kenya

  1. T

    AFCON 2027: Tanzania, Kenya na Uganda kuwa wenyeji

    Zaweza kuwa ni nchi zitakazofanikisha sana mashindano haya. CAF wasione haya wayalete tu huku kwenye mzuka wa mpira. Ufunguzi iwe Tanzania na ufungaji pia iwe Tanzania. Dua zenu tafadhari. ===== Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Afrika (CAF) limepitisha ombi la pamoja la nchi za Kenya...
  2. L

    Michezo inaleta uhai kwa maendeleo ya vijijini China na Kenya

    Michezo ya 19 ya Asia ilifunguliwa tarehe 23 mjini Hangzhou, China. Katika miaka 15 iliyopita, toka Michezo ya Olimpiki ya Beijing, Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing hadi Michezo ya Asia ya Hangzhou inayoendelea sasa, China imekuwa mwenyeji wa michezo kadhaa muhimu ya kimataifa...
  3. L

    Rais Samia ameliheshimisha Taifa na Watanzania nchini Kenya

    Ndugu zangu Watanzania, Leo Rais wetu mpendwa jasiri muongoza njia ,shujaa wa Afrika,Nuru ya wanyonge, Taa ya Taifa,mboni ya nchi,komandoo imara,Jasusi aliyetukuka ,Simba wa Vita ,mama Wa shoka,Mwamba wa Afrika,mtetezi wa waafrika na sauti ya Afrika mama Samia Suluhu Hasssan ametupatia heshima...
  4. R

    Mdude: Tunaipa Serikali siku 30 wafute mkataba

    Mdude ametoa tamko hilo rasmi katika mkutano unaoendelea wakati huu tarehe 5/9/2023 akiwa na kina Dr. Slaa, Mwabukusi na Joseph Mbatia, akiongeza wakati wanasubiri hizo siku 30 wanaenda kwenye mikutano ya hadhara kuwaandaa Watanzania kufanya maandamanao nchi nzima. Maandamano yatakayokuwa ya...
  5. Rais Samia na Viongozi wa Taasisi za Kimataifa wakishiriki kwenye Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi Afrika Nchini Kenya

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akihutubia kwenye Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi Barani Afrika (Africa Climate Summit 2023) Nairobi- Kenya tarehe 05 Septemba, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa na Wakuu wa Nchi na Serikali...
  6. Kenya kuanza kuzalisha unga lishe wa ugali (blended flour) ili wasiagize mahindi. Waziri Bashe umejipangaje kwa kupoteza soko?

    Kenya inasema kuanzia mwezi Septemba mwaka huu wa 2023 itapitisha sheria kwamba Wazalishaji wa Unga wa mahindi Kwa Ajili ya ugali Waanze Kuzalisha Unga Lishe Kwa Kuchanganya mahindi na mtama, mihogo, miavi nk. Lengo la sheria hiyo ni 1. Kuziba gap la upungufu wa magunia mil.12 ambayo Wanaagiza...
  7. Kenya: Bunge laambiwa kuna Wananchi wamepata shida za Kiafya baada ya kuchukuliwa Taarifa Binafsi na Worldcoin

    Ni taarifa kutoka kwa Mbunge wa Kisumu Mashariki, Shakeel Shabbir ambaye amelieleza Bunge kuwa amepokea Malalamiko ya Wananchi 5 waliodai kupata shida za Kiafya ikiwemo maumivu ya Macho. Akijibu hoja hiyo, Waziri wa Afya, Susan Nakhumicha amekiri Kifaa hicho hakikufanyiwa majaribio ya uchunguzi...
  8. Kenya: Kukatika kwa umeme, Bosi wa Viwanja vya Ndege afukuzwa kazi

    Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Nchini Kenya amefutwa kazi baada ya kukatika kwa umeme na kuwaacha abiria wakiwa gizani kwa saa kadhaa katika Uwanja Mkuu wa Ndege wa Nairobi. Alex Gitari alifutwa kazi na Waziri wa Uchukuzi Kipchumba Murkomen, ambaye ameomba radhi kwa changamoto hiyo...
  9. Umeme haujakatika Tanzania tu siku ya leo 26/08/2022 hata kenya umekatika, ushahidi huu hapa.

    Hii ni coincidence au hii kitu ilipangwa sitaki kufikiria negative ila ukweli ndio uwo. Taarifa hizi nimezipata toka mtandao wa reddit r/kenya
  10. Khaligraph Jones vs Tanzania rappers, Je Khaligraph atawaweza Wabongo?

    Jana imesambaa Video ya kalighlaf akijisifia kuwa hakuna rapper yeyote BONGO TZ anaemuweza ku rap "Labda maneno ya wahenga masikini akipata mato.." Kalighlaf BONGO amekuwa introduced na NIKKI MBISHI baada ya Nikki kumshinda Kali kwenye FREESTYLE EAST AFRICA BATTLE Ndiyo wakafanya na ngoma ya...
  11. Niandae bajeti ya shilingi ngapi ili kutembea Kenya?

    Habari wanajamii, Nilikuwa naomba mnipe mchanganuo wa pesa ili niandae nikatembee Kenya, nina mpango wa kukaa wiki moja, siku nne Mombasa, siku tatu Nairobi. Mchanganuo ujumuishe: -Pesa ya usafiri (Dar-Mombasa-Nairobi-Arusha-Dar) -Malazi (nimejaribu kuangalia mtandaoni kuna cheap hotel mpaka...
  12. Msaada wale mliowahi kuagiza/mnaoagiza spare parts Dubai na Kenya.

    Guys nahitaji kuagiza spare parts Dubai bila kwenda Dubai. Kama kuna mtu anaweza kunipa muongozo. Kwa Dubai., 1. Wapi mnanunua spareparts hasa kwa gari za Kijerumani? 2. Mnatumia kampuni zipi za usafiri kwa njia ya maji na anga? Pia kwa Upande wa Kenya, Mnanunua spare parts wapi, na...
  13. Mamlaka yafuta makanisa matano Kenya

    Mamlaka nchini Kenya zimeyafuta Makanisa matano likiwemo kanisa la Mshukiwa aliyewachochea zaidi ya Waumini wake 400 kufunga hadi kufa. Msajili wa Mashirika nchini humo katika notisi iliyowekwa kwenye gazeti la Taifa amesema leseni ya Muhubiri Paul Nthenge Mackenzie wa kanisa la Good News...
  14. Kenya yavunja rekodi ya deni la Taifa mpaka kuvunja sheria, Tanzania tumejipangaje?

    Utawala wa William Ruto umeshutumiwa kutokana na mwenendo deni la Taifa nchini Kenya huku akiwa ndiye Rais aliekopa pesa nyingi zaidi ndani ya mwaka mmoja tangu Taifa la Kenya liumbwe. Deni hilo limeongezeka kwa $ bilioni 10.8 kufikia $ bilioni 70.75 kulingana na takwimu zilizotolewa Jumanne...
  15. Kenya kuondoa Visa kwa wageni inaweza kuwa na athari gani kwa usalama wa majirani zake?

    Je, Kenya imeweza kutambua kwamba suala hili linaweza kuwa na matokeo tofauti kulingana na walafi wa rasilimali za Afrika na jinsi sera hiyo inavyotekelezwa na serikali inavyoshughulikia masuala ya usalama wa mipaka? Je, Kenya imejiridhisha juu ya Kuingia kwa watu wanaotaka kufanya...
  16. Jeshi la Kenya laanza kufuatilia mienendo ya makanali wake

    Jeshi la Kenya (KDF) linafana juu chini kuhakikisha kila Askari mwenye cheo Cha kanali hawezi kupiga chafya bila rais na amir Jeshi mkuu wa nchi hiyo kupewa taarifa. Sababu kubwa ya rais kuongeza umakini huo ni baada ya mapinduzi kadhaa yaliyotokea Afrika magharibi mengi yao yaliongozwa na...
  17. W

    KWELI Julius Malema atuma ujumbe kwa Odinga unaomtaka aache maandamano na kuvuruga amani ya Kenya

    Kiongozi mkuu wa Chama cha EFF amemtaka Raila Odinga kuacha maandamano na kukubali kuwa alishindwa. Amesema pia aache kuvuruga amani nchini Kenya kwani Rais Ruto alipita kwa haki. Julius Malema akihutubia kwenye maadhimisho ya miaka 10 ya EFF
  18. Kwanini Maandamno ya upinzani Nchini Kenya yanazaa matunda mpaka Serikali inasalim amri tofauti na hapa Tanzania?

    President William Ruto alikiwa mbishi zaidi ya watangulizi wake,but naona mwishowe amenyanyua mikono na ameamua kwenda kwenye mazungumzo. Mwezi wa 7 mwishoni katika maandamano yaliyoongozwa na mzee Odinga,Walifariki zaidi ya 30 na watu zaidi ya 300 walishirikiwa na polisi.lakini jitihada zao...
  19. Watu 7,000 wa Jamii ya Pemba wapewa Uraia wa Kenya

    Rais wa Kenya, William Ruto amewapa uraia wa nchi na vyeti vya kuzaliwa watu wa jamii ya Pemba takribani 7000 waliohamia Kenya takribani Miaka 100 iliyopita wakitokea visiwani Zanzibar. Jamii hiyo ilikuwa ikiishi Kenya kwa miaka yote bila ya kuwa na uraia kabla ya Rais Ruto kuamua jambo hilo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…