Rais Samia ameliheshimisha Taifa na Watanzania nchini Kenya

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
15,298
9,727
Ndugu zangu Watanzania,

Leo Rais wetu mpendwa jasiri muongoza njia ,shujaa wa Afrika,Nuru ya wanyonge, Taa ya Taifa,mboni ya nchi,komandoo imara,Jasusi aliyetukuka ,Simba wa Vita ,mama Wa shoka,Mwamba wa Afrika,mtetezi wa waafrika na sauti ya Afrika mama Samia Suluhu Hasssan ametupatia heshima ya kipekee sana huko nchini Kenya, Ameliheshimisha Taifa letu, ametufanya tutembee kifua mbele na tujivunie utanzania wetu.

Rais samia ameonyesha umuhimu wa kuwa na Rais mwenye akili kubwa,maono makubwa,akili ya uongozi ,utulivu na busara za kiuongozi na upeo mkubwa. Rais samia ameonyesha namna anavyoifahamu nchi yake,ameonyesha namna kila kitu kinachofanyika nchini kipo mkononi mwake,Ameonyesha namna alivyomfuatiliaji wa mambo mbalimbali yanayofanyika nchini ,ameonyesha namna alivyo na mipango imara na madhubuti katika kuwainua vijana kiuchumi.

Akitoa hotuba yake na baadaye kuulizwa maswali ,ameonyesha utulivu na uhodari wa hali juu sana katika kuelezea na kujibu maswali aliyoulizwa mpaka kufikia hatua ukumbi ukawa muda wote unaripuka kwa shangwe,makofi na tabasamu la hali ya juu sana,ametoa hotuba ya kihistoria ikionyesha umuhimu wa serikali kuwekeza fedha ,mipango na mikakati katika kuwainua vijana,ameeleza namna serikali yake ilivyofanya katika kutoa maelfu ya ajira na mikakati yake kwa siku za usoni,ameonyesha namna anavyowawezesha vijana kimtaji na kuwasaidia kusonga mbele.

Ame elezea umuhimu wa serikali kukipa thamani kilimo na kuwekeza vya kutosha ili kuwavutia vijana katika kilimo.Ame elezea kwa kina na kwa ufasaha suala la BBT yaani juu ya kujenga Kesho iliyo bora kwa vijana kupitia kilimo cha kisasa kwa kutumia teknolojia ya kisasa kuanzia hatua za maandalizi ya mashamba mpaka wakati wa uvunaji,ikiwepo kupima afya ya udongo,matumizi ya mbolea na mbegu nzuri kulingana na eneo husika ,umwagiliaji wa kitaalamu pamoja na uhifadhi wa mazao kwa njia ya kisasa.

Ameelezea mipango ya serikali ya kuwaunganisha na masoko na kuwaondoa wanyonyaji ambao huenda moja kwa moja kwa mkulima,ameelezea uboreshaji wa miundombinu ili mazao yaweze kufika sokoni pasipo shida .ameelezea habari za uchumi wa blue yaani uchumi wa bahari na maziwa ikiwepo uvuvi, usafirishaji,utalii na mambo mengine mengi.

Leo Rais Samia amedhihirisha kwanini watanzania wanamhitaji kwa hali na mali ili aendelee kuwaongoza na kuwatumikia mpaka 2030,ameonyesha uwezo wake mkubwa alio nao kiuongozi. Ametuonyesha umuhimu wa kuchagua viongozi wakuu kwa umakini mkubwa sana ili watupatie heshima kimataifa na siyo kututia aibu kama Taifa na kuonekana wote ni wajinga na tusio na Elimu wala uelewa wa kitu chochote kile.

Imefikia hatua binti mmoja kwa hisia kali sana ameelezea furaha yake ya kuonana ana kwa ana na Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania ,maana muda wote alikuwa anamuona kupitia Tv lakini leo ameandika historia isiyosahaulika au kufutika kuonana na Rais bora kabisa barani Afrika na anayeheshimika sana Na wananchi wengi barani Afrika.

Ndugu zangu Watanzania tusije ipoteza hii Tunu na zawadi ya kipekee tuliyopewa na kuinuliwa na mwenyezi Mungu,tunaona namna Rais wetu anavyopendwa na majirani mpaka wanatamani asimalize au kuacha kuzungumza. Tuendelee kumbeba na kumuunga mkono Samia wetu na mama yetu anayetupenda na kutujali sana watanzania,tumeona namna alivyo na mipango mizuri kwetu na alivyo msikivu kwetu watanzania.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
 
Polisi wamekataza mikutano yetu ya hadhara Ngorongoro. Juzi Serikali ya Samia imekataza wabunge wa Ulaya kutembelea eneo hilo. Wanaficha kitu gani? Licha ya jitihada za Serikali, Ngorongoro sio gereza & Wamaasai sio wafungwa wa gereza hilo. Sisi tutakuwa Ngorongoro kuanzia kesho!
 
Fuata taratibu na siyo unakurupuka tu kama kunguru.
 
Tunapenda kukufahamisha kuwa barua yako tajwa tumeipokea ikiwa na maudhui ya kufanya vikao vya ndani na mikutano ya hadhara maeneo ya kata 3 zizopo tarafa ya Loliondo na kata 3 zilizopo tarafa ya Ngorongoro.

Hata hivyo tarafa ya Ngorongoro ni eneo la Hifadhi ya Mamlaka ya Ngorongoro na kwamba kuingia na kutoka eneo hilo ni sharti kufuata taratibu zinazosimamia eneo hilo (kupata kiball kutoka Mamlaka ya Ngorongoro).

Aidha kwa upande wa tarafa ya Loliondo kulingana na tarifa mbaimbali tulizo nazo haziruhusu kufanya shughuli za kisiasa hasa mikutano ya hadhara.

Kutokana na sababu hizo hapo juu, tunaelekeza kwamba usitishe mikutano hiyo kwa sasa hadi wakati mwingine ambao utakuwa mwafaka kwa ustawi wa amani na utulivu wa wilaya yetu.
 
Fuata taratibu na siyo unakurupuka tu kama kunguru.
Hii ndio mnaficha huko mnafiki wewe!
VID-20230823-WA0008_1.gif
 
Attachments

  • e69e60130df489cd82b5f528d16e2ead.webp.jpg
    e69e60130df489cd82b5f528d16e2ead.webp.jpg
    16.2 KB · Views: 4
Ndugu zangu Watanzania,

Leo Rais wetu mpendwa jasiri muongoza njia ,shujaa wa Afrika,Nuru ya wanyonge, Taa ya Taifa,mboni ya nchi,komandoo imara,Jasusi aliyetukuka ,Simba wa Vita ,mama Wa shoka,Mwamba wa Afrika,mtetezi wa waafrika na sauti ya Afrika mama Samia Suluhu Hasssan ametupatia heshima ya kipekee sana huko nchini Kenya, Ameliheshimisha Taifa letu, ametufaya tutembee kifua mbele na ametufaya tujivunie utanzania wetu.

Rais samia ameonyesha umuhimu wa kuwa na Rais mwenye akili kubwa,maono makubwa,akili ya uongozi ,utulivu na busara za kiuongozi na upeo mkubwa. Rais samia ameonyesha namna anavyoifahamu nchi yake,ameonyesha namna kila kitu kinachofanyika nchini kipo mkononi mwake,Ameonyesha namna alivyomfuatiliaji wa mambo mbalimbali yanayofanyika nchini ,ameonyesha namna alivyo na mipango imara na madhubuti katika kuwainua vijana kiuchumi.

Akitoa hotuba yake na baadaye kuulizwa maswali ,ameonyesha utulivu na uhodari wa hali juu sana katika kuelezea na kujibu maswali aliyoulizwa mpaka kufikia hatua ukumbi ukawa muda wote unaripuka kwa shangwe,makofi na tabasamu la hali ya juu sana,ametoa hotuba ya kihistoria ikionyesha umuhimu wa serikali kuwekeza fedha ,mipango na mikakati katika kuwainua vijana,ameeleza namna serikali yake ilivyofanya katika kutoa maelfu ya ajira na mikakati yake kwa siku za usoni,ameonyesha namna anavyowawezesha vijana kimtaji na kuwasaidia kusonga mbele.

Ameelezea umuhimu wa serikali kukipa thamani kilimo na kuwekeza vya kutosha ili kuwavutia vijana katika kilimo.Ameelezea kwa kina na kwa ufasaha suala la BBT yaani juu ya kujenga Kesho iliyo bora kwa vijana kupitia kilimo cha kisasa kwa kutumia teknolojia ya kisasa kuanzia hatua za maandalizi ya mashamba mpaka wakati wa uvunaji,ikiwepo kupima afya ya udongo,matumizi ya mbolea na mbegu nzuri kulingana na eneo husika ,umwagiliaji wa kitaalamu pamoja na uhifadhi wa mazao kwa njia ya kisasa.

Ameelezea mipango ya serikali ya kuwaunganisha na masoko na kuwaondoa wanyonyaji ambao huenda moja kwa moja kwa mkulima,ameelezea uboreshaji wa miundombinu ili mazao yaweze kufika sokoni pasipo shida .ameelezea habari za uchumi wa blue yaani uchumi wa bahari na maziwa ikiwepo uvuvi, usafirishaji,utalii na mambo mengine mengi.

Leo Rais Samia amedhihirisha kwanini watanzania wanamhitaji kwa hali na mali ili aendelee kuwaongoza na kuwatumikia mpaka 2030,ameonyesha uwezo wake mkubwa alio nao kiuongozi. Ametuonyesha umuhimu wa kuchagua viongozi wakuu kwa umakini mkubwa sana ili watupatie heshima kimataifa na siyo kututia aibu kama Taifa na kuonekana wote ni wajinga na tusio na Elimu wala uelewa wa kitu chochote kile.

Imefikia hatua binti mmoja kwa hisia kali sana ameelezea furaha yake ya kuonana ana kwa ana na Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania maana muda wote alikuwa anamuona kupitia Tv lakini leo ameandika historia isiyosahaulika kuonana na Rais bora kabisa barani Afrika na anayeheshimika sana Na wananchi wengi barani Afrika.

Ndugu zangu Watanzania tusije ipoteza hii Tunu na zawadi ya kipekee tuliyopewa na kuinuliwa na mwenyezi Mungu,tunaona namna Rais wetu anavyopendwa na majirani mpaka wanatamani asimaliZe au kuacha kuzungumza. Tuendelee kumbeba na kumuunga mkono Samia wetu na mama yetu anayetupenda na kutujali sana watanzania,tumeona namna alivyo na mipango mizuri kwetu na alivyo msikivu kwetu watanzania.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Hii kitu ndio mnaificha mmekataza hata Bunge la Ulaya kuja nchini

Muda wa CCM kuumbuka unakaribia kwa kasi sana.
VID-20230823-WA0008_1.gif
 
Hii ni nchi huru na haiendeshwi na ulaya na siyo koloni na ulaya .
Wewe k.eng.e tafuta kazi za kufanya, unatia aibu kila nusu saa unaanzisha thread ya kusifia sifia watu. Kama sio mmoja wao katafute kazi yoyote ufanye, usitegemee teuzi. Hiyo namba yako unayoweka hapa mtandaoni hadharani hujui madhara yake. Kuna siku mtu ataenda lodge/gesti aandike Jina lako na namba yako ya simu kwenye kitabu cha wageni halafu afanye uharifu utafutwe wewe. Ikija kugundulika sio wewe umeshalala ndani wiki. Ndo maana baadhi ya watu humu Jf wanakuonaga kama dish limeyumba. Halotel inasoma Vodacom.
 
Hili ni ling'ombe la maksai yan linasifia upuuzi tu sisi tunateseka watz yeye kusifia kama chiriku tu kila siku hapoi
 
Ndugu zangu Watanzania,

Leo Rais wetu mpendwa jasiri muongoza njia ,shujaa wa Afrika,Nuru ya wanyonge, Taa ya Taifa,mboni ya nchi,komandoo imara,Jasusi aliyetukuka ,Simba wa Vita ,mama Wa shoka,Mwamba wa Afrika,mtetezi wa waafrika na sauti ya Afrika mama Samia Suluhu Hasssan ametupatia heshima ya kipekee sana huko nchini Kenya, Ameliheshimisha Taifa letu, ametufaya tutembee kifua mbele na ametufaya tujivunie utanzania wetu.

Rais samia ameonyesha umuhimu wa kuwa na Rais mwenye akili kubwa,maono makubwa,akili ya uongozi ,utulivu na busara za kiuongozi na upeo mkubwa. Rais samia ameonyesha namna anavyoifahamu nchi yake,ameonyesha namna kila kitu kinachofanyika nchini kipo mkononi mwake,Ameonyesha namna alivyomfuatiliaji wa mambo mbalimbali yanayofanyika nchini ,ameonyesha namna alivyo na mipango imara na madhubuti katika kuwainua vijana kiuchumi.

Akitoa hotuba yake na baadaye kuulizwa maswali ,ameonyesha utulivu na uhodari wa hali juu sana katika kuelezea na kujibu maswali aliyoulizwa mpaka kufikia hatua ukumbi ukawa muda wote unaripuka kwa shangwe,makofi na tabasamu la hali ya juu sana,ametoa hotuba ya kihistoria ikionyesha umuhimu wa serikali kuwekeza fedha ,mipango na mikakati katika kuwainua vijana,ameeleza namna serikali yake ilivyofanya katika kutoa maelfu ya ajira na mikakati yake kwa siku za usoni,ameonyesha namna anavyowawezesha vijana kimtaji na kuwasaidia kusonga mbele.

Ameelezea umuhimu wa serikali kukipa thamani kilimo na kuwekeza vya kutosha ili kuwavutia vijana katika kilimo.Ameelezea kwa kina na kwa ufasaha suala la BBT yaani juu ya kujenga Kesho iliyo bora kwa vijana kupitia kilimo cha kisasa kwa kutumia teknolojia ya kisasa kuanzia hatua za maandalizi ya mashamba mpaka wakati wa uvunaji,ikiwepo kupima afya ya udongo,matumizi ya mbolea na mbegu nzuri kulingana na eneo husika ,umwagiliaji wa kitaalamu pamoja na uhifadhi wa mazao kwa njia ya kisasa.

Ameelezea mipango ya serikali ya kuwaunganisha na masoko na kuwaondoa wanyonyaji ambao huenda moja kwa moja kwa mkulima,ameelezea uboreshaji wa miundombinu ili mazao yaweze kufika sokoni pasipo shida .ameelezea habari za uchumi wa blue yaani uchumi wa bahari na maziwa ikiwepo uvuvi, usafirishaji,utalii na mambo mengine mengi.

Leo Rais Samia amedhihirisha kwanini watanzania wanamhitaji kwa hali na mali ili aendelee kuwaongoza na kuwatumikia mpaka 2030,ameonyesha uwezo wake mkubwa alio nao kiuongozi. Ametuonyesha umuhimu wa kuchagua viongozi wakuu kwa umakini mkubwa sana ili watupatie heshima kimataifa na siyo kututia aibu kama Taifa na kuonekana wote ni wajinga na tusio na Elimu wala uelewa wa kitu chochote kile.

Imefikia hatua binti mmoja kwa hisia kali sana ameelezea furaha yake ya kuonana ana kwa ana na Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania maana muda wote alikuwa anamuona kupitia Tv lakini leo ameandika historia isiyosahaulika kuonana na Rais bora kabisa barani Afrika na anayeheshimika sana Na wananchi wengi barani Afrika.

Ndugu zangu Watanzania tusije ipoteza hii Tunu na zawadi ya kipekee tuliyopewa na kuinuliwa na mwenyezi Mungu,tunaona namna Rais wetu anavyopendwa na majirani mpaka wanatamani asimaliZe au kuacha kuzungumza. Tuendelee kumbeba na kumuunga mkono Samia wetu na mama yetu anayetupenda na kutujali sana watanzania,tumeona namna alivyo na mipango mizuri kwetu na alivyo msikivu kwetu watanzania.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Huyu chawa wa matakoni ni wa kususia nyuzi zake za kipmbavu
 
Kisa alisema anasomaga humu basi unamchawiiiiaaaa...
Hata maisha yakuwe magumuje usimsiiiifu mtu ukamfanya kama mungwako alafu nakukumbusha wewe ni wakiume usijisahau ukapitiliza!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom