kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania CCTV zilivyowaumbua Polisi Kenya Mauaji ya Mwanablog Ojwang

    Wiki iliyopita inaweza kuwa siku mbaya kwa Jeshi la Polisi Kenya, baada ya ushahidi wa video za usalama (CCTV) katika kesi ya mauaji ya mwalimu na mwanablogu, Albert Ojwang, kuwaumbua polisi waliodaiwa kujaribu kuficha mauaji hayo. Video hizo zilinasa matukio yote kuanzia Ojwang anafikishwa...
  2. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Daniel Adongo, Mchezaji wa Zamani wa NFL, Ahamishwa kutoka Marekani hadi Kenya

    Daniel Ogama Adongo, mchezaji wa zamani wa Ligi ya Soka ya Marekani (NFL) na raia wa Kenya, amehamishwa kutoka Marekani hadi Kenya na mamlaka ya uhamiaji ya nchi hiyo baada ya kukiuka masharti ya visa yake. Kwa mujibu wa mamlaka ya U.S. Immigration and Customs Enforcement (ICE), Adongo...
  3. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kuna nchi uchumi wake utegemea kuuza passport na kenya kuna kashifa wanayo ila sio hiyo nchi.

    Kwa jina hiyo nchi imenitoka ila ni kakisiwa ambacho hakana rasilimali yoyote ila kanategemea zamana ya pesa utakayoweka kwao wakupe passport. Ukipata passport yao unaweza kwenda nchi nyingi free ambazo kwa passport yetu free utapata sudani ,somalia na zilizomo hata uwezi kufika na wala hakuna...
  4. M

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Hayati Benjamini Mkapa aliweza kuukuza Uchumi wa Tanzania na kuwa karibu sana na wa Kenya | Endelea kupumzika kwa amani Mzee Mkapa

    SEHEMU YA KUMBUKUMBU YA RAIS MKAPA: MIAKA 6 TANGU ATUAGE Anaandika Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC), Bw. David Kafulila, kupitia mtandao wa X. Na David Kafulila Julai 24, 2026 Kwa mujibu wa takwimu za Shirika la Fedha Duniani (IMF), ukubwa wa...
  5. Da Dona

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Town Council Engineer Arrested After Fleeing to Kenya Ahead of Accountability Inspection

    The Engineer of Lwakhakha Town Council in Namisindwa District has been arrested after allegedly fleeing to Kenya ahead of an accountability inspection into the management of public funds. The development was announced on Tuesday by Minister for Local government Balaam Barugahara, who said the...
  6. ROADS OF ADVENTURE

    JamiiForums Kenya 20 Most Famous activities to do in Kenya other than big five Kenya safaris

    When you think of Kenya safari, your mind likely drifts straight to the iconic image of a 4x4 tracking lions across the golden savannah. But look past the binoculars, and you’ll find a country pulsing with a completely different kind of magic. Beyond the traditional safari circuit lies an entire...
  7. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Susan Nakhumicha Leads Kenya Delegation at UN Urban Development Meeting

    Kenya's Permanent Representative to UN-Habitat, Ambassador Susan Nakhumicha Wafula, has reaffirmed Kenya’s commitment to advancing sustainable urban development after leading the country’s delegation to the High-Level Meeting on the Midterm Review of the New Urban Agenda in New York. The...
  8. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Lebanese Firm Appointed to Oversee KSh155 Billion JKIA Modernisation

    The government has appointed Lebanese engineering consultancy Dar Al-Handasah Consultants to oversee the implementation of the KSh155 billion modernisation of Jomo Kenyatta International Airport (JKIA), marking a key milestone in the airport's long-awaited upgrade. The appointment comes barely...
  9. Waziri Mayai Wa Maradhi

    JamiiForums Kenya Cars As Political History Of Kenya

    Kenya’s political and historical storytelling has a way of turning even machines into legends, and few vehicles attract as much curiosity as the late President Mzee Jomo Kenyatta’s Rolls-Royce Phantom V. It is remembered not just as a car, but as a symbol of an era when state power, prestige...
  10. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya Opens New High Commission in Jamaica to Strengthen Caribbean Ties

    Kenya imeendelea kupanua ushawishi wake duniani baada ya kufungua rasmi High Commission mpya mjini Kingston, Jamaica, hatua inayotarajiwa kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia, biashara, uwekezaji na ushirikiano wa kitamaduni kati ya Kenya na mataifa ya Caribbean. Balozi Mwenda Karisa amewasili...
  11. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Jamii ya marasta wa Kenya waenda Mahakamani kudai bangi ihalalishwe

    Link hii hapa ifuatie mwenyewe:- https://www.instagram.com/reel/Da0i0W-oQ2V/?igsh=Z25sMmNyNnY5cDFo
  12. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kijana wa kidato cha pili Kenya apigwa mpaka kufa kwenye ugomvi wa kuongoza maombi.

    Ugomvi wa vijana wawili nani aongoze sala au swala katika shule ya Sekondari ya Thika umepelekea kijana Mohamed wa jamii ya Wasomali kufariki baada ya kupigwa na mwenzake vibaya sana.
  13. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya Extradites Afghan National to US Over Narcotics and Firearms Charges

    Kenya has extradited an Afghan national wanted by United States authorities on allegations of participating in an international narcotics trafficking conspiracy and related firearms offences, marking another milestone in cross-border cooperation against organised crime. The Directorate of...
  14. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya Railways Warns Public Against Fake SGR Booking Website

    Kenya Railways has cautioned members of the public against fraudulent websites and social media platforms impersonating the corporation and claiming to offer booking services for the Madaraka Express Passenger Service. In a public notice issued on Wednesday, the corporation warned that the fake...
  15. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Tanzania and Kenya launch coordinated crackdown on planned Saba Saba protests

    Hivi kumbe yaweza kuwa kweli kwamba hawa watu, muuaji Samia na mwenzake Ruto walipanga eh? https://youtu.be/UJ7hJiNslRc?is=S2Mwdwyd127bO9AX
  16. Waziri Mayai Wa Maradhi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Understanding Saba Saba Day In Kenya

    On July 7, 1990, courageous politicians and leaders who supported democracy, including Raila Odinga, Charles Rubia, Kenneth Matiba, and James Orengo, organised an enormous public demonstration at Nairobi's Kamukunji grounds. They aimed to restore a multi-party democratic system and overthrow...
  17. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Msikilize IGP wa Kenya. Aibu utaona wewe sasa

    Huyu ni IGP wa Kenya akitoa usia kwa askari wake. Ametulia anaongea kirafiki na kwa kujiamini bila kutaka jikomba kwa wanasiasa. Akitoa wito wa Polisi kutumia akili. Halafu pata muda msikilize IGP wa Tanzania. Unamwona tu akili hana, elimu hana na anawaza kumwaga damu all the time.
  18. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mpaka Kenya nako polisi wametanda wakiogopa maandamano

    Leo hapa Nairobi nako maduka yamefungwa na polisi wametanda. Ina maana lugha moja inaanza kutawala kwa wananchi.
  19. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania High Court Blocks Kenya Railways from Evicting Muthurwa Estate Residents

    The High Court has dismissed an application by Kenya Railways Corporation (KRC) seeking to evict residents of Nairobi's Muthurwa Estate, ruling that the constitutional safeguards governing forced evictions have not been fully met. In a judgment delivered by Justice Kanyi Kimondo, the court...
Back
Top Bottom