kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. R

    Wanaharakati wawili kutoka Kenya watekwa Uganda wakiwa katika Kampeni za Bobi Wine

    Wanaharakati wawili kutoka Kenya, Bob Njagi na Nicholas Oyoo, walidaiwa kutekwa nyara Oktoba 1, 2025 mchana na wanaume wanne wenye silaha wanaoaminika kuwa maafisa wa usalama. Wawili hao walikuwa wameungana na mgombea urais wa National Unity Platform (NUP), Bobi Wine, katika kampeni zake nchini...
  2. Mashashola

    Mtanzania Ombaomba Bandia Akamatwa Nairobi Pangani Kenya

    Raia wa Tanzania ambaye ni mtoto alikamatwa Kenya na umma maeneo ya Pangani Nairobi kwa kujifanya ombaomba huku miguu yake ikiwa shwari. Hii ni baada ya umma kunugunika kuhusu uongezekaji wa raia wa Tanzania ambao ni ombaomba mitaani hio. Nchini Kenya, wenye ulemavu hujulikana kwa number...
  3. Traxtion

    Mtalii aliyejaribu kukosoa safari yake ya kitalii Kenya amepokea backlash kubwa sana kwenye social media

    Kuna mtalii alikuja Africa (specfically Kenya) kuja kutalii wanyama kisha akapost video mtandaoni kuonesha kuwa hajavutiwa na safari hiyo. Kwamba no overrated Matokeo yake anepokea backlash kubwa mno kutoka kwa social media Angalia hapa, everything is in the pictures
  4. B

    Kenya, Tanzania kufuzu kwa raundi inayofuata ya mchujo wa kufuzu kwa Kombe la Dunia la FIFA la Wanawake U-20

    Luanda, Angola Septemba 28, 2025 Tanzania imesonga mbele kwa jumla ya mabao 7-0 dhidi ya Angola. Baada ya kushinda 4-0 katika mechi ya kwanza, Tanzania ilipata ushindi wa 3-0 katika mechi iliyochezwa Jumamosi mjini Luanda. Winfrida Hurbert Gerald, Asha Omary Ramadhani na Neema Paul Kinega...
  5. Waufukweni

    Uchaguzi Mkuu Kenya 2027 kugharimu TSh. Trilioni 1

    Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka ya Kenya (IEBC) imesema inahitaji KSh bilioni 57.3 (TZS trilioni 1.09) kwa ajili ya kuendesha Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2027. Awali, Tume iliomba KSh bilioni 61.7 (TZS trilioni 1.18), lakini Hazina ya Taifa ikapunguza kiasi hicho. === The Independent Electoral and...
  6. Nipe Maji

    POTOSHI Video hii ni maandamano ya wananchi Kenya wakimuonya Rais Ruto kuongeza muda wa uongozi

  7. S

    Wanasheria, mashahidi kutoka Kenya na Uganda, watakuwa na wajibu gani kisheria katika kumsaidia Lissu?

    Habari! Wanasheria, tunaomba mtusaidie walau tuweze kujua ni nini utaluwa msaada wa hawa mashahidi kutoka Kenya na Uganda katika hii kesi ya uhaini inayomkabili Lissu. Kwa maneno mengine, wata- play role gani kwenye hii kesi wakiwa kama mashahidi wa mtuhumiwa? Binafsi, nawaza labda...
  8. DuaZaMama

    Mahakama ya Kenya yasitisha mradi wa Taifa gas

    Mahakama ya Mazingira na Ardhi nchini Kenya imezuia kampuni ya Taifa Gas kuendelea na ujenzi wa kiwanda cha gesi ya LPG chenye thamani ya Shilingi bilioni 16 katika eneo la Dongo Kundu, Mombasa. Uamuzi huo umetokana na hofu ya uharibifu wa mazingira ya pwani, kufuatia ombi la wakazi wawili wa...
  9. Chivundu

    Mahakama nchini Kenya imekataa kuondoa amri ya serikali kufungia kiwanda cha Rostam Aziz

    Bilionea wa Tanzania, Rostam Aziz amepiga kizuizi cha kisheria nchini Kenya, ambapo mahakama imekataa kuondoa amri ya kufungia kiwanda chake cha gesi ya petroli iliyoyeyushwa yenye thamani ya Sh16 bilioni (dola milioni 103). Uamuzi huo uliotolewa Jumanne, unaacha mradi wa Aziz wa Taifa Gas...
  10. DuaZaMama

    SI KWELI Amnesty yaunga mkono Maria Sarungi kufukuzwa Kenya

    Wakuu Nimekutana hii taarifa inasema kuwa Amnesty yaunga mkono Maria Sarungi kufukuzwa Kenya kuna ukweli wa hizi taarifa au ni uzushi?
  11. R

    Mahakama Kuu ya Kenya yaamuru Kukamatwa kwa Raia wa Uingereza kwa Kesi ya Mauaji

    Mahakama Kuu ya Kenya imeamuru kukamatwa kwa raia wa Uingereza anayetuhumiwa kumuua Agnes Wanjiru karibu na kambi ya mafunzo ya jeshi la Uingereza huko Nanyuki miaka 13 iliyopita. Mwili wa Agnes Wanjiru, mwenye umri wa miaka 21, ulikutwa ndani ya shimo la choo mnamo Aprili 2012, wiki chache...
  12. DuaZaMama

    Jeshi la Ulinzi la Kenya (KDF) linatekeleza zoezi la ajira kitaifa Oktoba

    Jeshi la Ulinzi la Kenya (KDF), kupitia taarifa iliyotolewa Jumapili, Septemba 14, linasema kuwa zoezi hili litalenga kuajiri Wakandarasi wa Huduma za Kawaida (GSO) – kwa kawaida na wahitimu wa vyuo vikuu, Wakandarasi Maalumu, Wajibu wa Kawaida, Wafundi wa Kazi na Wanawake, pamoja na Askari wa...
  13. W

    Kero gani umewahi kukutana nazo kutoka kwa bodaboda? Kenya yaja na sheria mpya kupunguza changamoto hizo

    Serikali ya Kenya, imeanzisha sheria mpya kudhibiti sekta ya boda boda kutokana na kuongezeka kwa ajali na uhalifu unaohusishwa na waendeshaji wa pikipiki, ikiwemo visa vya kuchoma magari baada ya ajali na mashambulizi ya wahalifu wanaotumia pikipiki. Sheria hizo zinataka waendeshaji wote wawe...
  14. W

    Kenya yashika nafasi ya pili Afrika kwa ugumu wa wakopeshaji wa kidigitali kukusanya madeni yao

    Kenya imeshika nafasi ya pili barani Afrika kwa ugumu wa wakopeshaji wa kidijitali kukusanya madeni, ikitanguliwa na Nigeria na kufuatiwa na Uganda, kwa mujibu wa Acorn Research. Licha ya kuwa kinara wa mikopo ya simu, kiwango cha kushindwa kulipa kimeendelea kuwa juu kutokana na mfumuko wa bei...
  15. The Father of All

    Marais wasela wanawezaje kuongoza nchi bila wake au waume na kuokoa pesa za wenza

    Najua kuwa askofu Makarios wa Cyprus na Hastings Kamuzu Banda hawakuwa na wake wala watoto. Putin wa Urusi alikuwa na mke wakaachana. Mia Motley waziri mkuu wa Barbados hana mume. Pia, rais Buchanan Jr wa Marekani pia, hakuwahi kuoa hadi anakufa. Nashauri uchaguzi mwingine tuchague msela ili...
  16. R

    Kenya Talk, hivi ilikuwa nini?

    Nakumbuka kulikuwa na kitu kama hiki!
  17. Scared

    Sijui kwanini nikiona picha za gen z Kenya huku nikisikiliza ngoma za lucky dube huwa Kuna vibe flani hivi la uzalendo embuu jaribuni na nyie

    Nikiona picha za gen z Kenya halafu mda huo nasikiliza Ngoma za lucky dube huwa Kuna vibe flani hivi la kuingia rodi hiyo tarehe 29 nikikumbuka asili ya mtanzania ni uoga mpaka mtandaoni nachoka
  18. M

    Kenya kapigwa goli 3-1 na Gambia, English haijawasaidia

    English iwasaidie basi waweze ku qualify world cup
  19. Isaka James

    Muda wa Kufungua Macho: Tukio la Udukuzi la TSh 229.94 Milioni Kenya na Masomo kwa Tanzania

    Habari wadau wa Jamiiforums! Mimi ni mtaalamu wa usalama wa mtandao (cybersecurity) kutoka Tanzania, na leo nataka tuzungumze kuhusu tukio la hivi majuzi la udukuzi nchini Kenya ambalo linapaswa kutufungua macho sisi Wanzania. Hebu fikiria, Kijana mwenye vipaji vya hali ya juu anayetumia ujuzi...
  20. McLaren

    Aliyemnywesha tembo bia mbugani achunguzwa na mamlaka za Kenya

    Mamlaka za wanyamapori nchini Kenya zimeanzisha uchunguzi baada ya video za mtalii wa Kihispania kusambaa mtandaoni zikimuonyesha akimimina bia kwenye mwembe wa ndovu. Tukio hilo lililofanyika katika hifadhi binafsi ya Ol Jogi Conservancy, Kaunti ya Laikipia, limezua hasira kubwa kwenye mitandao...
Back
Top Bottom