sudan kusini

South Sudan (), officially known as the Republic of South Sudan (Swahili: Jamhuri ya Sudan Kusini), is a landlocked country in East-Central Africa. It is bordered to the east by Ethiopia, to the north by Sudan, to the west by the Central African Republic, to the south-west by Democratic Republic of the Congo, to the south by Uganda and to the south east by Kenya.
It gained independence from the Republic of the Sudan in 2011, making it the most recent sovereign state or country with widespread recognition. Its capital and largest city is Juba. It includes the vast swamp region of the Sudd, formed by the White Nile and known locally as the Bahr al Jabal meaning "Mountain Sea". Sudan was occupied by Egypt under the Muhammad Ali dynasty and was governed as an Anglo-Egyptian condominium until Sudanese independence in 1956. Following the First Sudanese Civil War, the Southern Sudan Autonomous Region was formed in 1972 and lasted until 1983. A second Sudanese civil war soon broke out, ending in 2005 with the Comprehensive Peace Agreement. Later that year, southern autonomy was restored when an Autonomous Government of Southern Sudan was formed. South Sudan became an independent state on 9 July 2011, following 98.83% support for independence in a January 2011 referendum. It has suffered ethnic violence and endured a civil war characterised by rampant human rights abuses, including various ethnic massacres and killings of journalists by all sides from 2013 until February 22, 2020, when South Sudan rivals Salva Kiir Mayardit and Riek Machar struck a unity deal and formed a coalition government, paving the way for refugees to return home.South Sudan has a population of 12 million, mostly of the Nilotic peoples, and it is demographically among the youngest nations in the world, with roughly half under 18 years old. The majority of inhabitants adhere to Christianity or various traditional faiths. The country is a member of the United Nations, the African Union, the East African Community the Intergovernmental Authority on Development and is a party to the Geneva Conventions. As of 2019, South Sudan ranks third-lowest in the latest UN World Happiness Report, second lowest on the Global Peace Index, and has the third-highest score on the American Fund for Peace's Fragile States Index.

View More On Wikipedia.org
  1. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Raia wa Tanzania na Misri pekee wanaruhusiwa kuingia Sudan Kusini bila visa

    Serikali ya Sudan Kusini imetoa sera mpya iliyosasishwa kuhusu visa, ikibainisha nchi za Afrika ambazo raia wake wanaweza kuingia nchini humo bila kuhitaji visa au kulipa ada yoyote ya visa. Mwongozo huo mpya unaeleza masharti ya kuingia nchini kwa wasafiri kutoka Afrika na maeneo mengine...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Sudan Kusini yamkaribisha Mwakilishi Mkuu wa AU, Jakaya Kikwete kabla ya uchaguzi wa kihistoria wa 2026

    Sudan Kusini Yamkaribisha Mwakilishi Mkuu wa AU Jakaya Kikwete kusaidia kuweka mambo sawa Kabla ya Uchaguzi wa Kihistoria wa 2026 June 2026 Juba South Sudan Rais wa zamani wa Tanzania na mjumbe wa AU Jakaya Kikwete anaanza mashauriano ya ngazi ya juu mjini Juba huku Sudan Kusini ikiendelea na...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Rais wa Sudan Kusini awafuta kazi Mkuu wa Jeshi pamoja na Waziri wa Fedha

    Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir, amemfuta kazi mkuu wa jeshi pamoja na waziri wa fedha aliyekuwa ameapishwa chini ya miezi mitatu iliyopita, kwa mujibu wa taarifa ya vyombo vya habari vya serikali iliyotolewa Jumatano usiku. Hatua hiyo ni mwendelezo wa mabadiliko ya mara kwa mara ndani ya...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa China waleta unafuu kwa jamii zinazokabiliwa na uhaba wa huduma za matibabu nchini Sudan Kusini

    Agnes Alison Nunu, mwenye umri wa miaka 38 na mama wa watoto sita, amesitisha biashara yake ndogo ya kuuza vitafunwa kutokana na maradhi yanayomsumbua mtoto wake, mpaka pale timu ya madaktari wa China ilipowasili katika eneo la makazi yake kando ya mji mkuu wa Sudan Kusini, Juba. Desemba 6...
  5. Mhaini

    JamiiForums Tanzania Sio Buzwagi tu wanaiba Dhahabu, Sudan Kusini, tani 5 zaa dhahabu zinaibiwa kila Mwaka

    Ripôti mpya iliotolewa na shirika SWISSAID imeonesha kuwa nchi ya sudan Kusini huzalisha tani 5 ya dhahabu kila mwaka, lakini hakuna dhahabu inayorekodiwa au kusafirishwa kwa njia halali, hii ikiashiria namna serikali imeshindwa kusimamia uchimbaji wa madini licha ya kuwepo kwa kanuni, hali...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Sudan Kusini: Upinzani walaani mashtaka ya uhaini dhidi ya Makamu wa Rais Riek Machar, waonya hatari ya Vita vipya

    Vyama vya upinzani nchini Sudan Kusini vimesema mashtaka ya uhaini na uhalifu dhidi ya binadamu yanayomkabili Makamu wa Kwanza wa Rais wa nchi hiyo, Riek Machar, ni ya kisiasa na yanaweza kuitumbukiza tena nchi hiyo changa zaidi duniani kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe. Mkataba dhaifu wa...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Sudan Kusini yamfungulia mashtaka Makamu wa Rais Machar kwa tuhuma za uhaini

    Makamu wa Kwanza wa Rais wa Sudan Kusini, Riek Machar, anakabiliwa na mashtaka ya uhaini na uhalifu mwingine mzito, mamlaka za sheria zilisema Alhamisi, hali ambayo imezua hofu ya kurejea kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe. Machar amekuwa kizuizini tangu Machi 2025 baada ya serikali ya mpito...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Majadiliano: Wapalestina kupelekwa Sudan Kusini

    Ikiwa ni kweli; Je, viongozi wa Sudan Kusini watajifunza kutokana na historia au watatanguliza njaa zao? Kipindi kile Janjaweed wanawaua Wasudan weusi, wanahistoria wakasema kuwa, Wasudan weusi ndiyo walikuwa wenyeji wa Sudan na ndiyo waliwakaribisha Waarabu lakini mwisho wa siku Waarabu wakawa...
  9. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Sudan Kusini wamepata wapi u special wa kutrend dunia nzima na kukubalika namna hiyo na kuwa kivutio namna hiyo?

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Hawa watu wa sudani kusini ambao walikuwa na njaa na kufukuzwa na waarabu wenzao wa Sudan mbona wamemugeuka kuwa maarufu ghafla sana Wametoa wapi u special huo maana saiz kila ukingia mtandaon ni wao tu Kwa wale wapenda madem ukitoa mimi...
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Familia ya Juma Maganga yamlilia Rais Samia awasaidie ndugu yao atolewe Jela Sudan Kusini

    Familia ya Mtanzania Juma Maganga, aliyehukumiwa kifungo cha miaka 13 nchini Sudan Kusini kwa kosa la kumgonga mwanajeshi hadi kufariki, imeelezea hofu yao juu ya hatma ya ndugu yao huyo endapo watashindwa kulipa fidia ya milioni 30 kama ilivyoamriwa na mahakama ya huko. Licha ya adhabu hiyo...
  11. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Sudan Kusini yakanusha uvumi wa kifo cha Rais wa nchi hiyo Salva Kiir

    Serikali ya Sudan Kusini kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa imekanusha uvumi unaosambaa kuhusu hali ya afya ya Rais Salva Kiir Mayardit. Kupitia taarifa rasmi, wizara imethibitisha kuwa Rais Kiir yuko hai, anaendelea vizuri kiafya na anaendelea kutekeleza majukumu yake...
  12. BigTall

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Dereva Mtanzania anashikiliwa Sudan Kusini baada ya kugonga mtu, inadaiwa Polisi wagoma kumuachia wanataka hela

    Kuna Mtanzania mwenzetu anaitwa Juma Ally Maganga ambaye ni dereva wa magari makubwa, inadaiwa anashikiliwa na Watu ambao wanadai wao ni Askari Polisi Nchini Sudan Kusini, sababu ya kumshika ni kwamba wanamtuhumua amemgonga mtu na kusababisha kifo wakati alipokuwa katika safari zake akipita...
  13. Harvey Specter

    JamiiForums Tanzania Sudan Kusini imetoa agizo la kuzuia upatikanaji wa mitandao ya kijamii nchini

    Serikali ya Sudan Kusini imetoa agizo la kuzuia upatikanaji wa mitandao ya kijamii ikiwamo Facebook na Tiktok nchini humo kwa muda wa hadi miezi mitatu, huku ikitegemea udhibiti wa maudhui. Agizo hilo limetolewa na Mamlaka ya Kitaifa ya Mawasiliano ya Sudan Kusini (NCA) Jumatano Januari 22...
  14. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Sudan Kusini Yapiga Marufuku Matumizi Mitandao Ya Kijamii Kwa Miezi Mitatu

    Mamlaka ya Mawasiliano ya Sudan Kusini imepiga marufuku matumizi ya mitandao ya kijamii kwa kipindi cha miezi mitatu kuanzia Januari 22, 2025. Katazo hilo linafuatia kusambaa kwa picha za video zinazoonesha mateso na masumbuko ya wakimbizi wa Sudan Kusini walioko katika eneo la Wad Medani, nchi...
  15. Don Gorgon

    JamiiForums Tanzania Sudan Kusini: Rais Salva Kiir awafuta kazi Mkuu wa Jeshi, Mkuu wa Polisi, na Gavana wa Benki Kuu

    Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir, amefanya mabadiliko makubwa ya uongozi kwa kumfuta kazi mkuu wa jeshi, mkuu wa polisi, na gavana wa benki kuu, kwa mujibu wa tangazo la shirika la habari la serikali SSBC. Hakutoa sababu za mabadiliko hayo. Paul Nang Majok...
  16. nipo online

    JamiiForums Tanzania Je wajua maajabu taratibu za ndoa nchini Sudan Kusini?

    katika kitongoji cha Dinka nchi Sudani Kusini mwanaume Sudan, ukifanikiwa kuwa na wanawake wengi ndio utaweza pata wadhifa wa kua kiongozi katika jamii, Pia kutokana na tamadumi za Sudani kusini ukifa bila kuoa haraka sana atajitokeza mwanafilia atakuolea mke kisha watoto wake wataitwa majina...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Maji yenye mafuta yanavyoathiri afya za wanachi nchini Sudan Kusini

    Huko hali ni mbaya kwa baadhi ya majimbo mfano Unity ambapo maji ya kunywa yamechanganyikana na mafuta kutokana na mafuriko. Mafuta yanachimbwa sehemu mbalimbali mfano Uarabuni . Je, na huko hawajali afya za wananchi au wawekezaji na watawala wanatuona wananchi kama manyani? Kuna kesi za...
  18. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Sudan Kusini yaahirisha uchaguzi mkuu mpaka 2026

    Serikali ya Sudan Kusini imeahirisha uchaguzi mkuu uliopangwa kufanyika Desemba 2024 hadi Desemba 2026 kutokana na changamoto za maandalizi. Ofisi ya Rais Salva Kiir imetaja hitaji la muda zaidi kukamilisha sensa, uandishi wa Katiba mpya, na usajili wa vyama vya siasa. Uchaguzi huo umeahirishwa...
  19. uhurumoja

    JamiiForums Tanzania Maisha yanaenda Kasi sana Leo Sudan Kaskazini kahifadhiwa na Sudan kusin

    Taifa dogo changa lililopatikana kwa misukosuko na vita Kali la Sudan kusini limegeuka kimbilio la wale wasudani (waarabu)wa kaskazini ambao kwa Sasa dunia imewaacha wanyukane hadi bingwa apatikane Ndani ya mda mfupi Juba Ina uwanja mzuri kabisa kuhost mechi za CAF huku Sudan wakiendelea...
  20. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Tanzania yagoma kujifunza kwa Sudan Kusini

    Sudan Kusini wamefuzu kushiriki michuano ya Olympics upande wa wanaume leo 22-7-2024 Miaka 14 iliyopita Taifa hili lilijipatia Uhuru kutoka kwenye mikono ya Sudan ya Kaskazini ile ya Dikteta Al Bashir. Leo hii wamekabiliana vikali sana na timu ya taifa ya Marekani, inayo ogopwa dunia nzima kama...
Back
Top Bottom