uhai

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Tosamaganga Sekondari, miaka 100 ya uhai, ufanisi na ujenzi wa vizazi tofauti

    Habari wana jamvi wa JF... Leo tumeanza maadhimisho ya jubilei ya miaka 100 (1926 - 2026) ya Shule ya Sekondari ya Tosamaganga. Maadhimisho haya yameanza leo tarehe 08/10/2026 na kilele chake ni keshokutwa tarehe 10/10/2026. Aidha mgeni rasmi katika sherehe hizo ni Mh. Prof. Palamagamba Kabudi...
  2. Duh Aisee

    JamiiForums Tanzania Nawaomboa UHAI wote walihusika na kuua, kuteka na kupoteza miili ya ndugu zetu MO29 na kipindi hiki chote, Kifo kwangu sio Adhabu.

    Baada ya kufanya kazi kwa miaka zaidi ya 3 kwenye hospital, na kuwa karibu na wagonjwa wa kila namna, niliona kuwa kifo sio adhabu kwa mtu anayevunja sheria. Nataka kuona wakiwa mahakamani, wakitoa maelezo nani aliwapa oda, walilipwa shilingi ngapi( au walipewa tu hela za mafuta), wote...
  3. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Sheria za Barabarani: Afya na Uhai Wetu

    Sheria na taratibu za barabarani ziheshimiwe ili kulinda Afya na uhai wa watumiaji wote, suala la kukatwa Points ni kwa watumiaji/Madereva wa vyombo vya moto wote haijalishi ni Bus la Abiria ama Private Car. Wanaojikuta ni special waendelee na Mgomo ila wasizuie wengine📌
  4. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Ukishakuwa mwenye umri wa miaka 29 hadi 40, ndio utaelewa kindaki ndaki kwa nini wanaume wanajitoaga uhai wao au wengine kugeuka vichaa.

    Niwatakie ustawi, haswa wa afya ya akili.
  5. Hornbil

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la wafanyakazi wa kigeni na unyanyasaji kwa wafanyakazi wazawa kwenye vivutio vyetu vya utalii ni uhai wa hii sekta mhimu, serikali imelala.

    Makampuni hayatoi mikataba siku hizi,mtu unafanya kazi kama kibarua yaani unalipwa kwa siku. Hakuna benefits zozote kama bima ya afya wala mifuko ya hifadhi. Kwa makampuni yanayotoa mikataba ni kwamba wanatafuta kampuni nyingine ndio inakua kama imekuajiri. Yaani unafanya kazi kampuni A...
  6. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Mapenzi yalivyokatisha Uhai wa wakili Elizabeth Koki Musyoki

    Elizabeth Koki Musyoki alikuwa mama mwenye umri wa miaka 34, wakili wa Kenya aliyefanya vizuri sana katika kazi yake, mshauri wa masuala ya sheria za kampuni, pamoja na mshauri wa rasilimali watu (HR). Alisomea sheria katika Kenya School of Law na baadaye akasajiliwa rasmi kuwa Wakili wa...
  7. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Ni suala baya sana kama taifa, utekaji na kupoteza uhai wa raia siyo suruhu ya matatizo ya taifa letu

    Unamteka mtu na kumpoteza. Familia na ukoo mzima wanaumia. Jamii inayomzunguka inaumia na kutengeneza kidonda ambacho hakiponi. Watu wanajawa na chuki. Wanawaza kulipa kisasi kwa kupoteza wapendwa wao. Watalipa vipi visasi? Hapa ndipo tunazalisha tatizo kubwa amabalo ni jipu ambalo haliwezi...
  8. figganigga

    JamiiForums Tanzania CCM mnachofanya ni Uhalifu dhidi ya uhai wa binadamu kwa mgongo wa Chama cha Siasa

    Uhalifu dhidi ya uhai wa binadamu ni kitendo chochote kiovu kinachokatisha au kuhatarisha maisha ya mtu mwingine kinyume cha sheria na maadili. Vitendo hivi vinasababisha maumivu makubwa, hofu, na kupotea kwa haki za msingi za kuishi. Matendo ya Kuua mtu kwa makusu, Kupiga na kujeruhi watu...
  9. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwalimu wa Naivasha afariki kwa kujitoa uhai baada ya kudaiwa kupoteza Sh40,000 za safari ya wanafunzi kwenye kamari ya michezo

    Mwalimu mmoja wa Naivasha ameripotiwa kufariki kwa kujitoa uhai katika tukio linalodaiwa kuhusishwa na kupoteza Sh40,000 kupitia kamari ya michezo. Kwa mujibu wa Mkuu wa Upelelezi wa Jinai (DCIO) wa Naivasha, Isaac Kiama, fedha hizo zilikuwa zimetengwa kugharamia safari ya wanafunzi ya mwisho wa...
  10. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Nashauri Jeshi la Wananchi Lilinde Uhai wa Wafuatao Mpaka Awamu Ijayo

    1. Ndugu Mafwele 2. Ndugu Muliro 3. Ndugu Abdul Nalionba sana jeshi letu liwalinde hawa raia kwa wivu mkubwa, ili awamu ijayo watusaidie kuwatafuta ndugu zetu waliopotea. Nawasilisha.
  11. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Nikikumbuka kauli ya PM kassimu Majaliwa dhidi ya Afya ya Magufuli, nawiwa kusema hata Mwigulu na mtu wa bomu kapigwa fix la sivyo amtaje!

    Nikikumbuka, TAARIFA ya waziri mkuu mstaafu dhidi ya Afya ya Hayati magufuli kwa wananchi wa Tanga, aliwambia naomba kunukuu" Rais WENU ni mzima wa buheri WA afya, yupo imara kama CHUMA na anawasalimia wotee" wananchi heheeeeeeee vicheko na nderemo😚🤣😊😁😂😊🤣 staki niamini km pm hakuwa na TAARIFA...
  12. Best home tutor

    JamiiForums Tanzania Nina maswali mengi sana yasiyo na majibu ,nisaidieni

    Habari ndugu wana jukwaa nahitaji majibu mazuri ya kisomi. 1. Waziri mkuu amesema kuna mtu analipwa milioni tano kila mwezi ili awaandikishe watanzania vijana wakaandamane na wameandaliwa watu wa kuwapiga waandamanaji ili kuchafua sura ya nchi yetu na mtu huyu amekamatwa na ametoa siri nyingi...
  13. Best home tutor

    JamiiForums Tanzania Usikubali kulipwa uandamane ,kuna watu wamepanga kupiga waandamanaji na pesa haiwezi kurejesha uhai.

    Waziri Mkuu amefichua kuwepo kwa njama za siri zinazosukwa na baadhi ya watu kuwalipa watu wengine ili wawapige watakaoshiriki maandamano, kwa lengo la kuichafua Serikali. Dkt. Mwigulu ameyasema hayo leo, Juni 27, 2026, wakati akihutubia wananchi katika mkutano wa hadhara wilayani Ikungi...
  14. O

    JamiiForums Tanzania Taifa linaloutukuza ujinga na kuudharau maarifa hujichimbia kaburi lake lenyewe; mara nyingi uhai wake hauzidi karne moja.

    Mnakaribishwa!
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi: Tuache propaganda juu ya uhai wa Watanganyika

    TUACHE PROPAGANDA JUU YA UHAI WA WATANGANYIKA. Hakuna Taifa linalotuonea wala kutuingilia mambo yetu ya ndani kinyume na Sheria za Kimataifa. Yanayotupata leo yanatokana zaidi na ujinga wetu wenyewe, ukatili wetu wenyewe, na kushindwa kuwajibika kwa mujibu wa Sheria na Katiba ya nchi...
  16. H

    JamiiForums Tanzania UTEKAJI: Ujasiri wa Bodaboda Umeokoa Uhai wa DJumbe, Funzo: Ujasiri Wetu Wote kwa Pamoja Utaokoa Wengi. Bodaboda Wapewe Tuzo.

    Taarifa zilizothibitishwa ni kwamba kundi la watekaji lililoongozwa na mzanzibari, lilimteka msaidizi wa Lisu bwana DJumbe akiwa anaingia nyumbani kwake usiku saa 4. Baada ya Jumbe kupiga kelele, bodaboda wakaanza kulifuata gari la watekaji kwa nyuma. Mashetani hawa watekaji walivyoona...
  17. Hospitali ya Taifa Muhimbili

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu kifafa cha mimba: Dalili hatari inayoweza kuondoa uhai wa mjamzito

    Je, wajua kuwa kifafa cha mimba ni hali hatarishi inayoweza kuhatarisha maisha ya mama na mtoto ikiwa haitapatiwa matibabu kwa wakati? Dkt. Jofrey Marandu, Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Kike na Uzazi kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili, anaeleza kwa kina nini cha kufanya pale mjamzito...
  18. Infropreneur

    JamiiForums Tanzania Kumshukuru Mungu kwa zawadi ya "Uhai" Hakuzuii kifo. Ushukuru, Usishukuru, kufa kupo palepale

    Hakuna Mungu wa kuzuia wewe usife kwa kuwa unamshukuru kwa uhai! Hakuna Mungu wa kukulinda, kwa vile eti unamshukuru kwa uhai! Utakuta watu wanajipa matumaini uchwara ya kijinga, Eti..... "Ukiamka salama asubuhi, shukuru Mungu" "Ukienda kazini na kurudi nyumbani salama, Shukuru Mungu"...
  19. UTPC

    JamiiForums Tanzania Masoko ya Manispaa ya Morogoro ni kama yamegeuka kuwa mahame yasiyo na uhai wa kibiashara

    Unapofika kwenye baadhi ya masoko katika Manispaa ya Morogoro ni kama mahame au yamegeuka kuwa mahame yasiyo na uhai wa kibiashara uliotarajiwa. Badala kusikika kwa kelele za wanunuzi wakibishania bei, vicheko vya wafanyabiashara na harufu ya bidhaa mpya, unakutana na ukimya ‘unaosindikizwa’ na...
  20. Prof Phraoh AI

    JamiiForums Tanzania Kwanini Ulimwengu Umeundwa Mahususi kwaajili ya ku support Uhai kama mtu anavyotengeneza banda kisasa ili kuku wakae ?. Vita kali dhidi ya atheist Ep2

    ‎ulimwengu una mipangilio sensitive kama frequency ya redio ( ambapo ukibadikisha kidogo tu huipati channel hiyo ) ambapo kama ulimwengu ungekuwa tofauti kidogo tu hata kidogo sana uhai usingewezekana kabisa. ‎ ‎Mfano mmoja tu wa kuelewa: ‎Nguvu inayoshikilia atom pamoja inaitwa strong...
Back
Top Bottom