maridhiano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Dorothy Semu: Maridhiano si kushinikiza upande mmoja kuukubali mwingine

    Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), Dorothy Semu, amesema taasisi hiyo itaendelea kuunga mkono majukwaa yanayowezesha mazungumzo, uvumilivu, ushirikishwaji, kuheshimu tofauti za kisiasa na utatuzi wa migogoro kwa njia za amani na kisheria. Amesema TCD inaamini demokrasia imara...
  2. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Kwa Aina ya Maridhiano wanayotaka CCM ya kuendelea kubalia Madarakani, Kama CHADEMA tunasema hatutakaa kufanya MARIDHIANO Uchwara na CCM

    Kwa miaka yote tangu Mfumo wa Vyama vingi, CCM wamekua wanaunda Upinzani Uchwara Kila uchao ili kuonekana wanatimiza Matakwa ya Dunia. Hivi mnajua Ushindi wa TUNDU LISSU Ile January 21-22 2025 ulikata Ngebe zote za CCM na kuua Kila Matumaini yao walikua wakiyatumia enzi na enzi?. Ndio maana...
  3. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza hivi maridhiano ndio wana aminisha dunia yamefanyika na kupata makamo wa raisi kule znz ndio tanganyika.

    Turudi nyuma kidogo kabla ya haya. Samia alikwenda znz kufanya maridhiano na kuhutubia huko znz kuwa CCM na ACT wamekubariana na wengine. Je hayo maridhiano kama kweli yalikuwa ya znz au tanganyika maana znz hakukuwa na ya October 29 wala viongozi wapinzani wao znz kupata mateso sababu sio...
  4. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Maviziano na Maridhiano ya Wao, Sisi, na Wale!

    Na. M. M. Mwanakijiji Tunajaribu kuaminishwa kuwa tunahitaji maridhiano. Kwamba, tumekosana kiasi kwamba ili tuweze kupatana ni lazima tukae chini na kukubaliana kupatana. Manabii uchwara wa maridhiano wanataka taifa zima lipige magoti na kuanza kufukiza ubani kwenye madhabahu waliyoitengeneza...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Mwinyi: Maridhiano ni mwanzo wa kazi

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewataka Wananchi kutambua kuwa hatua ya maridhiano iliyofanyika visiwani humo siyo mwisho wa safari bali ndiyo mwanzo wa kufanya kazi katika kujenga nchi. Akizungumza leo Septemba 22, 2026 visiwani Zanzibar wakati...
  6. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Mimi sikubaliani na mtazamo wa Padre Kitima kwamba wananchi ndio waongoze mchakato wa maridhiano

    Padre Kitima ni kiongozi wa kiimani nnae mkubali sana haswa mitazamo yake. Lakini sikubaliani nae kwenye proposal yake kuwa mchakato wa maridhiano uongozwe na wananchi. Kwenye theory inasound vizuri, lakini tukija kwa ground inakuwaje? Wananchi gani? Wanawakilishwaje? Nani anawaita? Nani...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa majeshi wamezoea kutoa amri wanapoitwa kuulizwa maswali na raia wanaweza kuona wanadhalilishwa na likutokea lolote nchini maridhiano ni Bora

    Bado naamini chini ya utawala huu wa raia wanasiasa wanaweza kumaliza mambo Yao TU Kwa busara na maridhiano ya kweli. Simaanishi wako juu ya Sheria ila nimefuatilia mataifa makubwa ya kidemokrasia sijaona mfano wa Wakuu Hawa kuitwa Moja kwa Moja mahakamani. Wanasiasa wanamalizana wenyewe Kwa...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Maridhiano Zanzibar yatalainishwa na donge nono toka Tanganyika!!

    Mara zote wapemba na waunguja msuguano mkubwa na tofauti za kimisimamo huwa zinahusu muungano na maslahi yake kwa Zanzibar, na sio Siri kwamba kila wazanzibari wakija juu kuhusu Zanzibar wamekuwa wakipozwa na bakshishi na marupurupu kedekede toka Tanganyika. Katika muktadha wa sasa ambapo rais...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Maridhiano kati ya Serikali ya CCM

    Wakuu, Kuna suala limekuwa likichanganywa hapa hivi maridhiano ni kati ya serikali ya CCM na vyama vya upinzani? au ni kati ya Serikali ya CCM na wananchi, katika mambo ambayo yanatakafaklisha sana Nawasilisha
  10. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Ndugu wa LISSU, akiri , kumbe LEMA na MBOWE ndio walikua wanamtembelea LISSU Usiku kumshawishi akubali MARIDHIANO!!.

    Wakuu, Kuna ndugu wa LISSU hapa anadai kua 'Lema na Mbowe, ndio walikua wanamtembelea LISSU majira ya usiku !!!
  11. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Maridhiano kati ya Serikali vs CHADEMA: Uzuri na upogo wa maoni ya ndugu huyu kule X-Twitter. Soma, Kisha toa maoni yako

    ================= (Full text from @EsirEid X-Twitter copy & paste) KWA NINI NAUNGA MKONO MARIDHIANO KATI YA SERIKALI NA CHADEMA? Wengine wanauliza: “Kwa nini unaunga mkono maridhiano? Mbona tumepambana mpaka hapa?” Kwanza, tusidanganyane kuhusu tulikotoka. Lissu aliwekwa kizuizini hata kabla ya...
  12. O

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Kusukuma Maridhiano ya Kitaifa (KKMK) yawaandikia TEC,BAKWATA,CCT kuwaomba kuingilia kati Juhudi za Upatanisho na Maridhiano nchini

    Kamati ya Kusukuma Maridhiano ya Kitaifa 9KKMK) leo tarehe 9 imeandika barua kwenda kwa Baraza Kuu la Wiaslamu Tanzania (BAKWATA),Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) ,Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) kuwaomba kuingilia kati juhudi za Upatanisho na Maridhiano nchini ili kukwamua mkwamo...
  13. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Kauli za Wasira zimethibitisha kuwa CCM haitaki maridhiano

    Mkutano wa Kitaifa wa Wadau wa Kutafakari Hali ya Siasa nchini uliofanyika Dar es Salaam jana, Septemba 8, 2026, ulikuwa na matarajio ya kuwa jukwaa la kutafuta majibu ya mgogoro wa kisiasa unaoikabili Tanzania. Lakini badala ya kuibua picha ya chama tawala kilicho tayari kusikiliza hoja za...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi: CCM ishauri Serikali ifute kesi zote zenye viashiria vya kisiasa kama hatua ya kwanza ya maridhiano

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniphace Mwabukusi, akizungumza leo Septemba 8, 2026, kwenye Mkutano wa Kitaifa wa Kutafakari Hali ya Kisiasa nchini ulioandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), ameeleza kuwa kutoridhishwa kwa wananchi na hali ya kidemokrasia na...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda: Migogoro mingi tuliyokuwa nayo inatokana na muundo wa taifa, kuwe na maridhiano ya muungano

    Akizungumza leo Septemba 7, 2026, kwenye mkutano wa kujadili hali ya kisiasa, demokrasia Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda, amesema:
  16. O

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini -TEC,BAKWATA,CCT chini ya mwamvuli wa Interfaith Committee wana nafasi kubwa ya kuchangia kupatikana Maridhiano na Mufaka wa Kitaifa

    Viongozi wa Dini Baraza la Maaskofu Katoliki,Baraza Kuu la Waislamu Tanzania,Jumuiya ya Wakristo Tanzania ,wanayo nafasi kubwa sana kuchangia upatikanaji wa Mazungumzo,Maridhiano na Muafaka wa Kitaifa na hatimaye Taifa kuanza safari ya kupata Katiba mpya. Tukumbuke kwamba kwenye mapendekezo ya...
  17. Parabolic

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Mara wamkana kiongozi aliyehamasisha maridhiano

    Chama cha Demokrasia Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Mara kimemkataa Katibu wa mkoa huo Donald Felix Mwembe aliyesema kuwa chama hicho kikiongozwa na Makamu Mwenyekiti wake John Heche kinatakiwa kuzungumza na watawala ili kufikiwa kwa muafaka wa kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu. Soma pia...
  18. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania SI KWELI CHADEMA yaanza mazungumzo serikali kuelekea maridhiano

    Kumekuwepo na chapisho linalosambazwa kwenye mitandao ya kijamii likiwa na nukuu inayodai kuwa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) imeingia katika mazungumzo na Serikali kwa lengo la kuangalia namna ya kuanza mchakato wa maridhiano, hatua inayolenga kujenga Tanzania yenye...
  19. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania CHADEMA iwashughulikie Wanachama/Viongozi wanaojifanya kumtaka HECHE akubali MARIDHIANO , hawa ndio walipangwa kufanya Fujo siku ya Baraza Kuu

    Hawa wapumbavu hawatikiwi kuonewa huruma. Kwanini wasimtake LISSU mwenyewe kukubali MARIDHIANO ili aachiwe ??. Kwann badala yake wanalazimisha HECHE wewe ndio ukubali MARIDHIANO ?. Kwani ni Ofa ngapi ambazo LISSU kaletewa akiwa Jela ili awe Huru ?? Kama LISSU mwenyewe hajazikubali hizo...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wa maridhiano unaonesha kuwa ni kati ya watawala ambao ni serlikali na vyombo vya dola na watawaliwa ambao ni wananchi wakiongozwa na CHADEMA

    Hilo kwasasa halipingiki kuwa, unapozungumzia maridhiano pande zinazohusika ni:- kundi la kwanza linaundwa na watawala, serikali na vyombo vya dola na wafanyabishara wakubwa ambao wamehozi CCM na wanaushawishi juu ya serikali. Kwenye kundi hili pia zipo baadhi ya Taasisi za dini kikristo...
Back
Top Bottom