michuano hiyo ya Kombe la Dunia...
GT
Huyo dada na genge lake naona bado hawajatosheka na uhuni wao. Cha kusikitisha media kama ITV inashadadia upumbavu kama huu.
Kwa nini nasema hajapigwa.
1. Kwa kawaida kama sehemu ya jicho imepigwa ikavujilia adamu automatically hata jicho lake la kushoto lingeathirika. Huu ni mkorogo.
2...
Wakuu,
Wakatoliki feki wazidi kuumbuka.
Huyu dada kama mlivyomsikia hapo kwenye video ni anaitwa Lucy Mikaeli, huyu ni Katibu wa UVCCM huko Yombo Dovya.
Hivi mlishindwa kabisa kuchukua watu wenye weledi waje kuwasemea?
Mtu ambaye hata alishindwa kutamka neno PETITION akasema PETROL STATION...
Hizi nchi za Afrika Mashariki ziache kulazimisha ubingwa kwa njia za panya.
Katika mechi ya Uganda vs South Africa, goli la kwanza la Uganda lilikuwa clear offside. Inakuwaje mshika kibendera hadi wasaidizi wa VAR waliruhusu lile goli? Katika zama hizi za VAR, kukubali goli kama lile ni...
Mpira wa Africa una figisu sana. Inashangaza sana kuna wenzetu wanaunga mkono figisu inazofanyiwa Simba au wanatoa vimaneno pale Simba inapofanya kila inachoweza kupata ushindi, hawajui kuna siku kwa unyonge wetu na timu zao zinaweza kuja kuwa wahanga na kuwa harakati za Simba zinafungua njia...
Mimi ni Simba SC damu damu ila labda tu uwe ni Mpumbavu, Mshamba na huujui Mpira na wala hujaucheza pia ndiyo yo utaweza Kukataa kuwa yale Matukio yote Makubwa mawili yaliyopelekea Mwamuzi kutumia VAR kuyaamua yalikuwa ni sahihi ila ni BAHATI tu na NYOTA ya Siku ndiyo viliibeba Simba SC yetu...
RS Berkane wamepata penati ya kijinga, Asec wamegoma katakata hadi refa akacheki kwenye VAR, hili ni fundisho kubwa kwetu kuelekea mechi na waafrika kusini
I will be short.
tulisema tutaelewana tu with time,
juzi tu hapa alisema games za community shield VAR inaweza kutumika.
leo kuna game ya community shield VAR iko wapi?
incompetence tu. nothing to show for it.
karia should change or leave.
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia amesema hakutakuwa na matumizi ya VAR kwenye msimu huu wa Ligi Kuu mpaka kutakapokuwa na uhakika wa kutosheleza mechi zote kutumia VAR.
Amesema VAR inaweza ikatumika katika mashindano yanayojumuisha mechi chache kama vile Ngao...
Wakuu,
Leo VAR imeanza kutumika huko Mauritania kwenye ligi yao
Sisi huku licha ya uzinduzi kufanyika na ligi kuanza
TFF wanasingizia vibali kutoka CAF na FIFA.
Huu ni utapeli wa mchana kweupe.
Tutegemee maumivu zaidi mpaka msimu unaisha
==================
UPDATES
Tumepigwa...
Habari ndiyo hiyo wakuu mliopo Dar es salaama vipi mambo tayari ama Bado?
Uzi tayari.
Katika nyakati tofauti kwa mwaka huu tuliambiwa na TFF kuwa VAR itaanza kutumika kwenye michezo ya ligi kuu ya NBC katika baadhi ya viwanja vitakavyokidhi vigezo. Lakini ligi imeanza tunakwenda mzunguko wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.