Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.
Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).
Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.
Kenya is weighing the use of public funds, including pension savings, to help finance a proposed East Africa oil refinery backed by Nigerian billionaire Aliko Dangote, as the project shifts from Tanzania's Tanga port to Mombasa as the preferred site.
Dangote told the Financial Times he favours...
Narok Senator Ledama Ole Kina has sparked fresh debate on Kenya’s foreign policy after warning the country against becoming what he described as “France’s Plan B” in Africa.
His remarks come amid growing diplomatic and economic ties between Kenya and France, especially ahead of the high-profile...
Kuna kampuni linatengeneza electric vehicles lipo Kenya, linaitwa Roam Electric. Kwa sasa wanatengeneza mabasi na pikipiki za umeme. Tuachane na mabasi.
Sasa kwenye pikipiki, wana model moja tu inaitwa Roam Air, muonekano kama TVS tu ya kawaida.
Inakuja na battery la 3.2 kWh, kuna options ya...
Wakenya wameombwa kuwa alert baada ya World Health Organization na Ministry of Health Kenya kutoa advisory kuhusu mlipuko wa Hantavirus ulioripotiwa kwenye cruise ship iliyokuwa na abiria kutoka mataifa 23 tofauti.
Kwa mujibu wa taarifa ya serikali ya tarehe 8 May 2026, hadi sasa kuna cases 8 —...
“Hata Mabingwa Hawaponi!” — Sawe Tax Saga Yafungua Macho ya Wakenya Kuhusu Mzigo wa Ushuru Unaowakandamiza Wananchi
Mjadala mkali umeibuka nchini baada ya taarifa kuwa marathon star alikatwa karibu KSh 18 million kama tax kutoka kwa winnings zake za zaidi ya KSh 48 million baada ya mashindano...
Waandishi wa habari kutoka Standard Media Group wamezuiwa kuingia katika event ya Rais William Ruto huko Naivasha wakati wa Second National Education Conference.
Kisa hiki kimeibua mjadala mkubwa kuhusu freedom of speech na haki ya wanahabari kufanya kazi yao bila vitisho au ubaguzi.
Inadaiwa...
Video: Lizee la hovyo la jamii ya Kisomali Kenya umri wa miaka 46 limekamatwa Kenya kwa kuoa katoto, kuhojiwa linasema dini ya kiislamu inaruhusu hata kuoa katoto ka umri wa miaka tisa.
Majirani walitoa ripoti kwamba walikua wanaskia huyo mtoto akilia usiku, inasemekana mtoto alikua...
Mama Samia kasema na kumwomba Ruto awashughulikie wapinzani huko Kenya kama yeye anvyowashughulikia huku Tanzania.
Hii kauli si tu kuwa ni undiplomatic lakini ni kuingilia mambo ya ndani ya nchi jirani.
Kwa viwango vyovyote si kauli ya kistaarabu kisiasa.
Hapo ndio najiuliza kama speech writers...
Wakuu habari za majukumu
Kwa Yoyote mwenye Ufahamu au uelewa zaidi juu ya namna ya kuwekeza katika soko la HISA Kenya anisaidie ushauri na mawazo.Pia kama kuna soko zuri zaidi la Kenya kwenye HISA naomba nisaidiwe
Asante
Rais Samia akiongea katika Kongamano la Biashara baina ya Tanzania na Kenya, tarehe 04 Mei, 2026, JNICC Dar es Salaam, amesema Gen Z wanaojifanya wa East Africa tusiwavumilie kuharibu demokrasia yetu
Gen-Z wa Kenya wanasema hawampendi Rais kwa sababu hilo sio jukumu lao Kikatiba. Mwenye jukumu la kumpenda Rais ni mke wake.
Soma Pia: Gen Z wa Kenya hawana mbeba maono (kiongozi) hivyo wanakuwa kama kikundi cha wahuni
Walipoulizwa kwanini hawamuheshimu Rais, wakasema heshima inaanzia kwa...
May 2 2026
Kundi la AMSONS kujenga hospitali 10 za akina mama na watoto nchini Kenya chini ya mpango wa afya wa dola milioni 40 za Marekani
Mpango huo, unaoitwa "Ahadi ya Maisha," unaonyesha kujitolea kwa pamoja katika kuhakikisha uzazi salama na kuanza kwa afya kwa watoto wachanga...
Kuna timu imeshaona itaaibika iwapo mechi zote za ddrby zitachezeshwa na waamuzi kutoka nje na kwa hiyo imeanza kampeni kali ya kuonesha mwamuzi wa Kenya aliyechezesha mechi ya derby hafai.
Simba huwa wamezubaa na kuziacha kelele hizi ambazo zinaweza kusababisha kughairishwa kwa utaratibu wa...
Kutoka kwenye KSh48 milioni alizoshinda Sebastian Sawe baada ya kushinda London Marathon, Mamlaka ya Mapato ya Kenya (KRA) inadaiwa kutaka hadi KSh18 milioni kama kodi.
Kuanzia Mei Mosi, 2026, China itaanza kutekeleza sera ya ushuru sifuri kwa bidhaa zinazotoka nchi 53 za Afrika zenye uhusiano wa kidiplomasia na China. Sera hii inachukuliwa kama fursa muhimu kwa nchi za Afrika kuingia katika soko kubwa la China kwa kuleta bidhaa zao za kipekee na za ubora wa...
As of early 2026, Kenya is experiencing a concerning surge in homicide cases and violent crime, with preliminary reports for 2026 already showing an upward trend compared to 2025.
Media reports highlight a surge in killings across the country, prompting urgent public concern.
A total of 398...
Sakata ndani ya soka la Kenya imechukua turn kali baada ya Rais wa FKF, Hussein Mohammed, kusimamishwa kazi kufuatia allegations za financial misconduct zinazohusiana na CHAN 2025. Hii issue sasa imevuka mipaka baada ya FIFA kuingia kati kufuatilia kama due process ilifuatwa.
Kwa mujibu wa...
Kenya’s abortion debate has been thrown back into the national spotlight after the Court of Appeal of Kenya overturned a 2022 High Court decision that had recognized abortion as a constitutional right in certain circumstances.
In a ruling delivered on April 24, a three-judge bench held that...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.