kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. Waziri Mayai Wa Maradhi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania The Pioneer Aviators of The Kenya Air Force

    While the army section of the Kenyan military struggled to fast-track indigenous commissioned officers as independence approached, the emerging air arm faced an even more complicated challenge. Unlike the army, there were virtually no trained African pilots in the early 1960s, and producing one...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Kutoka rubani wa ndege nchini Marekani hadi muokota makopo nchini Kenya

    Hii ni hadithi ya maumivu ya ndugu Samuel Mawato, mkazi wa Mtwapa, Kaunti ya Kilifi, nchini Kenya. Samuel hakuwahi kufikiria kwamba siku moja angekuwa muokota makopo. Kwa miaka 15 aliyoshi Marekani, ambako alisomea urubani na baadaye kufanya kazi kwa muda mfupi katika shirika kubwa la ndege la...
  3. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania E-Kesi Barabarani: Kenya Yazindua 'Instant Fines' System ya Traffic

    Serikali, through NTSA, imeanza digital traffic enforcement system mpya inayotumia smart cameras kukamata makosa barabarani. Kama umeenda kasi, hukufunga seatbelt, au umevuka lane ovyo, system itakurekodi instantly na kukutumia SMS notification ikiwa na details za offence na fine unayotakiwa...
  4. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Safari Rally Kenya 2026 Yaanza Rasmi Leo

    Mashindano maarufu ya Safari Rally Kenya 2026 yameanza rasmi leo, tarehe 12 Machi, na yanatarajiwa kuendelea hadi tarehe 15 Machi kama raundi ya tatu ya msimu wa World Rally Championship (WRC). Mashindano haya yanawaleta pamoja madereva bora wa magari ya mashindano kutoka kote duniani, huku...
  5. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya Urges Africa to Put Human Dignity at the Centre of the Fight Against Drug Abuse

    Kenya has called on African nations to place human dignity and public health at the heart of continental efforts to combat drug abuse as the global community gathers for the 69th session of the Commission on Narcotic Drugs in Vienna. Speaking during the high-level meeting, Kenyan...
  6. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda announces visa-free entry for Kenya and 39 other countries

    The government of Uganda has declared that citizens of 40 countries and territories, including the neighbouring country, Kenya, will no longer need to seek a visa before visiting the country. The visa waiver programme is included in the moves by the Ugandan government to ease the travel...
  7. Yesha

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Death Toll From Kenya Floods Rises to 42 as Heavy Rains Batter Nairobi

    The death toll from heavy rains and flooding in Kenya has risen to 42, nearly doubling from earlier reports, the government said in a statement issued late on Sunday. Authorities say the flooding has severely affected Nairobi, the capital, and several other parts of the country following days...
  8. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Je, Kenya wana Nuclear power station?

  9. S

    JamiiForums Tanzania Mmoja wa watekaji waliokamatwa nchini Kenya, ni Mzanzibari au ni Mwarabu kama sio Msomali?

    Mmoja wa watuhumiwa wa utekaji huko nchini Kenya ana asili kama Mzanzibari au Mwaraba kama sio Msomali kulingana na picha zao na sio mtanganyika kwa asili Je, wenzangu mnahisi huyo mtu asili yake ni wapi kwa kumtazama. Najaribu kuweka picha zao hapa.
  10. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kama hawa watekaji huko Kenya ni maafisa usalama wanaohusishwa na serikali ya Samia mbona serikali ipo kimya? Hii sio aibu kwa Rais Samia.?

    Inasemekana walienda Kenya kuteka mwanaharakati. Leo wamepandishwa mahakamani.
  11. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania World Bank to Fund Kenya’s New Cashless Transport System (KIAFCS). What You Need to Know

    Kenya is taking a major step toward a fully modernized, cashless public transport network through the Kenya Integrated Automated Fare Collection System (KIAFCS), a new initiative funded by the World Bank and supported by the national government. The project, designed to overhaul fare management...
  12. Waziri Mayai Wa Maradhi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Affordable Housing for Kenya Defense Forces

    KDF families have started moving into the 500 new modern housing units at Roysambu Military Camp after President William Ruto officially commissioned them on February 26, 2026. The Roysambu development is part of a 3,069-unit Phase One, which also covers Nanyuki, Gilgil, Lanet, and Mariakani...
  13. Inside10

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kilifi Kenya: Mume amuuwa Mkewe sababu ya kujiunga Instagram

    Mahakama Kuu ya Mombasa imemhukumu Murad Awadh Mbarak (40) kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la kumuua mke wake, Nuru Ibrahim, katika eneo la Kanamai, Kaunti ya Kilifi. Mahakama ilisikia kuwa mnamo Juni 19, 2022, Mbarak alimchoma kisu mke wake huyo mwenye umri wa miaka 28 mara kadhaa kufuatia...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo Apokea rasmi nakala ya Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Kenya nchini Tanzania

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amepokea rasmi nakala ya Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Jamhuri ya Kenya nchini Tanzania, Mhe. Catherine Karemu, Machi 3, 2026. Mhe. Kombo amempongeza Balozi Karemu kwa uteuzi...
  15. Waziri Mayai Wa Maradhi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Today’s Headlines in Kenya

    These are the stories making headlines today in Kenyan newspapers.
  16. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Balozi wa Iran: Hatuna Mpango wa Kuishambulia Kenya...

    Iran has allayed fears of alleged plans to target Kenya amid an escalating war with the United States and Israel. During a press briefing in Nairobi on Monday, Iranian Ambassador to Kenya Dr Ali Gholampour noted that Kenya does not provide a US military facility with the capability to attack...
  17. Waziri Mayai Wa Maradhi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Central Bank Of Kenya gives nod to phone number masking in M-Pesa transactions

    Safaricom received approval from CBK to hide customers’ phone numbers when they pay using M-Pesa to Till and Pay Bill numbers. The decision was made to improve customer privacy and protect users’ personal data during transactions. This aligns M-Pesa with Kenya’s Data Protection Act 2019, which...
  18. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya Rules the Roads in Asia and Europe

    Former world marathon record holder Brigid Kosgei delivered a commanding performance at the Tokyo Marathon, clocking 2:14:29 to break the course record previously set by Asefa Kebede. Despite the victory, Kosgei said she was targeting a personal best and now hopes to challenge the 2:10 barrier...
  19. Waziri Mayai Wa Maradhi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ruto Presides Over Graduation of 3,862 Prisons Recruits, Announces Reforms, Unveils Salary Review

    President William Samoei Ruto on Thursday presided over the 46th Pass-Out Parade at the Prisons Staff Training College in Ruiru, Kiambu County, where 3,862 recruits officially joined the Kenya Prisons Service after completing nine months of training. The ceremony marked a significant step in...
  20. Waziri Mayai Wa Maradhi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya To Build A New Airport

    Kenya is planning to build a new Ksh 264Billion airport in Nairobi, with construction anticipated to begin in mid-2026 to boost trade and tourism. President William Ruto announced this effort, which comprises a new terminal and runway, with the goal of expanding capacity to 63 aircraft movements...
Back
Top Bottom