kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. JaxenDL

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Miili 32 imefukuliwa katika kaburi la pamoja Kericho nchini Kenya

    Baadhi ya miili inaonekana kutoka hospitali katika kaunti jirani Takriban miili 32, mingi yao ikiwa ya watoto wachanga, imefukuliwa kutoka kaburi la pamoja katika mji wa magharibi mwa Kenya, Kericho, huku uchunguzi ukiendelea kuhusu ugunduzi huu wa kushangaza. Ufukuaji huo ulifanyika baada ya...
  2. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya Tuko Serious? Mtoto Anashare Choo na 99 Wengine Hadi NGO Iingilie

    Jamani hii nchi kuna kitu haiko sawa… Shining Hope for Communities wameingia ground kusaidia over 100,000 learners Nairobi informal settlements. Wanajenga ICT labs + toilets kwa shule kama Salama Primary School na Huruma Primary School. Lakini sasa sikia hii ➡️ Mtoto mmoja alikuwa anashare choo...
  3. Waziri Mayai Wa Maradhi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya Is Facing A PhD Deficit

    Kenya is facing a PhD deficit that is affecting the rollout of the human capital necessary to drive development through science, research and innovation. Data from the African Population and Health Research Center (APHRC) shows that Kenya possesses significant talent and institutional presence...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Askari polisi Kenya ajichanganya

    Iko askari mpumbavu aliamua kumsomesha mpenzi wake chuo kikuu alitumia takriban 800,000 za kenya baada ya kuhitimu mpenziwe alimuacha na kusema ako na elimu zaidi ya polisi. Polisi alimfuata kwake na kumpiga risasi kumi na saba hadi kufa. Je, makosa ni ya nani?
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kenya sio Tanzania au Uganda!

    Cheche za maneno, mirengo mipya ya kisiasa na ubabe wa vyama tayari imeanza kusheheni nchini Kenya, miezi 14 tu kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2027. Miongoni mwa viongozi wanaogonga vichwa vya habari ni pamoja na aliyekuwa Naibu wa Rais Rigathi Gachagua aliyetimuliwa kazini miezi kadhaa...
  6. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mass Graves in Kenya: A Pattern We Can’t Ignore

    The discovery of mass graves in Kenya over the past few years has exposed a troubling pattern that raises deeper questions about accountability, systems, and the value placed on human life. From the bodies retrieved in River Yala between 2021 and 2022 to the devastating Shakahola tragedy, where...
  7. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania “Wanawake Tuko Safe Kweli? Mary Claire Acid Attack Sparks National Debate in Kenya

    Kenyans wako furious sana after gospel singer Mary Claire kushambuliwa na acid kwa mchana, like this is no longer just crime ni pure evil. Alikuwa anatoka na friend wake, then boom, mtu anamwaga acid usoni and tries to escape kama movie scene. But here’s where it gets darker mashahidi wanasema...
  8. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania China’s Vice President Han Zheng Visits Kenya to Strengthen Bilateral Ties

    China’s Vice President Han Zheng is in Kenya for an official state visit aimed at deepening diplomatic and economic relations between Nairobi and Beijing. The high-level visit underscores the growing partnership between the two countries, with discussions expected to focus on trade...
  9. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Nikama baada ya kudakwa kule Kenya watekaji wamekula pozi kidogo

    -Aonaye haambiwi tazama. Baada ya wenzao kudakwa Kenya nikama kikosi cha watekaji na wauwaji wa watanganyika kipo likizo kidogo. Je hii inaashiria nini? Je nikwamba wamegundua project imeanza ku backfire? -Je malipo hamna? -Project imeisha?
  10. simplemind

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya is going cashless

    Kenya is quickly becoming a cashless society. From paying for a matatu ride to buying vegetables from mama mboga or even karanga from a street vendor, most payments are now done through M-Pesa
  11. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya Shifts to Irrigation Farming as Climate Change Disrupts Rainfall Patterns

    For many Kenyan farmers, the rains are no longer something they can count on. One season it pours when it shouldn’t. Next, it delays for weeks. The result? Confusion, losses, and growing uncertainty about when—or even whether—to plant. Now, the government says it’s time to rethink how...
  12. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania CLOCK TICKING: Kenya Given 10-Day Ultimatum to Save AFCON 2027 Dream Amid $30M Financial Crisis

    March 20, 2026 NAIROBI — With only ten days remaining, Kenya is on the brink of a major sporting disaster. The country faces a strict March 30 deadline to submit around Ksh 3.9 billion ($30 million) in hosting fees to the Confederation of African Football (CAF), or risk losing its right to host...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kenya hatarini kupoteza Haki ya kuandaa AFCON 2027 kwa kushinwa kulipa ada ya uandaaji

    Kenya ipo katika hatari kubwa ya kupoteza haki yake ya kuwa mwenyeji wa pamoja wa Mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) mwaka 2027. Hali hii inatokana na ucheleweshaji wa malipo ya lazima ya ada ya uandaaji (hosting fee) kiasi cha Ksh3.9 bilioni ($30 milioni) kwa Shirikisho la Mpira...
  14. Waziri Mayai Wa Maradhi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania World Bank Bans PwC Firm in Kenya Over Fraud

    PricewaterhouseCoopers (PwC) firms in Kenya, Rwanda, and Mauritius were found guilty of collussion and fraudulent conduct, and the World Bank banned them from taking part in bank-funded projects for 21 months. The World Bank accused PwC Associates in Mauritius, PwC Kenya, and PwC Rwanda in a...
  15. Waziri Mayai Wa Maradhi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya Revives Railway Extension After 6-Year Stall

    Kenya will on Thursday restart a multi-billion-dollar railway extension that was financed ‌through revenue securitization , reviving a project that has been stalled for over six years after initial lending from Beijing dried up. 2017 saw the completion of the railway's first segment, which...
  16. Waziri Mayai Wa Maradhi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya Police Return Home, Marking End of Haiti Mission

    On Tuesday night, the second group of Kenyan officers sent to Haiti as part of the Multinational Security Support (MSS) program touched down in Kenya. Kenyan police deployment to bring peace to the war-torn Caribbean nation came to an end with the repatriation. Following UN Security Council...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Uimarishwaji wa Mpaka wa Tanzania na Kenya wafikia Asilimia 75

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeridhishwa na kazi ya uimarishaji wa mpaka wa Kimataifa kati ya Tanzania na Kenya ambapo Km 564 sawa asilimia 75 tayari zimewekewa alama kati ya km 758 za mpaka mzima wa nchi kavu. Akizungumza wakati wa ziara ya kamati hiyo eneo la...
  18. Waziri Mayai Wa Maradhi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania CDF General Charles Kahariri and Major General Joyce Sitienei Honoured By France

    On 13 March 2026, the Chief of the Defence Forces, General (Gen) Charles Kahariri, was conferred with the prestigious Legion of Honour during a ceremony held on board the French amphibious assault ship DIXMUDE. Also honoured was Major General (Maj Gen) Joyce Sitienei, the Deputy Vice-Chancellor...
  19. Waziri Mayai Wa Maradhi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania The Pioneer Aviators of The Kenya Air Force

    While the army section of the Kenyan military struggled to fast-track indigenous commissioned officers as independence approached, the emerging air arm faced an even more complicated challenge. Unlike the army, there were virtually no trained African pilots in the early 1960s, and producing one...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Kutoka rubani wa ndege nchini Marekani hadi muokota makopo nchini Kenya

    Hii ni hadithi ya maumivu ya ndugu Samuel Mawato, mkazi wa Mtwapa, Kaunti ya Kilifi, nchini Kenya. Samuel hakuwahi kufikiria kwamba siku moja angekuwa muokota makopo. Kwa miaka 15 aliyoshi Marekani, ambako alisomea urubani na baadaye kufanya kazi kwa muda mfupi katika shirika kubwa la ndege la...
Back
Top Bottom