Niandae bajeti ya shilingi ngapi ili kutembea Kenya?

Azniv Protingas

JF-Expert Member
Oct 29, 2020
264
405
Habari wanajamii,

Nilikuwa naomba mnipe mchanganuo wa pesa ili niandae nikatembee Kenya, nina mpango wa kukaa wiki moja, siku nne Mombasa, siku tatu Nairobi.

Mchanganuo ujumuishe:

-Pesa ya usafiri (Dar-Mombasa-Nairobi-Arusha-Dar)
-Malazi (nimejaribu kuangalia mtandaoni kuna cheap hotel mpaka 70k kwa cku 4)
-Pesa ya kula na matumizi madogomadogo
-Na nauliza kama kuna ulazima wa kupiga chanjo ya yellow fever na COVID-19 na kama lazima gharama zake.

Mimi nimepiga hesabu nikaona laki tano inatosha kabisa ila nataka bajeti kutoka kwa wajuzi zaidi.
 
Weka 1M uenjoy Braza

Ila ujue Kenya maisha ni cheap kuliko Tanzania hasa magazine Nairobi center chumba unapata kwa 900 ambayo ni sawa na 15000 huku kwetu Mombasa chumba ni 700 kama 12000 huku kwetu kila unapoenda tafuta alternative za cheap ila laki 5 ukiibana itakutosha ila kwa tahadhari ukiwa na M utafrah zaid sgr Mombasa to Nairobi ni 1000 ambayo ni kama 17000 za tz
 
Habari wanajamii,

Nilikuwa naomba mnipe mchanganuo wa pesa ili niandae nikatembee Kenya, nina mpango wa kukaa wiki moja, siku nne Mombasa, siku tatu Nairobi.

Mchanganuo ujumuishe:

-Pesa ya usafiri (Dar-Mombasa-Nairobi-Arusha-Dar)
-Malazi (nimejaribu kuangalia mtandaoni kuna cheap hotel mpaka 70k kwa cku 4)
-Pesa ya kula na matumizi madogomadogo
-Na nauliza kama kuna ulazima wa kupiga chanjo ya yellow fever na COVID-19 na kama lazima gharama zake.

Mimi nimepiga hesabu nikaona laki tano inatosha kabisa ila nataka bajeti kutoka kwa wajuzi zaidi.
Wewe ni masikini bhana masikini na utalii wapi na wapi?
 
Weka 1M uenjoy Brazil
Ila ujue kenya maisha ni cheap kuliko tanzania hasa magazine nairobi center chumba unapata kwa 900 ambayo ni sawa na 15000 huku kwetu mombasa chumba ni 700 kama 12000 huku kwetu kila unapoenda tafuta alternative za cheap ila laki 5 ukiibana itakutosha ila kwa tahadhari ukiwa na M utafrah zaid sgr mombasa to nairobi ni 1000 ambayo ni kama 17000 za tz
Brazil for 1M?
 
Kenya vitu ni ghali sana usije jidanganya utaenda kujitia aibu tu, pesa Yao ipo stable sana kulinganisha na ya kwetu, hotel nzuri utapata kuanzia 3k ya Kenya ambayo ni karibu elfu 60 kwa siku Moja, hotel ya 70 kwa siku nne yaani ya buku buku ya Kenya kwa siku utarudi na kunguni wa Kenya, Kuna vitu hua sielewi, nauli ya basi kwa hizo trip ulizozitaja ni kama laki na nusu na mambo ya njian ni laki 2 hapo umesafiri kimaskini sana, sasa laki 3 ndo ukae nchi ya watu wiki u enjoy?

Hio laki 3 hata hapo tabata inatosha kweli kwa wiki ukae na hoteli....?????au unataka kwenda vacation ukale kwa mama ntilie....

Nairobi sehem nyingi bia ni 300 sawa na karibu 6000, kama unapiga vyombo kwa laki 5 hutatoboa siku 3 na unaweza rudi bongo kwa Lori la mzigo...kiufupi hio bajeti haipo realistic kabisa...andaa kama 2M ukale maisha tena hapo usijiachie sana, afu kua makini Kenya kuwekewa madawa kwenye kinywaji ni kugusa tu sio kama huku kwetu unaacha bia unaenda kupunguza maji......

Chanjo ya yellow fever ni lazima, madem karibu 90% ni wezi huko na hawatiwi bila ndom... Kama Mzee wa kuteleza jipange kulala na mbu wiki nzima

Kila la kheri
 
Kenya vitu ni ghali sana usije jidanganya utaenda kujitia aibu tu, pesa Yao ipo stable sana kulinganisha na ya kwetu, hotel nzuri utapata kuanzia 3k ya Kenya ambayo ni karibu elfu 60 kwa siku Moja, hotel ya 70 kwa siku nne yaani ya buku buku ya Kenya kwa siku utarudi na kunguni wa Kenya, Kuna vitu hua sielewi, nauli ya basi kwa hizo trip ulizozitaja ni kama laki na

Kila la kheri
Umenena sana Mkuu. I can see reality.
 
Kenya vitu ni ghali sana usije jidanganya utaenda kujitia aibu tu, pesa Yao ipo stable sana kulinganisha na ya kwetu, hotel nzuri utapata kuanzia 3k ya Kenya ambayo ni karibu elfu 60 kwa siku Moja, hotel ya 70 kwa siku nne yaani ya buku buku ya Kenya kwa siku utarudi na kunguni wa Kenya, Kuna vitu hua sielewi, nauli ya basi kwa hizo trip ulizozitaja ni kama laki na
Mm sio mtu wa chamnyweso (Bia) na naenda huko kikazi (private), kwa hiyo lazima bajeti ibane.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom